Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, anatarajiwa kuzungumza na waandishi wa habari leo majira ya saa 6 mchana.Hadi sasa, taarifa rasmi hazijaeleza agenda au kilichokusudiwa kuzungumzwa...
Wakati huu kumezuka rundo la maandiko, Nasaha kutoka kwa watu mbalimbali Nchini Tanzania Ma Prof, watu wenye nyadhifa mbalimbali za Juu na ndogondogo.
Wote hawa wanasemea Taifa kuliunganisha na...
Watu wamekufa kwa maelfu yeye anasema imetutia doa kidogo.
Anajaribu ku minimize ukubwa wa skandali la mauaji. Hana utu hata kidogo.
Na hili la kusema itabidi atumie rasimali za ndani ni janja...
Waziri wa Afya, Mohamed Mchengerwa, amewataka watendaji wa Wizara ya Afya kufanya kazi kwa bidii, weledi na uadilifu na kuacha kufanya kazi kwa mazoea ili kuleta tija na ufanisi kwa wananchi. Hii...
Kufuatia kusambaa kwa taarifa kwenye mitandao ya kijamii zikidai kuwa Daktari Kibaba Furaha Michael wa Hospitali ya Rufaa ya Geita ametekwa, Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita limetoa taarifa kwa umma...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amemteua Wanu Hafidh Ameir kuwa Naibu Waziri wa Eimu, Sayansi na Teknolojia. Wizara itasalia kuwa na Prof. Adolfu Mkenda kama waziri...
Rais Samia Suluhu amesema hali iliyotokea nchini wakati wa uchaguzi mkuu imeitia doa nchi, na kwamba huenda ikapunguza sifa ya kupata mikopo kirahisi, hivyo ameagiza viongozi kutafuta zaidi fedha...
Rais Samia amesema kuna vijana ambao ulikuwa ukiwaangalia walikuwa wakionekana wakifuata mkumbo lakini hawakuwa wakielewa kile walichokuwa wanafanya.
Hivyo ameagiza vyombo vya ulinzi vijana wote...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji (Mb), amewataka watumishi wa wizara na taasisi zilizo chini ya wizara hiyo kuhakikisha wanazingatia maslahi na utu wa Mtanzania wanapotoa huduma...
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Adolf Mkenda, pamoja na Naibu Waziri, Wanu Hafidh Ameir, wamesisitiza dhamira ya Serikali ya Awamu ya Sita kuendeleza mageuzi makubwa katika...
Haji Omar Kheir
Kwa vile hakukuwa na utunzaji wa kumbukumbu zozote miaka hiyo, Inakisiwa kuwa Haji Omar Kheir alizaliwa kisiwa cha Tumbatu mwaka 1960.
Allzaliwa katika umasikini uliopindukia...
Mchambuzi wa masuala ya Siasa Deus Kibamba amesema kwa mazingira ya sasa, ni ngumu kupata mchunguzi wa ndani atakayeaminika na pande zote, isipokuwa ni busara pande zote zikaridhia kupata...
Ushauri tu wangu binafsi, nimefikiria kwanini Jumuia ya Madola imetuma Mwakilishi/Kiongozi atakayesimamia au kuongoza maridhiano, naona hapo kama pana kamtego furani hivi
Wananchi tukikataa...
Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito wa kuachiliwa huru kwa watu wote waliokamatwa au kushikiliwa kutokana na tuhuma zinazohusiana na Uchaguzi Mkuu wa 2025
Mratibu...
Mwafwaa! Wanamtandao wamedhamiria walahi kuwatoa figo zenyu. Tayari wakuu wa vyombo vya dola walishanunuliwa wakajiunga na mtandao.
Sponsors wa wasiojulikana ni wanamtandao wakishirikiana na...
Haijalishi wewe ulikuwa chawa au ulikuwa nani kinachotafutwa na tukio la mtu maarufu mwenye jina apate tukio mitandao ije imzungumzie wamejaribu kwa mwenzenu hapo juzi mmeona kijana mpole ila...
Wote tunajua. Chaguo la mgombea mwenza lilikuwa Dk Hussein Miwnyi. Lakini baada yachaguao lake Bernard Membe kupigwa chini, akalazimisha mtu wake yaani Samia apitishwe kuwa mgombea mwenza ili...
Ufuatao ni mgawanyo wa Baraza jipya la Mawaziri la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakika Serikali inapiga hatua kubwa mno. Serikali inapambana kuwaletea maendeleo Watanzania wote
Tume!!!!
Siamini aisee. Kwa hiyo SADC wana Tume yao, serikali ina Tume yake?
Kwanini Stergomena anatambulishwa kwa title yake ya SADC badala ya title aliyokuwa nayo wakati haya yanatokea...
1. Achia watu waliotekwa.
2. Achia watu waliofunguliwa kesi za kijinga.
3. Weka katiba mpya yenye matakwa ya sasa.
4. Acha kulilia mali kuliko uhai wa watu.
5. Ongea lugha ya kuridhiana sio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.