Naomba kwa anayeweza kunikadiria ujenzi wa nyumba ya chumba kimoja kwa msingi

thefarmer

Member
Jun 13, 2023
19
41
Habari wadau naomba kuuliza kujenga msingi wa nyumba ndogo ya chumba kimoja inaweza gharimu shilingi ngapi?Nimeweka picha hapo chini.
IMG_3076.jpg

Vipimo vyake ikiwa ni mita 6 kwa 6
 
MZUNGUKO WOTE NI 94ft
Mzunguko mmoja ni tofali 63
Blocks 63 X 6 = 370
Cement 11
Nondo 06
Ring 40
Mchanga
Kokoto
 
Nyumba ya chumba kimoja inapendeza kua na open kitchen, lkn huna haja ya kua na vyoo viwili, master na public, kimoja kinatosha.
 
Back
Top Bottom