Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

On JF:

Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments) Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi. Alikubaliana nao kuhusu bei. Mteja wangu anataka...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwa mwenye anaweza kuwa na ramani ya haka kajumba anitafute inbox tuongee
3 Reactions
22 Replies
5K Views
Mafundi nisaidieni materials za haka kamchoro karamani hapa. I mean BATI ngapi? Idadiii ya TofaLi Cement. Mawe Nondo.
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, nashukuru Mungu nimeweza kufika hatua ya linta katika Ujenzi wa Nyumba yangu ya makazi. Ila leo nimejarbu kuanza kushusha hesabu ya UPAUAJI gharama zmekuwa kubwa sana Bati za...
2 Reactions
40 Replies
9K Views
Wakuu salaam, Unawezaje kuuandaa mchanga wa bahari kwa namna rahisi ukafaa kwa ajili ya ujenzi? ili kupunguza adha za mchanga wa mtoni ambao gharama yake ipo juu, wakati mchanga wa bahari upo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Binafsi si shabiki wa madirisha yanayotamba siku hizi, aluminiamu na pvc. Sababu kubwa ni kutokuwa na uimara wa kutosha na pia hata yakifunguliwa yanachukua sehemu kubwa ya dirisha na hivyo kuzuia...
10 Reactions
67 Replies
14K Views
Habarii zenu wakuu, kama kawaida sisi walala hoi, wenye hela za mawazo kila kukicha tunapambana walau kupiga hatua. Nina kauwanja na nina tofali 700 plan ni kupata 2 bedrooms, 1 master...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Salama wanajamvi? Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza. Wiki nne zilizopita Nilifunga mbao za kench ktk site yangu na kuoda bati alaf ila bati bado hazijatoka nimeambiwa nitegemee zitatoka ndani...
2 Reactions
47 Replies
11K Views
Eti wakuu hivi vitu pamoja na milango, madirisha na umbali hadi darini kwa wastani unakuwa kuwaje. Maana nasikia hadi ngazi zina kipimo chake cha urefu na upana.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Jee earth rod ikiwa mbovu au ya miaka mingi bila kubadilishwa inaweza pelekea umeme kupotea mwingi au umeme kuisha kwa haraka Nimeuliza maana kuna mtu alikua anadai umeme unaisha kwa haraka...
2 Reactions
33 Replies
10K Views
Naomba kujua ghrama za kupaua nyumba yenye vyumba vitatu, dining, sebule, jiko, stoo na vyoo vitatu. Naomba kujua wastan wa gharam za ufundi.
3 Reactions
28 Replies
7K Views
Habari za humu jamvini waheshimiwa. Nawapongeza sana kwa uwepo wenu kwenye jukwaa hili muhimu. Mada: Mimi nilifanya tathmini ya gharama za kujenga msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, sebule...
2 Reactions
52 Replies
15K Views
Jamani samahanini natamani kujua ni gharama gani Yani fedha kwa makadilio inayoitajika kuanzisha hospitali
2 Reactions
29 Replies
7K Views
Ndugu zangu! Nyumba ipo eneo ambalo sidhani kama kuna fungikuvu wala bakteria wala unyevu, (hapa najifariji kuwa sihitaji binder) kwa maana nyumba za huko nyingi ni za udongo na ziko poa tu...
2 Reactions
33 Replies
22K Views
Habari za weekend wadau. Nimetokea kupenda design hii ya dali ambayo miti na zege vimetumika kuremba muonekano. Je kwa wataalam ni miti gani inafaa?. Nini hasara na faida ya ujenzi huu (gharama vs...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Je, unaweza jenga ghorofa moja kuanzia msingi hadi juu kwa mawe? Eti wakuu inawezekana kufanya hivyo?
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Wajumbe mnaofahamu Vitasa vizuri vya kifunga katika milango au pia kama kuna mtu annae fahamu duka wanalo uza vitasa vizuri vya milangoni.
1 Reactions
24 Replies
17K Views
Habari wakuu! Jamani kuna fundi hapa anataka kuniwekea madirisha ya vioo kwenye nyumba yangu lakn bei zake kwa dirisha moja la 5/6 anafanya tsh 32000 je ni bei za kawaida au ntapigwa. Naombeni...
2 Reactions
62 Replies
14K Views
Dalali yoyote ambae yupo tayari kufanya biashara naomba anicheki kwa no;0783 24 2247 Nahitaji chumba chenye sifa zifuatazo: Kiwe ni master room Kiwe maeneo ya Kimara Kiwe ndani ya geti/fensi...
0 Reactions
3 Replies
976 Views
Wadau..ninajenga nyumba mkoani Morogoro ina vipimo vya urefu ni 15 na upana ni 12. Ni nyumba ya vyumba 3 vya kulala (viwili kati ya hivyo ni self contained), kimoja cha kawaida na sitting na...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom