Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.6K
Threads
7.6K
Posts
193.6K

JF Prefixes:

Msingi wa mgogoro wa UKUTA ni utekelezaji wa ilani. Serikali inapanga mipango ya maendeleo inahamasisha wananchi kutekeleza na huku vyama pinzani havijakaa pembeni bali navyo vinahamasisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
  • Redirect
Mwezi huu bunge la Tanzania litakua na vikao vyake, na kama tunavyojua wanaohudhulia ni wabunge wanaotoka katika vyama vya siasa. Chama cha chadema kina wabunge katika bunge hili.chama hiki...
0 Reactions
Replies
Views
Kwa kipindi cha miaka miwili mamlaka ya Reli ya Tazara imekuwa inatokea fedha toka serikalini kwa ajili ya kuwalipa mishahara wafanyakazi wao,, na hii ilitokana na mamlaka hiyo kushindwa kuzalisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Redirect
Nimewahi kuuliza kwenye uzi wa mdau mmoja humu wakati tarehe ya UKUTA ikikaribia("najiuliza kama Lowassa ataandamana"). Nikimuangalia Lowassa naona dhahiri ni mtu ambaye hawezi mikiki ya kupigwa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Habari wanaJF, Taarifa zilizonifikia hivi punde ni kuwa Tanzania Daima wako kwenye crisis kubwa kwasababu watu wanaodaiwa kuwa ni Madalali wa shirika la nyumba la Taifa la NHC wamefika ofisini...
1 Reactions
Replies
Views
Dhana ya UKUTA ilikuwa haieleweki vema na wananchi kwa waandaaji wake Chadema kushindwa kuitangaza ikaeleweka. Lakini serikali na chama tawala bila kujua wameifanya kazi hiyo kwa ufanisi mkubwa...
18 Reactions
119 Replies
10K Views
SAA tatu baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza kusitisha maandamano na mikutano yake chini ya operesheni yaUmoja wa Kupinga Udikteta (Ukuta), Jeshi la Polisi limewataka...
6 Reactions
75 Replies
12K Views
  • Redirect
Nianze kwa kuwapongeza Chadema na hili la ubunifu wa ukuta. Kwa hakika mmetumia vyema karata yenu kama chama kikuu cha Upinzani Tanzania. Ikumbukwe utawala wa awamu ya tano kwa vipimo vya kila...
4 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
HII KITU IKO KATIKA UZI WA BASHE MDADA JOYCE KAIMWAGA HAPO,JIULIZENI CHADEMA ACHENI USHABIKI,ZAMENI NDANI YA MIOYO YENU LIANGALIENI HILI, HIVI KAMA KWELI NI MPANGO KAZI, CHAMA HAKIKOSALAMA HATA...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Mode usiunganishe uzi huu Mwenyekiti Mbowe ni mbinafsi na mnafiki kiasi cha tuzo ya NOBEL swala la kuhairisha UKUTA limefanywa ili kuokoa maslahi binafsi, huku akileta vijisababu ambavyo...
1 Reactions
Replies
Views
Mwenyekiti wa Taasisi inayoshughulikia masuala ya Afrika (Africa Matters Limited) Mhe. (Baroness) Lynda Chalker wa Wallasey - Uingereza, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA mkoani Arusha, Samson Mwigamba, amesema kuwa yeye yuko tayari kumpokea hata Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, endapo ataamua kufanya uamuzi wa kubadilika na kujiunga na...
2 Reactions
128 Replies
11K Views
  • Redirect
Naomba mheshimwa Mbowe upime maamuzi kama ni mabovu au mazuri kwa sifa alizokumwagia kama Siro. Kwa mala yakwanza nimeshuhudia makanda wa ccm wakikusifia.Tulizoea kuona wakisifia watu walioenda...
2 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kuna dhana mpya imejitokeza hasa kwa Mbowe,Lowassa, Mbatia na Wenzao wanapanga mipango halafu inapoonekana kuwa imeshindwa wanakuja kwa waandishi wa habari na kuhadaa umma eti viongozi wa dini...
3 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Upepo uliosafirisha Ngalawa ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo huenda usijirudie tena kutokana na hali ya mawimbi kwenda upande ambao ni tofauti na uelekeo wa ngalawa ya Chama hicho kwa sasa...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Lengo kuu la kuanzishwa kwa ukuta ilikuwa ni kupinga kwa rais kusitisha siasa mpaka mwaka 2020 ndipo CHADEMA wakaja na mkakati huu wa kupinga na kusema rais ni dictator. Na je endapo rais...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Tanzania nchi yangu, watu wako wanaangamia na kuangamizwa kwa kukosa maarifa. Ona wanatumia muda mwingi tangu 1961 kujaribu kuniomba na umaskini wa aina zote lakini hawapati ufumbuzi. Leo kaja...
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
MADHARA TULIYOYAPATA MWEZI MMOJA BAADA YA TAMKO KUHUSU MAANDAMANO YA KUPINGA UDIKTETA (UKUTA)..............................NINI KIFANYIKE? Nianze kwakuwa shukuru Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
5 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Haiwezekani watu kila siku wanasisitiza ukuta ukuta ukuta,na huku wakereketwa wengine wameandaa mpaka magongo ya kujifanya viwete....hapa nimejifunza mengi sana.Hiki chama kina watu wake,ila kina...
0 Reactions
Replies
Views
Back
Top Bottom