Kuhusu Msajili wa Vyama vya Siasa na Uingiliaji wake Kipindi cha Uchaguzi
Wakuu, ni wazi kwamba tunapokaribia uchaguzi, kuna wasiwasi mkubwa kuhusu jinsi Msajili wa Vyama vya Siasa anavyoingilia...
YAH: MALALAMIKO YA KUTHIBITISHWA/KUPITISHWA KWA VIONGOZI KINYUME NA KATIBA YA CHAMA
Nakiri kupokea barua yako yenye Kumb. Na. KM/CDM/A-B/2025 ya tarehe 18 Februari 2025 kuhusu somo tajwa hapo...
Mwenyekiti wa BAWACHA wilaya ya Ilala Nice Gisunte amesema wanachama wa Chadema kwa sasa wanajua kinachoendelea dhidi ya wanachama wa Chama hicho wanaojitoa Uanachama kuwa kuna Mradi wa kimkakati...
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa Sh 50 milioni kuchangia ujenzi wa Kanisa Katoliki Parokia ya Maria Mtakatifu Mwana wa Mungu, Kabwigwa Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma.
Mbali na Rais kutoa kiasi...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)-Bara, John Heche amesema ndani ya chama hicho hakuna ubaguzi bali ni mabadiliko ya kawaida ya viongozi.
Heche amesema hayo leo...
Katika harambee hiyo Enokc Kiswaga ambaye ni Mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na mzaliwa wa kata hiyo ya Imalinyi amemwambia Mbunge wa Jimbo hilo Festo Dugange kuwa anagombea ubunge wa...
Mbunge wa Viti Maalum Nusrath Hanje amezungumza na Wasafi Media kuhusu mitazamo ya watu kuhusu majimbo Mapya yaliyoanzishwa
Katika mazungumzo ambayo amefanya na Carlos Ngonya, Hanje amesema kuwa...
Wanachama wawili wa Chama cha Siasa cha Independent People's Party (IPP), Vyonheaven Urima na Andrew Bomani, wamewasilisha maombi Mahakama Kuu ya Tanzania, Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, wakiomba...
"Mwenyekiti wa sasa alisema ataishughulikia sekretarieti, na bahati nzuri watu waliamua kujishughulikia wenyewe na asilimia 90 ya wajumbe wa sekretarieti ya CHADEMA waliondoka wenyewe...
Bunge la Ulaya linatarajia kufanya mjadala wa dharura tarehe 7 Mei kuhusu kesi ya Tundu Lissu, Mwenyekiti wa CHADEMA, chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Lissu anakabiliwa na mashtaka ya...
Wakuu,
Kama kawaida yangu, napenda ukweli na ukweli huu huniweka huru, nimefanya tathimini ya kina juu ya mgombea urais kupitia CCM mama yetu Samia Suluhu Hassan na kujirithisha kuwa anafaa...
"Ni jambo ambalo limenishtua ni jambo ambalo sikutegemea kukutana na maamuzi ya namna hiyo hasa nikizingatia nafasi ya Msajili wa vyama vya siasa, yeye ni mlezi wa Demokrasia"- Wakili Edson Kilatu...
Tawi la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kisutu, limeandika barua ya kutaka maelezo kutoka kwa mwanachama wake, Henry Kilewo, likimtuhumu kwa usaliti, kuhujumu shughuli halali za chama...
Huwezi kuishi kwa kujifanya mtoto mdogo Kila wakati ilihali umekuwa, nchi hii inaendeshwa kwa mujibu wa Sheria hivyo jitafakari. Taifa linakuwa vituko kwa sababu ya watu tuliowapa dhamana, fikra...
Wakili Edson Kilatu ambaye pia ni mchambuzi wa masuala ya Katiba na Sera amesema kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa anaongozwa na Sheria ya Vyama vya Siasa ya mwaka 1992, sura namba 258 ya sheria za...
CHADEMA bado haijafa lakini ni kama iko ICU
Ndugu zao wa ODM wameshamezwa na UDA na sasa hawafurukuti tena, Raila amepewa jukumu la kumuwakilisha Ruto kwenye mikutano midogo midogo duniani...
Kuna taarifa kwamba wapo wabunge tayari wanasubiri kuapishwa. Hawana sababu yakufanya kampeni kwa sababu tayari wamepewa nafasi.
Haya majimbo wanayotegemea kuongoza naamini wapo wana CCM...
NCCR-Mageuzi
MKUTANO NA WANAHABARI TAREHE 14 MEI 2025, JIJINI DAR ES SALAAM
Ndugu zetu Wanahabari;
Tunawashukuru kwa kufika.
Tumewaalika hapa ilituweze kuwafikia watanzania wenzetu kuhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.