Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Ndugu wadau naomba kujuzwa kwa mapana juu ya mada hii tukijikita katika 1. Wiring cost katika nyumba 2. Perfomance 3. Gharama za uvutaji umeme toka tanesco Asanteni
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Salaam wakuu, Ninataka niezeke kwa mabati yanayofahamika kama reject, nimetembelea wanapouza nimeona ni mapya kabisa hayana tofauti kubwa na yale ya madukani ambayo siyo reject. Kuna mtu...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Nawasalimu wanajamvi, Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari! Je, kwa nyumba ambayo ina ukubwa wa mita 30 kwa 40 ambayo haina ukuta wa nje, haina geti, haina siling board vyumba vyote, haina tiles, ambayo ina vyumba vitatu vya kulala ambacho master...
2 Reactions
20 Replies
12K Views
Kuna yeyote anaweza kunikutanisha na fundi wa vitanda vya chuma Nina idea nataka wa kunibunia anichongee kwa chini kiwe kitanda kwa juu iwe sehemu ya kukalia ambayo unaweza ukafunga screen yako...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba niwashirikishe kwny challenge nnayokutana nayo, ni hv: Nipo kweny harakati za kupanga na kuanza maisha yangu nikiwa natokea gheto, mm ni muajiriwa nafanya kazi maeneo ya morocco. Nawaza...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari za kwenu wanajamvi, Nakuja hapa nikiomba ushauri/msaada wa dhati kabisa juu ya ujenzi nina 15million ya kumalizia vitu vichache je itatosha? Na kwa sasa najua wengi wenu humu mna uzoefu na...
11 Reactions
237 Replies
86K Views
Hesabu hii ni kwa ujenzi wa Nyumba simple ya vyumba vitatu (kimoja master) Ikiwa na upana wa mita 9.5X10.4 KUJENGA BOMA tofali (jumla) ...... 3,130pc mchanga ......... 16m3...
13 Reactions
38 Replies
8K Views
Habari zenu wadau wa JF? Je, ninaweza kutumia nusu ya boriti ya 2x2 (kuikata katikati kwa urefu nakuwa 1x2) kwa ajili ya blandering? Au inaweza kuleta shida in-terms of strength ya kushikilia...
0 Reactions
8 Replies
6K Views
Habarini wakuu, nauliza bei ya mabati ya msouth kwa bei ya kiwandani. Kama bei itaambatana na grade number itapendeza zaidi. Pia kwa anayefahamu yanakopatikana kwa hapa Mwanza (nasikia kuna...
2 Reactions
8 Replies
12K Views
Biblia nayo haikubaki nyuma kutoa ushauri kwa wanaotaka kujenga nyumba mpya. Kumbukumbu la Torati 22:8 [8]Utakapojenga nyumba mpya, fanya ukuta kando-kando ya dari lako, usije ukaleta damu juu ya...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Naomba kuwakumbusha wale mnaoanza au mnaotaka kujenga. Mtambue ya kuwa katika ujenzi 60%-70% ya gharama utakayotumia kwenye ujenzi,Mara nyingi huwa ni gharama ya material. Kwa hiyo usijisumbue...
17 Reactions
32 Replies
5K Views
Mfano , nimenunua BATI rangi ya kijani JE ni rangi gani nipake ukutani ili iendane na rangi ya bati?
1 Reactions
3 Replies
6K Views
Naamini mafundi wazoefu watakuwa wanajua. Naomba kujua, Cement ya Bamburi ya kule Kenya inaweza kulinganishwa na cement gani ya hapa Tanzania kwa viwango vya ubora?
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Hello wakulungwa na mafundi wabobezi, Naomba kujua nyumba hii ya vyumba 2 utagharimu tofali kiasi gani!? Msingi pekee tofali ngapi!? wenye angalau coz 5, napendelea nyumba iwe juu. Kutoka kwenye...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari! Kama ilivyo mada tajwa hapo juu. Kama mjuavyo ujenzi ni gharama sana hasa ukifuata kanuni zote za ujenzi. Binafsi nataka kujenga lakini katika hesabu zangu za kusimamisha boma, nimekutana...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu wadau? Natumai hamjambo wakubwa heshima kwenu. Nina kiwanja changu kidogo ambacho kina 34ft urefu 22ft upana Ambacho kipo KatiKati baina ya nyumba na nyumba. Sina mashaka na urefu wa...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Kuna mtu anajua gharama ya kujenga aina hiyo hapa ?
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom