Hofu yatanda Nairobi kufuatia Mlipuko wa Kisonono cha Aina yake

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,005
1,583
Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KeMRI) imeeleza kuwa licha ya kuwepo kwa visa vya Kisonono katika miaka ya nyuma lakini kirusi cha ugonjwa huo kimerejea kwa aina tofauti kikiwa hakidhibitiki kwa urahisi na dawa Jijini Nairobi.

KeMRI imetoa rai kwa wananchi hasa Vijana kuwa makini kwa kuwa utafiti umeonesha watu wengi wana ugonjwa huo lakini hawajaonesha dalili za kuwa na maambukizi.

Utafiti huo umeonesha vimelea vya ugonjwa huo vinaenezwa zaidi na Wanawake wanaofanya biashara ya ngono.

===========

Panic in Nairobi as Dreaded Gonorrhoea Strikes City

The Star As reported by The Star, a new pathogen of gonorrhoea has camped in Nairobi endangering the lives of many.

Experts have expressed concern as they reveal that many city dwellers are bearing the disease which poses a huge threat to their reproductive health.

The findings are from a study carried out last year after samples were derived from a sick 24-year-old sex worker.

The researchers from the Kenya Medical Research Institute (KeMRI) stated that those with the disease rarely exhibit any clinical signs or symptoms.

They add that the disease resists the drugs that are normally used to combat it.

"The results showed complete resistance to all the antimicrobials," Amina Abdullahi, a KeMRI researcher, is quoted by The Star as having said.

The study's findings suggest that the disease is majorly transmitted by the city's ladies of the night.

The researchers argue that the ladies focus more on protecting themselves against HIV, forgetting other STIs that would equally affect them.

Source: The Star
 
Taasisi ya Utafiti wa Matibabu ya Kenya (KeMRI) imeeleza kuwa licha ya kuwepo kwa visa vya Kisonono katika miaka ya nyuma lakini kirusi cha ugonjwa huo kimerejea kwa aina tofauti kikiwa hakidhibitiki kwa urahisi na dawa Jijini Nairobi.

KeMRI imetoa rai kwa wananchi hasa Vijana kuwa makini kwa kuwa utafiti umeonesha watu wengi wana ugonjwa huo lakini hawajaonesha dalili za kuwa na maambukizi.

Utafiti huo umeonesha virusi vya ugonjwa huo vinaenezwa zaidi na Wanawake wanaofanya biashara ya ngono.

Next destination ni Uganda.. Hawa majirani zetu kinachowaponza ni uzungu mwingi bila kuzingatia mazingira waliyonayo! Wao kutawadha na maji ni ushamba wanatumia wipes na toilet papers hivyo STDs ziko kwa kiwango cha juu mno
 
07c5ceb6-1268-4d63-9749-2c41b45181b3.jpg

Drug-resistant gonorrhoea type detected in Nairobi​

Super gonorrhoea strikes Nairobians

The Kenya Medical Research Institute (Kemri) has reported a high rate of gonorrhea infections among Nairobians.

Gonorrhea is a sexually transmitted infection caused by the bacterium Neisseria gonorrhoeae, which is transmitted through sexual intercourse with an infected person.

Super gonorrhea affecting Nairobians is also reported to be completely resistant to all antimicrobials, making it a serious concern.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom