Kenyan News and Politics

Serious discussions on Kenyan Politics and Latest news from Kenya

On JF:

UPDATE: Chama cha Wafanyakazi wa Usafiri wa Anga cha Kenya (Kawu) kimetaka wanachama wao kuacha kazi leo baada ya Mamlaka ya Uwanja wa Ndege wa Kenya kukamilisha na kutekeleza Makubaliano ya...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Kila sehemu kila ziara hawaachi lazima awe nao ni kwanini? Je, wanapata saa ngapi muda wa kufanya majukumu yao?
1 Reactions
14 Replies
855 Views
Wajuba... mapipa bilioni 4.8 sio mchezo ======= Kenya is just weeks away from announcing the discovery of new oil resources in the Lamu basin, bigger than what was found a decade ago in Turkana...
10 Reactions
75 Replies
7K Views
It was a special Valentine’s Day for Paul Muli, 25, who tied the knot to multi-millionaire real estate tycoon Ruth Wanjiru, 31 years his senior. The couple formalised their three-year...
0 Reactions
49 Replies
13K Views
This is New Tanzania, there is no one can stop or challenge Tanzania in any way. Go go go Tanzania
1 Reactions
2 Replies
592 Views
MY TAKE: Wale wakenya waliopiga kelele za Sylvia Mulenge kukataliwa kuajiriwa na Vodacom Tanzania bado wapo hai? Wale wakenya wanaosema wakenya hawapo huru kufanya kazi Tanzania, ila watanzania...
4 Reactions
0 Replies
758 Views
Hivi karibuni, Kenya wameonekana wakiimega Tanzania kutoka bara la Afrika na kuanzisha bara jipya ambalo linahusisha Kenya na Tanzania. Taarifa nyingi zinaonesha matamanio makubwa ya Kenya kuwa...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
Kapteni Paul Rukaria, amefungua mashtaka dhidi ya Rais #WilliamRuto na Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga kutenguliwa Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Shirika la Kitaifa la Biashara la Kenya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
MY TAKE; Hii ndiyo nchi inayosema kuna uhuru wa kujieleza[emoji23][emoji23][emoji23]
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nisaidieni utata huu. Je, ni sahihi pia kama mwizi akiiba halafu fedha ile akaiwekeza? === Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali nchini Kenya, Nancy Gathungu amependekeza watu wanaoiba fedha za...
2 Reactions
10 Replies
770 Views
Wataalamu kutoka Taasisi a Utafiti na Tiba (KEMRI) wamesema aina ngeni ya Mbu wa Anophelesi Stephensi kutoka Asia Kusini amebainika kuwepo kwenye makazi ya Watu katika Kaunti ya Marsabit. Kwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mcheshi Eric Omondi amekamatwa akiongoza maandamano nje ya majengo ya Bunge jijini Nairobi. Omondi alikuwa akiongoza kundi la vijana waliojengeka vizuri, watanashati katika maandamano, ambapo...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Ripoti mpya iliyotolewa na taaisi ya Kenya Food Security Steering Group imeonesha idadi ya Wananchi walioathirika na Ukame imeongezeka kutoka Watu Milioni 4.2 iliyoripotiwa July 2022. Pia, ripoti...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Uvamizi huo ni utekelezaji wa agizo la kuchukua Vifaa vya CCTV kwaajili ya kufanyiwa uchunguzi kuhusu madai ya Matiang'i kuwa wiki iliyopita alivamiwa nyumbani kwake na kundi la Askari wasio na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Seneta Gloria Orwoba wa nchini Kenya amesema anafikiria kuachana na Mtandao wa Twitter kutokana na Unyanyasaji wa Kimtandao. Ameeleza, "Hili suala la kuwa na ngozi ngumu HAPANA! Sisi ni Binadamu"...
0 Reactions
4 Replies
915 Views
Hebu jifunzeni kutoka kwa jirani ili siku nyingine msiwe mnaongea kama wagonjwa wa dementia. ===== US-backed financier has slapped the Treasury with a default notice for delayed payment of a...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
The East African Community (EAC) has received Sh175.4 million ($1.4 million) for a feasibility study on building a four-lane expressway for Kisumu to Uganda through Busia in an upgrade targeted to...
2 Reactions
1 Replies
825 Views
MY TAKE; Hii ni dharau kubwa kwa vyombo vya usalama na serikali ya Kenya kwa ujumla, hovyo Sana polisi na jeshi la Kenya. Njooni mjifunze jinsi tulivyoyasambaratisha makundi ya wahalifu Kibiti.
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Ama kweli Katiba bora ni raha sana. Aliyekuwa waziri wa mambo ya ndani kwenye serikali ya Kenyatta amekimbilia mahakamani kujiokoa dhidi ya kukamatwa na polisi: Protect me, former Interior...
10 Reactions
47 Replies
3K Views
Mke wa Rais wa Kenya amewataka wakulima nchini humo kuandaa mashamba kwa ajili ya kilimo baada ya maombi ya kitaifa ya kuombea mvua katika taifa hilo lililokumbwa na ukame. Hata hivyo mamlaka ya...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…