Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habari wa ndugu wa tanzania?? Nimepitia site mbalimbali humu,ila site iliyonifanya kuwaza sana ni hii ya UJENZI,nimepitia nyuzi nyingi sana humu,yani kila niliyosoma imenifanya moyo kuuma kwa...
40 Reactions
166 Replies
15K Views
Serikali kupitia Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) inatarajia kusaini mikataba 15 kwa pamoja ya ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami pamoja na Daraja zenye thamani ya shilingi Trilioni...
0 Reactions
0 Replies
370 Views
JIMBO LA KITETO: TAARIFA MAALUM KWA WANANCHI KUHUSU USAJILI WA SHULE MPYA- USAJILI WA SHULE MPYA 12 ZA MSINGI Ndugu wananchi wenzangu mnatakumbuka kuwa kwa miaka miwili na nusu ya Serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Nchi zetu za Afrika zimejaliwa ardhi kubwa na ujenzi wetu wengi ni ujenzi usiopimwa. Mijjni uhaba wa ardhi umeshaonekana na kuna watu wanaoweza kubuni makazi ya watu wengi katika eneo dogo...
8 Reactions
21 Replies
2K Views
Kuna yeyote humu alie na experience na kusafirisha milango na madirisha ya mninga kutoka mkoa mmoja kwenda mkoa mwingine? Je process ziko vipi na gharama zikoje?
0 Reactions
31 Replies
2K Views
AIRPOT YA IRINGA KUFUNGUA UTALII KUSINI, UJENZI WAFIKIA 82% - NAIBU WAZIRI KIHENZILE Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Mwakiposa Kihenzile amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe...
0 Reactions
0 Replies
528 Views
Picha ya juu ni mchoro wa nyumba tarajiwa na picha ya chini ni fundi alichotoa
3 Reactions
7 Replies
882 Views
Wakuu hii ni moja ya ndoto zangu kubwa. Nipeni maujanja wajameni siku moja kwa neema za aliye juu namimi "ninyee juu"
1 Reactions
12 Replies
2K Views
UJENZI WA SEKONDARI MPYA UNAENDELEA MUSOMA VIJIJINI: KISIWA CHA RUKUBA KIMEANZA UJENZI WA SEKONDARI YAKE Jimbo la Musoma Vijijini lina Kata 21 zenye Vijiji 68 na Vitongoji 374. Jimbo hili lina...
1 Reactions
1 Replies
564 Views
Nina kiwanja changu pahala off course ni kidogo (50 x 47 Futi) sasa nilitaka kuweka ujenzi pale! Nimemtuma fundi kufanya setting ya msingi na vipimo vya vyumba kulingana na nilivyotaka majibu...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Baada tu ya kuunganisha bomba kwenda kwenye Septic tank ,choo kilianza kurudisha harufu ndani, ikinyesha mvua ndio kabisa kinazidi . Fundi aliyetengeneza hapatikan Lakini vyoo vingine...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau naomba kuuliza hii imekaaje maana kuna nyumba moja naishi lakini kuta zake ni baridi sanaa pamoja na sakafu ya chini (tiles) baridi vilevile kiasi kwamba ktk hicho chumba lazima nivae soksi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Malazi haya huwa yanalipiwa kwa siku, kitanda kinaweza kuwa €20 kwa siku. Huwasaidia sana wasafiri vijana hasa wanafunzi. Kuna huduma ya maliwato, unaoga vizuri na kupata usingizi wako mnono...
1 Reactions
5 Replies
649 Views
Maeneo gani mazuri yenye hewa safi kununua kiwanja Vilivyopimwa kwa ajili ya makazi kwa budget ya 20M?? Maeneo ya karibu na urahisi kufikika gongo la mboto..
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Kichwa cha habari cha husika! Kwenu wataalam Je kuna tinted za kubandika kwene vioo vya majumbani? Binafsi najua zile wanabandika kwene magari
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu! Nimewakusanya hapa nataka tushauriane kuhusu bati bora za kuezeka nyumba. Zipo nyuzi nyingi humu nimepitia kuhusu hii mada. Nafahamu wengi wanashauri kuezeka kwa bati za ALAF. Lakini...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari, Nimempata chumba nataka nipake rangi, niweke kapeti na mapambo, naomba ushauri nipake rangi gani? Na kapeti inayofata pamoja na mapambo kwa chumba Cha mwanaume? Asante
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi paradiso italetwa? Au tutaileteleza wenyewe hapa duniani? Watu wenye kusali hutusisitizia kila mara kwamba paradiso ni mahala pazuri saana 😍 Ni mahali ambapo kuna miti na maua mazuri ya...
2 Reactions
6 Replies
612 Views
Mimi ni mgeni jiji la Dar es salaam nimetokea Mwanza nimehamia Dar es salaam kikazi sasa nimefika kwa rafiki yangu Tabata Chang'ombe na nimetokewa kuvutiwa sana na mazingira ya hapa ningependa...
0 Reactions
1 Replies
822 Views
Ukijaaliwa kupata uwezo jenga kwa kutumia tofali za simenti hizi mnaita blocks maana zinadumu dahari. Mzee wangu alijenga miaka hiyo kwa kutumia hizi tofali za blocks saivi kashastaafu anapeta...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…