Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

BILIONI 4 KUJENGA AMBULANCE BOAT KUPITIA TASAC ZIWA VIKTORIA, MWANZA Serikali ya Tanzania kupitia Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) December 22,2023 imetia saini mkataba wa mradi wa...
1 Reactions
2 Replies
533 Views
Ni nyumba za kisasa lakini bado hatuna mafundi wazuri wa kuweza kuzifanya ziendane na hali zote, zimekuwa ni nyumba nzuri sana kipindi cha kiangazi, kipindi cha mvua nyingi ni majanga matupu...
32 Reactions
240 Replies
18K Views
Habari ya muda huu, Naombeni wataalam wanisaidie kukadiria hesabu ya tofali ya kijuba hiki. Niko kwwenye hatua za awali za KUFIKIRIA kujenga, kiwanja nimeshanunua wakuu. Tuanzie hili la tofali...
2 Reactions
15 Replies
1K Views
Kumekuwa na mijadala mingi juu ya nyumba zilizoezekwa kwa mtindo wa kuficha paa la nyumba, ilionekana nyingi zinavuja sana. Mimi mwenyewe nikiwa mhanga wa jambo hilo. Nyumba ilikuwa ikivuja sana...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mzuka wanajamvi. Naomba kuuliza ghorofa kama hili kujenga hadi kulimaliza linagharimu shilingi ngapi? Natanguliza shukrani zangu za dhati. Cc mrangi Sky Eclat Pdidy dy Mr Q Mzee Kigogo
3 Reactions
68 Replies
5K Views
Habari Wana jamvi la Jf naomba msaada kidogo kuitatua shida ya sim niliyo nayo apa kwa mwenye uzoefu sim hii nimesahau password wakufungulia screen hivyo kwa chochote nachoitaji kufanya katika sim...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
Vipi wakuu, Naona madirisha ya aluminium siku hizi ndio mpango mzima ila kuna wale bado tunaopendelea madirisha ya chuma. Mlio na ufahamu wa bei ya madirisha ya chuma currently naomba mtusaidie...
5 Reactions
10 Replies
7K Views
NAIBU WAZIRI ENG. MAHUNDI: ZAIDI YA WATU 233,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MUGANGO- KIABAKARI-BUTIAMA. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakandarasi wa mradi wa maji...
0 Reactions
0 Replies
557 Views
Habari wakuu, Kuna boma nilinunua huku mkoani nilipo, lilikua limebakia kupauliwa tu ni boma la vyumba vitatu, master bedroom, public toilet, sitting room, dinning, kitchen na stoo, ina veranda...
0 Reactions
6 Replies
972 Views
Habari wadau naomba kuuliza kujenga msingi wa nyumba ndogo ya chumba kimoja inaweza gharimu shilingi ngapi?Nimeweka picha hapo chini. Vipimo vyake ikiwa ni mita 6 kwa 6
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nauliza kutengeneza kma haka ni inagharimu kiasi gani?
2 Reactions
12 Replies
1K Views
MBUNGE wa viti maalum Mkoa wa Dar es Salaam, Janeth Masaburi ameitaka Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini ( TARURA) kuhakikisha inafanya kila jitihada ya kutatua changamoto za Barabara korofi...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room. Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu. Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni...
6 Reactions
67 Replies
7K Views
Anahitajika fundi pikipiki mzuri mwenye uzoefu wakutengeza pikipiki aina zote Location: makumbusho jirani na standi ya mabasi Kwa aliye teyari tuwasiliane phone no 0693598467 Nb: asiwe...
0 Reactions
3 Replies
659 Views
Habari. Nina nyumba ninataka kuiuza. Ila kiwanja kimeshapimwa lakini hati ya umiliki bado haijatoka. Je, ninaweza kuuza bila ya hati ya umiliki kutoka? Na ni taratibu gani ninatakiwa kuzifuata...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Je, ni bora kununua za kichina ambazo zinazalishwa nchini kwa viwanda vya hapa nchini ama kununua za kutoka nje ya nchi mfano Spain, Italy n.k.
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa ufafanuzi wa Changamoto iliyotokea katika daraja linalounganisha mkoa wa Pwani na Dar es salaam katika barabara ya Tegeta kuelekea Bagamoyo kwa kueleza...
0 Reactions
3 Replies
680 Views
Tuambie namna uliuziwa ardhi yenye utata ilikuaje, na ulitatuaje hiyo changamoto?
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Kuna huu mradi wa Kigamboni wa nyumba unaoitwa Hamidu City kiukweli umenivutia sana kutokana na uzuri wa eneo na udogo wa bei? Mbona hizi nyumba hazinunuliki na bei ni ndogo sana tangu...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…