Msaada: Bati gani ni nzuri na hazipauki haraka?

davetz 23

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
206
302
Habari za kutwa nzima ya wale wana jamvi wote nawasalimu kwa jina la Jammhuri ya Muungano. Nimeandika uzi kadhaa kuhusu bati nikiomba ushauri ili niweze kununua kile ambacho kina ubora hasa baada ya changamoto ya ununuzi wa vifaa vya ujenzi kwenye nyumba ninayoishi sasa.

Nimefanikiwa kujenga nyumba nyingine lakini hii nataka niezeke kwa bati za rangi tofauti na ile ya awali. Nimeona baadhi ya nyumba bati zikipauka haraka na nyingine zikiduma na rangi yake kwa muda mrefu, sababu nini hasa?

Binafsi napenda rangi ya karoti ambayo hasa nimepanga kuinunua, lakini changamoto ni kwamba baadhi ya mafundi niliowauliza wanasema inapauka haraka, je, ni kweli?

Kama ni kweli ni rangi ipi walau inadumu muda mrefu?

Asante kwa wote watakaoshoriki kutoa mawazo ya kiufundi na uzoefu kwa sababu nategemea kununua bati kesho.

Muwe na usiku mwema.
 
Habari za kutwa nzima ya wale wana jamvi wote nawasalimu kwa jina la Jammhuri ya Muungano.
Nimeandika uzi kadhaa kuhusu bati nikiomba ushauri ili niweze kununua kile ambacho kina ubora hasa baada ya changamoto ya ununuzi wa vifaa vya ujenzi kwenye nyumba ninayoishi sasa.
Nimefanikiwa kujenga nyumba nyingine lakini hii nataka niezeke kwa bati za rangi tofauti na ile ya awali.
Nimeona baadhi ya nyumba bati zikipauka haraka na nyingine zikiduma na rangi yake kwa muda mrefu, sababu nini hasa?
Binafsi napenda rangi ya karoti ambayo hasa nimepanga kuinunua lakini changamoto ni kwamba baadhi ya mafundi niliowauliza wanasema inapauka haraka je ni kweli?
Na kama ni kweli ni rangi ipi walau inadumu muda mrefu?
Asante kwa wote watakaoshoriki kutoa mawazo ya kiufundi na uzoefu kwa sababu nategemea kununua bati kesho
Muwe na usiku mwema
Bati nzuri ni kutoka ALAF mkuu
 
Back
Top Bottom