Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Helolloooo Hizi off target hatuzipendi tunataka malaika watoa roho wapige panapostahili. Tutamaliza bia zote hadi tutaenda kunywea kwenye masufuria ya viwandani.
9 Reactions
11 Replies
483 Views
Wakuu, Mossy Lukuvi, ambaye ni mdogo wa aliyekuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratıbu na Wenye Ulemavu) na Mbunge wa Jimbo la Isimani, William Lukuvi, amewaomba msamaha...
1 Reactions
7 Replies
297 Views
Habari wakuu Nimepita mitandaoni nimekutana na clip ya mzee Wasira akikemea kuhusu watu kujiandaa na 2030, toka uchaguzi mkuu ulipokishwa mpaka sasa hata mwaka haijatumia. Hii kitaalamu imekaaje...
3 Reactions
18 Replies
395 Views
Wakuu, nimejawa na hasira tu na hii foleni kuanzia Mikocheni mpaka Mbezi Beach, kumeshona balaa, ukisogea hatua moja ndo unalala hapo hapo mpaka unasahau kama upo kwenye chombo cha usafiri Yote...
5 Reactions
17 Replies
580 Views
Rais Samia kuwaongoza waombolezaji kuaga mwili wa William Lukuvi, Viwanja vya Karimjee, leo Machi 28, 2026. Hadi mauti yanamkuta Lukuvi alikuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge...
3 Reactions
4 Replies
297 Views
Rais Samia umekosea sana kutoa msamaha kwa wahalifu wa October 29. Unadhani utapendwa na watu wote? Unadhani wapinzani watabadili mtizamo wao juu yako? Wewe ndiye uliwapa kupumua wapinzani baada...
4 Reactions
28 Replies
936 Views
Ukienda msibani kwa Lukuvi, wameweka bango lenye maneno ya kwenye Bibilia kutoka 2 Timotheo 4:7 "Nimevipiga vita vilivyo vizuri, mwendo nimeumaliza, Imani nimeilinda" Wazee wa zamani naomba...
12 Reactions
38 Replies
827 Views
Kwanza nianze na salamu ya Kwetu Kwa DPP ( mkurugenzi wa mashitaka) na kaka yangu Sylvester Mwakitalu. UGHONILE KIKOLO NDAGA UTUKUNYIKE. KYALA AKUSAJE NU KUKULINDILILA PAMUSI NA PAKILO. Pili...
77 Reactions
111 Replies
9K Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Kenan Kihongosi ametoa onyo kali kwa watu wanaochochea vurugu nchini, akisisitiza kuwa Serikali haitavumilia vitendo...
2 Reactions
4 Replies
187 Views
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kipindi hiki ambacho Dunia inashuhudia misuguano na machafuko katika maeneo mbalimbali ambayo yanapelekea kupanda...
2 Reactions
11 Replies
286 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Jasiri muongoza njia na Shujaa wa Afrika anakwenda Kuongoza Maelfu ya Waombolezaji Kuaga Mwili wa Mheshimiwa...
0 Reactions
11 Replies
251 Views
Nilimuona Kombo anatoa pole kwa ndugu zetu katika imani balozi wa Iran. Sasa hiyo pole mbona ndugu zetu hawarudisha ukarimu huo kuruhusu meli zetu zipite. Ukizingatia kiongozi mkuu ni muislamu...
1 Reactions
9 Replies
247 Views
Kulia na kucheka inategemeana na moyo pamoja na akili ya mtu. Huwezi kufurahia kifo cha mtoto wangu halafu nihuzikie kifo chako. Samia akumbushwe kuhusu 29 Oktoba 2025 then atuoneshe wapi alilia...
15 Reactions
26 Replies
738 Views
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Taifa limempoteza William Lukuvi katika kipindi kigumu ambacho dunia inakabiliwa na migogoro inayoweza kuathiri uchumi na kupandisha bei za bidhaa. Akizungumza...
2 Reactions
16 Replies
313 Views
Wakuu, Chawa nao hufa banaaa! Nacheka lakini naogopa (kwa sauti ya Bambo). Mmeua halafu mnataka mtamalaki? Mi nawaletea TBT tu Wakuu wangu, team chawa tuje na povu kwa step nguo zangu zote...
5 Reactions
18 Replies
348 Views
Kenani Kihongosi, Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, amesema kuwa mara nyingi amani inapopotea, watu wanaopata tabu ni watu wenye mahitaji...
1 Reactions
8 Replies
279 Views
Hasira dhidi ya wote walioshiriki na hata walioshabikia umwagaji damu siku za Uchaguzi alimaarufu Mo29 bado ingali ikigonga mioyo ya watu wengi nchini! Kwa mazingira ya kibinadamu, kwa namna...
1 Reactions
3 Replies
131 Views
Katika siasa, mara nyingi matukio makubwa huanza kama ishara ndogo, lakini zenye ujumbe mzito uliojificha ndani yake. Kwa kipindi cha takribani mwaka mmoja sasa, Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
3 Reactions
7 Replies
305 Views
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kenani Kihongosi amesema kuwa mashambulizi dhidi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi ni sawa na mashambulizi dhidi ya Watanzania wote...
2 Reactions
23 Replies
473 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…