Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Juzi nimepigiwa simu na jirani yangu akiniomba nitaje jina langu liandikwe na CHAMA fulani ili niandikwe kwa watakaowapigia kura CHAMA hicho. Binafsi nilimjibu kuwa mimi ni mtu mzima mwenye akili...
1 Reactions
3 Replies
340 Views
Ni nini hasa huchangia vyama vya upinzani nchini, kuongozwa na wanaume pekee, na kutopendelea kabisa kuwapa fursa au kuchangamana na wanawake katika uongozi wa juu ndani ya vyama vyao vya kisiasa...
1 Reactions
17 Replies
698 Views
Nchi kwetu Tanzania katika kipindi hichi cha miaka hii 2, taifa litakuwa bize kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa ambao utafanyika November 27, 2024. Na uchaguzi mkuu ambao utafanyika 2025...
1 Reactions
5 Replies
461 Views
Huu uchaguzi umeanza kwa wasimamizi kupigiwa simu badala ya kutoa Matangazo ya watu kutuma maombi ya kusimamia uchaguzi huo. Hii inaleta picha kuwa Serikali kupitia TAMISEMI imeamua kuharibu tena...
0 Reactions
25 Replies
1K Views
Hii tarifa ni sahihi na si muda mrefu tutaweka majina ya Viongozi ambao wanazunguka na pikipk za Samia kwa lengo la kuwarubuni watia nia wa upinzani wajitoe. Baadhi ya maeneo wameanza kufanikiwa...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima, Katibu na wanachama wao wahamia CCM. Mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Itilima Mkoani Simiyu, Ndugu Terry Kilugala, na Katibu wake...
3 Reactions
82 Replies
5K Views
Fungu litengwe Kwa ajili ya wasanii kutumbuiza mikutano ya kampeni Uchaguzi wa Serikalin za mitaa. Muhimu sana.
1 Reactions
14 Replies
736 Views
Hamasa kubwa inatokana na wito wa mwenyekiti wa CCM taifa katika ziara zake maeneo mbalimbali nchini, na hivi karibuni akiwa mkoa wa Ruvuma, alitoa wito na kuwarai wananchi kwamba wanapaswa...
1 Reactions
5 Replies
573 Views
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu Ndg. William Lukuvi akiwa ameambatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Jaji Francis Mtungi leo 07/10/2024 ametembelea Ofisi za Makao Makuu ya...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Baada ya kuzunguka na pitapita zangu nimegundua CCM licha ya kutumia dola kushinda lakini kuna maeneo wanashinda kwa udhaifu wa vyama vya upinzani alafu mwisho wa siku wanatupa lawama kwa vyombo...
2 Reactions
7 Replies
569 Views
Godbless Lema, kiongozi wa CHADEMA, amefichua mazungumzo yaliyofanyika katika kikao cha Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mohammed Mchengerwa, pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda...
5 Reactions
21 Replies
2K Views
Muda mfupi baada ya kuchiwa kwa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Mwanasiasa na Mwanachama wa CHADEMA, Boniface Jacob (Boni Yai) amesea wakati anakamatwa na Askari wa Polisi kulikuwa...
21 Reactions
88 Replies
8K Views
Hii imekaaje , Tamisemi na kampeni ? Ambapo ukizingatia ndio msimamizi wa uchaguzi. Soma Pia: Mahakama yatoa kibali Wadau wafungue Kesi kupinga Ofisi ya Rais-TAMISEMI kutosimamia uchaguzi wa...
0 Reactions
3 Replies
479 Views
Katika mazingira ya kisiasa ya Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimekuwa kikishikilia madaraka kwa muda mrefu, na hali hii imezua malalamiko miongoni mwa wananchi, hususan vijana. Nishati...
0 Reactions
12 Replies
686 Views
Mchungaji Peter Msigwa ametema cheche katika mkutano uliofanyika Simiyu, akitoa kauli kali dhidi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Amesema kuwa CHADEMA hakina uhalali wa kukikosoa...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu, Yaani mpaka mtu anaandika utafikiri anamuita mtu mwingine mheshimiwa, kumbe anijiita mwenyewe, mhehimiwa mimi:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh: na msije kujidai hapa oooh wanaandikiwa blaa...
16 Reactions
118 Replies
3K Views
Kuwa wa Kwanza kufahamu kwamba, Mahabusu aliye jela ya Segerea, Boniface Jackob, Boni Yai, Bonny Dongo au Ngumi Jiwe, leo Amechaguliwa kwa kishindo kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, Baada...
20 Reactions
58 Replies
3K Views
Mwanasiasa Tajiri kuliko wote Mkoani Mbeya, Mwekezaji wa Kimataifa, Ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa, Bilionea Joseph Mbilinyi, Leo amefundisha habari za Uchaguzi ujao wa...
8 Reactions
41 Replies
2K Views
Joto la Uchaguzi wa Serikali za mitaa linazidi kuwa kali na hii ni baada ya mwanachama mmoja wa CHADEMA kufichua mbinu mpya wanayotumia CCM kuiba na kupora uchaguzi. Kwenye kikao na baadhi ya...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Wakuu, Watoto wadogo CHADEMA na wengine umejumbe umewafikia, mna nini cha kuoffer wananchi waone CCM ni pumba wawachague na kuwachagua nyinyi? ====== "Tushikamane na serikali yetu na chama...
2 Reactions
5 Replies
519 Views
Back
Top Bottom