Rais Ruto wa Kenya amezitaka nchi za Africa kuacha kutumia sarafu ya US Dollar 💵 💵 💵 kwenye biashara zao za kimataifa.
Ruto anashangaa kwa nini Africa tumekuwa watumwa wa sarafu ya dola ya...
Polisi wamefyatua mabomu ya machozi kuwatawanya waandamanaji Jijini Nairobi wanaopinga baadhi ya hatua zilizopendekezwa na Serikali za kuweka kodi mpya au kuongeza kodi kwenye vitu ikiwemo mafuta...
Viongozi wa Muungano wa Azimio wakiongozwa na Raila Odinga wamegoma kukubali mwaliko wa Rais William Ruto kuhudhuria maombi ya kitaifa yaliyoratibiwa kufanyika leo.
Kwa mujibu wa taarifa...
Dunia ya sasa Kiongozi usipokuwa mtemi wahuni watakukwamisha tu
Ndio Shujaa Magufuli alimwambia Spika Ndugau mbunge mwenye kiherehere mshughulikie huko Bungeni na akitoka huku Nje atakutana na...
Rais huyo wa Kenya ametoa kauli hiyo na kueleza kuwa Kura ya Wazi itafanya awatambue Viongozi watakaopinga mpango huo kuwa maadui wa Maendeleo na hawana nia ya kuondoa tatizo la ajira kwa vijana...
Rigathi Gachagua ambaye ni Naibu Rais wa Kenya amesema Wabunge wote wanaoikataa Sheria hiyo wasitarajie miradi mikubwa ikiwemo ya Ujenzi kwenye majimbo yao kwasababu hakutakuwa na sehemu ya kutoa...
Picha: John Ngumi
Mshauri wa uwekezaji na mzoefu wa bodi John Ngumi amejiuzulu kutoka Bodi ya shirika la ndege la kitaifa Kenya Airways (KQ) baada ya kutumikia chombo hicho kwa miaka minne...
Chadema mnaweza kupata uzoefu wa Katiba Mpya ilivyojengwa kupitia Katiba ya Kenya
Nafuatilia hapa mubashara Citizen TV baadaye nitarudi kwenye Operesheni +255
===========
Na sikushangaa wala sijashangaa sana kwani ndiyo maana hata Siku Moja kabla ya Kuapishwa Kwake Rais Mteule wa Kenya Dkt. William Ruto alitumia muda mwingi kufanya Mazungumzo na Rais wa Rwanda...
Serikali ya Kenya imeongeza makato ya tozo ya miamala kuanzia July 2023.
Ikumbukwe Kenya ndio Huwa role Model ya Chadomo Kwa Kila kitu "Ogopa Matapeli"
MY TAKE; Sijawahi kuona TV station yoyote Hulu Tanzania ikiendesha mdahalo unaohusu kulinganisha Tanzania na Kenya, hii inanyesha wazi jinsi Tanzania inavyosumbua akili za wakenya(inferiority...
Kwa Mujibu wa Serikali,bangi ndio kilevi au dawa inayotumiwa zaidi na Watanzania..
Pia Kuna Mikoa inalima Bangi Kwa Ajili ya Kuuza Nje ya Nchi ukiacha Mikoa inayolima kwa.matumizi ya ndani licha...
Rais Mstaafu wa Kenya Uhuru Kenyatta, jumatatu hii ametupilia mbali ushauri na maoni ya Viongozi mbalimbali waliotaka astaafu Rasmi siasa za Kitaifa Nchini humo.
Picha: Rais Mstaafu wa Kenya...
Urusi inapapatika kote kujaribu kutafuta uungwaji mikono
Kenya's President William Ruto with Russian Foreign Minister Sergey Lavrov at State House Nairobi on May 29, 2023. Looking on are...
Katika kile kinachoonekana kama serikali ya Uchina kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa nchi ya Kenya kulipa mabilion ya pesa waliyokopeshwa ili kutekeleza miradi mikubwa ya kiuchumi kama SGR...
Mahakama kuu Nchini Kenya imeiruhusu Serikali ya Nchi hiyo kutaifisha zawadi ya pesa za Kenya milioni 102 milioni (TSH. Bilioni 1.74) iliyotumwa kutoka Ubelgiji na Bilionea aitwae Marc De Mesel...
Maafisa wa idara ya upelelezi DCI wamefukua maiti nyingine moja ya mwanamke na kufikisha idadi kamili ya miili iliyofukuliwa 242.
Aidha mwanaume mmoja ameokolewa na kufikisha idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.