MkuuBinafis na nunua vifaa,fundi anakuja kutengeneza namlipa pesa ya ufundi
Mfano Madirisha 4 namlipa 70 au 80.
Mageti madogo/Milango ya chuma miwil namlipa 40 au 45
MAHITAJI stick box 10000
Bomba1 7000
Flat bar1 6000
Disk1 5000
Bawaba1 1000
Komeo1 3500
Bati1 45000/55000
Umeme wa 3000
Bei ya kununua dirisha likiwa lipo tear ni 80000 mpaka 75000
Milango 120,000