Kenya kuunganisha wenye simu za mkononi na mfumo wao wa kodi ili kudhibiti ukwepaji kulipa kodi na kuongeza mapato ya serikali

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,227
5,950
Ili kuongeza mapato na kupunguza ukwepaji wa kulipa kodi Kenya inapanga kuunganisha mfumo wake wa kutoza kodi na watoa huduma za simu. Kenya inawalipa kodi 7, 000,000 wakati inawatumia simu za mkononi na wanaohamishiana mabilioni ya pesa 30, 000,000. Hatua hizi zinatarajiwa kuongeza mapato ya serikali ambayo imepania kupunguza kukopa na kulipa deni kubwa lililoachwa na serikali zilizopita

----
Kenya plans to link its tax collection system to mobile financial platforms to weed out tax evaders and boost revenue by billions of shillings, part of a raft of measures to repair its coffers, the finance ministry said in a draft budget statement.

President William Ruto's administration, which took over last September, inherited a heavily indebted economy after his predecessor ramped up borrowing to build infrastructure.

The government plans to increase tax collection by 17% to 2.57 trillion shillings ($20.7 billion) in its fiscal year starting in July, the ministry said.

It will also reduce its foreign borrowing target for 2023/24 by a percentage point of GDP, and the domestic borrowing target by just over a percentage point of GDP, the statement said.

It called the policy a "growth friendly fiscal consolidation plan designed to slow the annual growth in public debt", adding that it will also carry out liability management effectively.

"This is expected to boost the country's debt sustainability position," the ministry said.

As part of the drive to increase tax collections, the levy collector Kenya Revenue Authority (KRA) will integrate its system with those of mobile phone operators' financial platforms, to catch those who do not pay tax on their incomes.

The statement did not give more details on the plan but Ruto has previously said the financial accounts of tens of millions of mobile phones in Kenya offered a chance to boost revenue.

"There are only 7 million people with KRA pin numbers," Ruto said, speaking of the registered taxpayers.

"At the same time, in the same economy, Safaricom's M-Pesa has 30 million registered customers, transacting billions daily," he said at a ceremony to mark the annual taxpayer day last October.

Safaricom is the leading mobile operator in Kenya, where most people use M-Pesa and other services to transfer cash, save, borrow and make payments for goods and services.

Apart from going after mobile phone money accounts, the authorities will also seek to raise more consumption taxes and ensure that property owners are paying their fair share, the Treasury said.

Ruto's government plans to slash the budget deficit to 4.3% of GDP in the 2023/24 financial year, from an estimated 5.8% in the current period, before cutting it further to 3.6% in the 2026/27 period.

($1 = 123.9500 Kenyan shillings)

Source: Reuters
 
Kenya inawalipa kodi 7, 000,000

Tanzania ina walipa kodi idadi inayokaribia 3,000,000 tu hii imethibitishwa na kauli ya Mwigulu Nchemba waziri wa Fedha na Mipango Tanzania na pia takwimu za ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS Tanzania : source :

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa amesema takwimu za Taifa lazima ziheshimiwe ..... idadi ya walipa kodi Tanzania ambao kwa sasa ni milioni 2.5 kati ya vijana 21 milioni wenye nguvu za kufanya kazi, kwa mujibu wa NBS Source : Takwimu za Taifa ziheshimiwe -NBS
 
Tanzania ina walipa kodi idadi inayokaribia 3,000,000 tu hii imethibitishwa na kauli ya Mwigulu Nchemba waziri wa Fedha na Mipango Tanzania na pia takwimu za ofisi ya Taifa ya Takwimu NBS Tanzania : source :

Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk Albina Chuwa amesema takwimu za Taifa lazima ziheshimiwe ..... idadi ya walipa kodi Tanzania ambao kwa sasa ni milioni 2.5 kati ya vijana 21 milioni wenye nguvu za kufanya kazi, kwa mujibu wa NBS Source : Takwimu za Taifa ziheshimiwe -NBS
Tanzania sababu ni siasa na uchaguzi.
Tukiongeza walipakodi hadi 7mil, tunaweza sukuma bajeti yetu kwa 48tril bila msaada
 
Back
Top Bottom