Nimefikiria hii, mtu anamaliza kutumia choo alafu anatoka kuja kunawa nje ya choo, hii inaweza kusababisha kusafirisha uchafu na vimelea vya magonjwa kutoka chooni, mfano wakati wa kufungua mlango...
🏠NYUMBA INAUZWA MILIONI 33
📍ipo MBONDOLE DAR-ES-SALAAM🇹🇿
Ni njia ya Chanika ukitokea MBAGALA rangi 3 kujia CHAMAZI AZAM COMPLEX
Pia unaweta kutokea Njia PANDA YA KIVULE AU KUPITIA MOMBASA YA...
Kuna watu wanalilia kufika dar kisa magorofa ya kariakoo na posta. Ila kiukweli Dar ni mji wa kishamba sana.
Kwa kweli watu wanaishintu kwa sababu ya tabu otherwise mhii wengi wangeshapakimbia...
usinunue kipindi cha kiangazi kama unataka kiwanja tafuta msimu wa mvua eneo unaliona vizuri kama lina asili ya matope au kuna maji yanapita chini kwa chini ili kuepuka changamoto.Na bora matope...
Karibu tuelimishane mambo kadhaa muhimu kabla ya kufanya ujenzi
MAMBO YA KUZINGATIA KABLA YA KUANZA UJENZI
NOTE: Kufuata taratibu za kitaalamu katika UJENZI kunaweza kusaidia kupunguza gharama za...
Ndugu zangu poleni na majukumu.
kijana wenu nakuja mbele yenu kutafuta kazi au kibarua ili kuweza kumudi garama za maisha .
kwenye maswala ya ujenzi nimebobea hasa upande wa ROOFING KUDHIBITI...
Dodoma kuna shida ya upatikanaji wa hati miliki za ardhi. Mtu anakuwa amemaliza kulipia kiwanja na kufuata hatua zote zinahitajika lakini linapofika suala la kupewa hati ni mtihani.
Wapo wananchi...
MBUNGE AYSHAROSE MATTEMBE AIBANA SERIKALI UJENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MKOA WA SINGIDA
Serikali imeeleza kuwa ujenzi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Singida inatarajiwa kukamilika ifikapo...
Watalamu Tunaweza rahisisha mambo chapu chapu hasa wale ambao hatuna ujuzi kbs wakujua makadirio ya vifaaa twende kazi
NB:_ Kuna muda ana boronga mambo hakika una m feed taarfa sahihi ili akupe...
Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi...
Wakuu moja ya halmashauri mkoani Tanga nimejenga kamjengo kangu Safi ambapo kamekuwa kama home pakufikia hasa nikirudi nyumbani kwetu
Enzi natafuta kiwanja ilikuwa wengi hawajavuta umeme kwakuwa...
📖MHADHARA WA 16:
Baada ya kununua kiwanja......
Ukibahatika tena kupata vihela kidogo ni bora kuanza kujenga CHUMBA + SEBULE + CHOO. Kama hela zako ni za msimu au hela za kulenga kwa manati...
Mifumo ya Zamani ya Mashimo ❌
Kataa mifumo ya zamani ya mashimo kwa sababu itakugharimu mara mbili; mara ya kwanza katika ujenzi na tena katika matumizi (uondoaji taka). Pia, inachukua nafasi...
🪖🦺🔨⛏️🪖🦺
SHEBWA MASONRY CONTRACTION
Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha
Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba!
Je...
Wakuu jamii forum kisima Cha maarifa nataka nianze ujenzi nisaidieni ramani nzuri ya kisasa chumba sebule jiko choo ndani nitashukuru sana wakuu na ikipendeza kama mafundi mpo mpate na kazi...
MBUNGE MASACHE AOMBA ONGEZEKO LA BAJETI YA BARABARA
Aprili 16, 2025
Mbunge wa jimbo la lupa Mhe. Masache Kasaka ameomba serikali kuongeza bajeti ili kufanya ukarabati wa barabara za kuingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.