joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,111
- 46,621
Watu watatu ikiwemo afisa wa polisi na polisi jamii wawili wameuawa kwa kupigwa risasi wakati wa msako wa wahalifu walioua raia watano Samburu. Mapigano hayo yaliyodumu usiku yalipelekea kuuawa kwa wahalifu kadhaa na polisi kutoka KDF kujeruhiwa.
======
MY TAKE; KDF hoyeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
======
MY TAKE; KDF hoyeeee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]