chukua mbinu hii ya ujenzi

chukua mbinu hii ya ujenzi

stabilityman

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2024
Posts
808
Reaction score
1,750
habari
unapotaka kufanya urembo wowote ndani ya nyumba,
huwa tunatumia cement,
usitumie wall put kufanyia urembo .
urembo wa nyumba huwa tunatumia cement na finishing yake ndio tunatumia wall put
asante
0743 257 669
Nichek kwa kazi za ujenzi
 
MKuu tuma picha walau tuone kazi zako
 
Urembo umegoma kupigwa picha.
Kazi ni kipimo cha utu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom