Je, milioni 16 nitafikia wapi?

Je, milioni 16 nitafikia wapi?

skate-board

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2018
Posts
490
Reaction score
581
Habari wakuu,

Kuna boma nilinunua huku mkoani nilipo, lilikua limebakia kupauliwa tu ni boma la vyumba vitatu, master bedroom, public toilet, sitting room, dinning, kitchen na stoo, ina veranda mbili.

Kwa sasa nimejichanga niko na ml 16 je ninaweza kuingia ndani nyumba ikiwa na hali gani?

Karibuni
 
kupaua inakula 4 to 5M

katika zile 11 toa 3 hadi 4M kwa ajili ya aluminium.

Unabakiwa na 9M toa 2.5M kwa ajili ya grill za madirisha na milango.

Hiyo 6.5 au 7 iliyobaki toa plaster na ufundi 2M kama cement sio ghali mkoani kwako.

Nilisahau wiring pamoja na zile hatua za mwanzo itaweza kula 1.5 to 2M

All in all utaingia ila 16 haimalizi 100% ila utasogea
 
Asante mkuu,ila nlihitaji kwa hivi vitu:
Kupaua
Madirisha na milango
Master ikamilike na sebule
Plaster
Wiring na kuweka umeme
Madirisha aluminium 6 kati ya 11
Kuchimba shimo la choo
 
Asante mkuu,ila nlihitaji kwa hivi vitu:
Kupaua
Madirisha na milango
Master ikamilike na sebule
Plaster
Wiring na kuweka umeme
Madirisha aluminium 6 kati ya 11
Kuchimba shimo la choo

kama ni hivyo utasogea Mkuu, nakushauri kamilisha vitu vya ndani kwanza ambavyo vitakufanya uwe comfortable.

Nje utamalizia taratibu.

16M ni pesa ndogo kwa gharama za ujenzi zilivyopanda. Ongeza umaki unaitumia ili walau usogee
 
Shukran sana mkuu
 
Back
Top Bottom