Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Habarini wakuu, Kuna mjadala uliletwa humu kuhusu ni nyumba zipi zina gharama nafuu kwenye ujenzi kati ya hizi za kisasa za kuficha bati (‘contempoarary) na zile za kawaida. Ambapo kwa uzoefu...
15 Reactions
134 Replies
51K Views
This is Africa and its traditions Miti ifuatayo sio mizuri sana kuipanda nyumbani kwako 1: Muembe 2: Mbaazi 3: Muashoki 4: Mpanga Uzazi 5: Mbuyu Utakaribisha viumbe wa Ajabu Usiku ukiendekeza...
18 Reactions
142 Replies
6K Views
Hii neema tuliyonayo watu wa mataifa, haikuanzia kwetu, bali ilitoka kwa wengine lakini kwa huruma za Mungu walipokonywa wao tukapewa sisi. Israeli kama Taifa teule la Mungu walikuwa wameshafikia...
0 Reactions
1 Replies
248 Views
Naomba kuuliza je rangi zipi zinafaa kupakwa nje na zipi zinafaa kupakwa ndani? Na kampuni ipi ya rangi iko bora zaidi
5 Reactions
110 Replies
34K Views
Miaka ya hivi karibuni ujenzi umekuwa mwingi sana Dodoma Kazi zimekuwa nyingi kuliko mafundi Ni kama mafundi wameelemewa Si ajabu kukuta fundi anakusubirisha hadi amalizie kazi ndo aje kwako...
1 Reactions
8 Replies
893 Views
1. Eneo la Kilakala isiwe mbali na kituo cha Tushikamane. 2. Eneo la Kola (iwekaribu na barabara ya pangawe) 3. Eneo la Bigwa (iwekaribu na barabara ya pangawe) Iwe na vyumba 3 vya kulala...
2 Reactions
1 Replies
617 Views
Uzi maalumu kwa wale baba wenye nyumba walioamua 2024 liwalo na liwe wamefanikiwa kuhamia kwao na maisha yanasonga na hawalipi tena kodi bali wanaweza hata kugombea ujumbe wa nyumba 10 tukutane...
10 Reactions
21 Replies
2K Views
Nyumba zilizozungushiwa nyaya za umeme za ulinzi au electric fence zinaonyesha ziko salama sana maana zinadili na njia kuu ya wizi au ujambazi kufanyika. Mara nyingi huduma hii inaambatana na...
12 Reactions
103 Replies
5K Views
Unapokuwa unatafuta kununua kiwanja, ni muhimu kuzingatia mambo kadhaa kama vile eneo na ukubwa wa kiwanja, hali ya kisheria ya umiliki, na hati za umiliki. Pia, hakikisha unafanya uchunguzi wa...
1 Reactions
1 Replies
782 Views
Habari, Kama kuna fundi humu ,au mtu anajua fundi mwenye ujuzi wa kubandika hizi tiles za plastic za garage, Site iko Dar es salaam. Anichek PM.
0 Reactions
2 Replies
627 Views
Hii ni kazi niliyofanya, picha ni kabla ya na baada ya kufanya kazi. Nilianza kwa kupiga ukuta plasta, nikamalizia kwa kuweka vipande vya tailiz chini. Ukihitaji nipigie 0624254690
15 Reactions
31 Replies
2K Views
Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, amefanya ziara ya kikazi kutembelea barabara ya Kimara - Bonyokwa - Kinyerezi yenye urefu wa kilometa 7, mkoani Dar es Salaam, na kusisitiza umuhimu wa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Modern House for Sale – Goba Half London An exceptional opportunity to own a contemporary underground single-storey home: 5 Self-contained Bedrooms, including a Grand Master Suite 2 Elegant...
1 Reactions
1 Replies
620 Views
Habari! KAMPUNI NI : DATTI COMPANY LIMITED. INSTAGRAM : DATTI CONSTRUCTION Tembelea uone kazi zetu. Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na 1...
0 Reactions
2 Replies
625 Views
Karibuni wakuu. Ujenzi wa msingi ni wa mawe Uwaazi wa geti ni mita 3.
2 Reactions
9 Replies
976 Views
Habari wapendwa Samahani, naombeni makadirio ya ujenzi wa chumba sebule Jiko dogo pamoja na public toilet Vyote ni vyumba standard, Nitashukuru sana
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nafahamu weledi ni tatizo kwenye 'media' nyingi sasa hivi, imekuwa ni kawaida kutozingatia misingi na miiko ya taaluma ya habari. Mtama Fm ni miongoni mwa sehemu ya aibu kwa vyombo vyetu vya...
1 Reactions
2 Replies
500 Views
Nyumba hii ina 1 Master bedroom LIving room KItchen Dinning Store Public toilet Kama una ushauri unaweza kutoa ushauri Kama unahitaji tukuchoree raman yenye muonekano huu nichek 0743257669...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Habari Wana ujenzi, nilikua naomba ufafanuzi kati ya kununua Tofali za block kutoka kiwandani na kupeleka site na kununua Material na kupeleka site na kufyatua pale pale site. Mfano kama nina...
2 Reactions
88 Replies
23K Views
Back
Top Bottom