Habari wakuu ....
Mambo juu ya mambo 1 haikai mbili haikai ....
Kwa ambaye amejipata na alikuwa anaishi kwenye nyumba za national housing naomba unishitue ndugu yang nije nihamie
Maana nimeenda...
Naomba ishauri kama inawezekana ,najua humu wapo wazoefu na mafundi wenyewe.
Nimejenga kajumba kakuishi sasa nimeweka bajeti ya umeme sasa nilisikia kuna kununua nguzo hilo mimi sikujali maana...
WAZIRI AWESO AELEKEZA KUFANYIKA UTAFITI WA KINA WA UPATIKANAJI WA MAJI DODOMA JIJI
▪️Aagiza kuongezwa mitambo zaidi ya uchimbaji visima Dodoma Jiji
▪️Akagua miradi ya Maji eneo la Nala na...
BASHUNGWA AFIKA SOMANGA KUKAGUA ATHARI ZA MVUA BARABARA YA DAR - LINDI
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amefika katika eneo la Somanga - Mtama mkoani Lindi kuungana na Timu ya Watalaamu wa...
Kwa hisani ya wabunifu wa kichina hawashindwi kitu.
Unaweza ukatengeneza kitanda cha juu cha chuma au kama ni yako unafunga juu ya zege kitanda then chini ya kitanda unaweka dining table, au...
Unapojenga jaribu sana kutafuta balance ya vifaa vya ujenzi na mafundi
Maiko hawezi kukataa tenda, hata ukimwambia una elf 10 ya nondo atapokea ila usije kustuka kaweka mbao 😂
Wakuu habari, Naomba kaushauri kidogo, nimemaliza kunyanyua kiboma changu, nataka maoni kwa wale waliotangulia kujenga
Je, ni kipi sahihi kuanza nacho kati ya kuweka.madirisha ya grill na...
Msingi wa nyumba ni sehemu ya chini kabisa ya nyumba ambayo hujengwa kwa kusudi la kuweka mkazo na mzigo wa nyumba yote. Msingi hufanya kazi muhimu ya kusambaza uzito wa nyumba kwa usawa kwenye...
Kwa ufupi.
Hii list ya materials ya plumbing, imekuwa ikinunuliwa sana kwa makadilio ya nyumba ya vyumba vitatu,
Sasa kwa aliye kwenye ujenzi unaweza kupata list hii au ikaongezeka kidogo au...
Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei...
Habari!
Nawakaribisha sana kwa yeyote mwenye kuhitaji ramani ya jengo aina yoyote ikiambatana na
1. JENGO LOLOTE (RESIDENCIAL AND COMERCIAL BUILDING)
2. Makadirio ya UJENZI (BOQ)
3. KUJENGEWA...
Wakuu salamu zenu.
Awali ya yote nitoe shukrani zangu za dhati kwa wana JF wote hasa jukwaa la ujenzi na makazi. Niliomba kuelekezwa mahali pazuri pa kuishi Dar nikitokea mkoani. Nashukuru...
KIWANJA CHA NDEGE CHA KISASA KUJENGWA NJOMBE KARIBUNI
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile amesema kwa mwaka wa fedha 2025/2026 Serikali inatarajia kutenga fedha kwa ajili ya kukamilisha...
Naitaji Raman ya nyumba kwa budget ya 30M
Raman yenye vyumba vitatu
Master room
Sitting room
2plain room
Kitchen
Studying room
Store
Public toilet
UKUBWA WA ENEO NI 70 kwa 40
UJENZI WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SHINYANGA WAFIKIA ASILIMIA 75, KUKAMILIKA JUNI 2025
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Dkt. Charles Msonde ameieleza Kamati ya Kudumu ya Bunge Uwekezaji Mitaji ya...
Eti wakuu kwa bajeti ya milioni 30 naweza kuamia nyumba ya vyumba vinne yenye kiofisi na prayer room ndogo huku nikiwa sijamalizia finishing nyingine?
Location: kanda ya ziwa
Ukubwa nyumba: 13.5m...
S
ERIKALI INAENDELEA NA UKARABATI WA MIUNDOMBINU YA UMEME
▪️Lengo ni kuondokana na changamoto ya kukatika kwa umeme
▪️Ujenzi wa kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Kilindi, Tanga waffikia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.