Wakuu nyumba yangu ina changamoto ya cracks za mara kwa mara nyingine zinakuwa perpendicular nyingi diagonal. Udongo wa hapa ni clay (mfinyanzi).
Nataka kushusha ukuta wote naomba ushauri wenu...
Kwa kurejelea mchoro huu, nimeshajenga msingi kamili.
Ila naona nyumba itakuwa kubwa sana kuimudu kujenga yote kwa sasa.
Nafikiria kuigawa katika sehemu mbili, niikamilishe hiyo sehemu ya upande...
Natumai mu wazima.
Nina site yangu ambayo nilishajenga msingi tangu mwaka juzi,
Sasa gharama za pango na mikiki ya Januari imenifanya nipakumbuke leo.
Msingi uliopo ni wa vyumba 3 (kimoja ni...
Nimejichanga miaka kadhaa hatimae nikapata kakiwanja kangu huko ndanindani Zingiziwa
Nikajichanga tena wazo ni angalau niwe na kakibanda hata kamgongo wa ng'ombe nisahau adha za kodi. Juzi...
Mimehamia nyumba yangu mpya ambayo umeme haujafiaka. Nimeplani ninunue solar ya kawaida tu lakini si hizi za makampuni. Ninachohitaji kujua, tv na sub woofer yangu vyote vina njia mbili ya umeme...
Kwa miaka ya karibuni kumeibuka Kampuni kadhaa zinazojihusisha na uuzaji wa Viwanja kwa njia ambayo wanamruhusu Mnunuaji kulipia kwa awamu au kidogokidogo.
Wengi watakwambia ulipe kiasi fulani...
Wakuu kwema !
Kama maada inavyojieleza hapo juu, kuvuja kwa nyumba iwe ya kawaida(mfuto), ghorofa(storey), contemporary n.k.
Maoni, ushauri karibuni sana.
Kwanza niwe muwazi kabisa nyumba nyingi...
Kuweka TV ukutani inapendeza sana. Lakini hamna kitu kinakera kama kuona mawaya yananing'inia kutoka chini kwenda juu kwenye TV. Haipendezi kabisa na inaondoa uzuri wote wa eneo hilo.
Jinsi ya...
Kwenu wataalam wa ujenzi. Naweza kujenga nguzo za kibaraza kwa matofali ya kulaza, yaani niachana na nguzo za nondo/zege? Juu nitaweka mkanda kama kawaida. Kiutaalamu ina madhara yoyote?
Kwa kweli hii trend mpya ya madirisha ya Aluminium binafsi sijaielewa kabisa. Naona kama hayako classy kulinganisha na ya mbao nzuri kama mninga.
Muonekano wake haunivutii kabisa, naona kama ni...
Habari zenu waungwana, napenda kujua na kufahamu, kuna madirisha yale wanayotumia sana maeneo ya vijijini yenye kuwa na baridi sana, napenda kujua gharama ya vioo vyake hua ni vidogo, mfano kioo...
Kama tunajenga Ikulu hiyo hiyo kama ya Dar es Salaam nini maana ya Wasomi wetu hasa wa Ujenzi kuhimizwa zaidi Suala la Ubunifu ili Kupendezesha eneo na hata Mazingira pia?
Nayasubiri tu majibu...
Wadau kwemaa!
Tukiwa tunaelekea kufunga mwaka naomba kuuliza je NI rangi gani nzuri ambayo haipauki unapo paka ktk kuta za nyumba yako
Coral
Plastcon
Billion
Binafsi hi billion sioni Kama no...
Habari za mchana wajenzi...
Napenda kufaham, ina chukua muda gani kujenga nyumba ya vyumba vitatu kutoka msingi hadi finishing? Hapa ninakuwa na pesa yote inayohitajika. Ni mtu ambaye nimeajiriwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.