Wengi huwa tunajiuliza umuhimu wa hesabu mbali mbali tulizofundishwa mashuleni/vyuoni.Ukweli ni kwamba hesabu zote zina matumizi muhimu sana katika maisha yetu.
Kigawe kikubwa cha shirika (KKS)...
Habari,
Nimegundua watu wengi huwa wanalala kwenye vyumba vyenye choo ndani au vyoo vyenye chumba ndani.
Hii ni baada ya kuona ujenzi wa nyumba nyingi za kupanga, air bnb, na nyumba za kuishi...
Ni takribani miaka mitatu tangu kuanza kwa utekelezaji wa Mradi wa Awamu ya Nne wa Barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi) katika kipande cha Mwenge hadi Tegeta (DAWASA). Hata hivyo, kasi...
Ni wataalam wa kuaminika. Wenye weledi na KAZI zao, ambao wamejipambanua Kwa wigo mpana kuhakikisha jamii inapata huduma Bora zaidi. Lakini wanaamini kuwa MAZINGIRA YAKO NI AFYA YAKO. Tupigie Kwa...
Ni wataalam wa kuaminika. Wenye weledi na KAZI zao, ambao wamejipambanua Kwa wigo mpana kuhakikisha jamii inapata huduma Bora zaidi. Lakini wanaamini kuwa MAZINGIRA YAKO NI AFYA YAKO.
MKOPO MKOPO wa ujenzi,
Nyumba hii inasifa zifuatazo.
Chumba kimoja kikubwa chenye washroom, sitting room kubwa,kitchen na public washroom.
Nyumba hii ni maalum kwa vijana wanaoanza maisha au kwa...
π§ KELVIN HK BUILDER'S π§
ποΈ Wachimbaji Visima vya Kisasa β Wataalamu wa Kuaminika!
π Temeke, Dar es Salaam | π Tunahudumia Tanzania Nzima
π₯ OFA YA MSIMU: PUNGUZO LA DHAMANA! π₯
Tunakuzawadia...
Soko limekuwa na bidhaa nyingi sana siku hizi hadi imekuwa rahisi kuibiwa harafu unabaki unacheka peke yako na hasara yako
Naomba ushauri wa vitasa bora na imara vya kutumia kwenye milango ya...
showcase za kuhamishika..
boss wangu hizi showcase zinabadili kabisa muonekano wa seble yako..
seble yako inakuwa π₯π₯
boss wangu ww jiamulie mambo tuπ kwa kunipa oda nkutengenezee showcase yako...
Kuna vitu 7 ukivipuuzia sasa, baadaye utajilaumu sana:
1. Mahusiano na Familia
Ukiwa na pesa zote duniani lakini familia yako imevunjika, nyumba yako ni tupu. Weka muda kwa mke/mume, watoto...
Uchaguzi kati ya TRMC Bond Fund yenye riba ya 11% kwa muda wa miaka 5 na i-Trust Bond Fund yenye riba ya 13% kwa muda wa miaka 4 unategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari...