Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

TANROADS, TAA SHIRIKIANENI MIRADI YA KIMKAKATI IKAMILIKE KWA WAKATI Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameziagiza Taasisi ya Wakala wa Barabara (TANROADS) na Mamlaka ya Viwanja vya Ndege (TAA)...
0 Reactions
1 Replies
326 Views
BARABARA ZENYE VIWANGO KUPANDISHWA HADHI KWENDA TANROADS" OR-TAMISEMI Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe. Zainab Katimba amesema TARURA kwa kushirikiana na Bodi ya Barabara ya Mkoa...
0 Reactions
1 Replies
245 Views
Naomba muelekezo wa fundi nyumba ili nimalizie nyumba. Finishing, umeme, maki, rangi, tiles nk
0 Reactions
4 Replies
454 Views
MBUNGE TAUHIDA GALLOS NA UJENZI WA NYUMBA ZA MAKATIBU UWT MKOA WA MAGHARIBI NA WILAYA ZAKE Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Magharibi kichama, Mhe. Tauhida Cassian Gallos Nyimbo tarehe 11 Mei, 2025...
0 Reactions
0 Replies
350 Views
Wakuu Habari, naomba kwa mwenye ujuzi anisaidie, nyumba yangu wakati naanza ujenzi sikuwa na ufahamu wa badhi ya vitu hivyo sikuweka DPM au DPC kwaajili ya kuzuia unyevu usipande kwenye kuta...
1 Reactions
11 Replies
993 Views
Hapa kuna baadhi ya faida: 1. Urembo wa Kipekee: Grafiti design inaweza kuleta urembo wa kipekee na wa kisasa kwenye nyumba. Inatoa nafasi ya kuonyesha ubunifu na mtindo wa kibinafsi. 2...
2 Reactions
2 Replies
401 Views
CERAMIC TILE FAHAMU MACHACHE KUHUSU CERAMIC TILE Na Ochoa Home Decor NI ZIPI CERAMIC TILE? Ceramic tile ni zile tiles zote zinazonyonya maji kuanzia asilimia 6.9 na kuendelea (6.9%...) Hizi...
1 Reactions
2 Replies
896 Views
Waweza nicheki kupitia Whatsap number 0679169532
0 Reactions
24 Replies
2K Views
Nyie matajiri zangu bado mnataka kuendelea kulipa KODI? Una miaka 35 bado umepanga huna hata ramani ya nyumba ndani? Suluhisho nimelipata sasa nipo kwa ajiri yako wewe mwenye uhitaji wa haraka...
2 Reactions
3 Replies
799 Views
We are delighted to introduce you to our exceptional sail shades that will transform your outdoor space into a serene oasis. CALL US FOR THE EXCELLENT SAIL SHADES EITHER BE CLOTHES OR...
0 Reactions
1 Replies
338 Views
SERIKALI YAUNGA MKONO JUHUDI ZA WANAKIJIJI ZA KUJENGA SEKONDARI YA KUMBUKUMBU YA PROF DAVID MASSAMBA Hayati Prof David Massamba, Gwiji la Lugha ya Kiswahili kitaifa na kimataifa, ameenziwa kwa...
0 Reactions
0 Replies
243 Views
Karibu sana wateja wetu, sisi tunafanya kazi za ujenzi, finishing za makazi, Pamoja na UTENGENEZAJI wa Garden za KISASA. Gharama zetu ni sawa na bure, usikubali kuambiwa Bali chukua hatua ukitaka...
2 Reactions
4 Replies
519 Views
eti wakuu, limekaaje hili huko uliko? na je kama kuna maua au miti nani anayamwagilia maji na kuyakatia? ni mwenye nyumba au mpangaji?
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Naomba ushauri kuna kiwanja nimekipenda kununua kina hati miliki lakini naskia gharama za kufanya transfer ni kubwa je nifanyeje ili kupunguza gharama au nitafute ambacho hakina hati militias...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
Hv unajua lita 1 ni sawa na kilo 1 Kwahiyo kama kwenda mnara umeweka lita elf 10 Inamaana umeweka tani 10 😁😁😁 Fundi akisema nunua nondo usiwe bahili nunua nondo Tunaandaa Ramani, TunaJenga ...
2 Reactions
7 Replies
747 Views
habari wdau ukiachana na Google map na Google earth kuna application za kuchukua coordinate za kiwanja ambazo zinaendana na mfumo wetu wizara ya ardhi
1 Reactions
4 Replies
502 Views
Nipigie nikupe plan bei zangu ni BUREEEE PIGA HATA TUONGEE KUHUSU YANGA KUTOCHEZA MECHI. PIGA 0621 622 070
2 Reactions
0 Replies
370 Views
Back
Top Bottom