Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Bila shaka humu Kuna watumishi wa Mungu. Mtumishi wa Mungu ukiwa kanisani ongea kile ulichofunuliwa na Mungu acha kujitengenezea agenda zako za kisiasa unatukera sana, kwasababu huna uwezo wa...
2 Reactions
48 Replies
647 Views
Katika ule mgomo mkubwa ya UDSM wa mwaka 1989, serikali pia ilitumia mbinu hiyo hiyo ya kuwateka viongozi wa DARUSO marehemu Ludovick Bazigiza na marehemu Matiko Matare. Ni rahisi kukosoa ukiwa...
13 Reactions
139 Replies
2K Views
Mange atakuja kuwa mtu mkubwa sana na kusomwa habari zake kwenye Tanzania ya kesho kutokana na mapigano yake dhidi ya wauwaji na watekaji. Mange anapigana na watekaji na wauwaji ambao wanaharibu...
7 Reactions
30 Replies
613 Views
Narejea kusisitiza kwamba, CCM ndiyo watakaosababisha vita ya wenyewe kwa wenyewe Tanzania Kitendo cha Hangaya kutangaza 2024 kuwa vyombo vyote vya ulinzi na usalama kujiandaa kijeshi kwa ajili...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Namuona Mungu akinena ndani ya kinywa cha mtumishi wake Dr. Malasusa, hakika nimeponywa nafsi nimeuona utume wa Mungu ndani ya Malasusa. Ee! Mungu wetu Asante kwa kutuletea mtumishi huyu...
0 Reactions
8 Replies
242 Views
Baba Mtakatifu, Ninaandika kwa dharura kutoka Tanzania, nchi ambayo historia yake imesimama kama mfano wa kuvutia wa mshikamano wa kidini. Zaidi ya miongo sita, Wakristo na Waislamu wameishi kama...
1 Reactions
30 Replies
2K Views
Siku zote namshukuru mungu Kwa vile nilivyo Wala sitamani kuwa yeyote zaidi ya Mimi mwenyewe. Hata kuwa Elon Musk sitamani. Imagine kama UNGETAMANI kuwa kama polepole wa kipindi Cha ma V8 je Leo...
2 Reactions
3 Replies
157 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kama kuna mtu alikula pesa za Mabeberu na maadui zetu kwa ajili na kwa lengo la kutaka kumpindua Rais Samia pamoja na kuleta ama kuchochea machafuko hapa Nchini yatakayo...
3 Reactions
80 Replies
1K Views
Kwa tafasiri ya wale wahubiri Amani wa 'kijani', kusifia na kusifia kila jambo hara uovu ndio uzalendo.
2 Reactions
3 Replies
136 Views
Katibu Mkuu wa Barala La Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) Padre Dkt. Charles Kitima akizungumza jana Disemba 19, 2025 wakati wa akimtambulisha Naibu Katibu Mkuu mpya wa Baraza hilo huku...
6 Reactions
93 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Jeshi la Magereza kwa kushirikiana na Mahakama ya Tanzania litaendelea kuwawezesha Wafungwa na Mahabusu kusikiliza mashauri yao...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Shangazi wa Taifa Maria, pole sana kwa harakati zako za kupigania haki, na Tanzania yenye demokrasia ya kweli, maendeleo kwa watu na kupinga ufisadi na ubadhirifu na kila aina ya dhulma nchini...
21 Reactions
57 Replies
2K Views
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema katika kulinda maslahi ya wakulima wa Mbaazi na dengu nchini Tanzania, Serikali...
1 Reactions
4 Replies
510 Views
Viongozi wa dini wameingia mtengo wa watawala wa nchi ama kwa makusudi ama kwa kutokujua. Tangu enzi na enzi viongozi wa dini walitumika kuwakemea watawala wa nchi na kila walipokemea nchi...
3 Reactions
5 Replies
224 Views
Nilidhani MO29 imetoa funzo kwa serikali hii haramu, lkn inavyoonekana bado wamekaza mafuvu huku wakimtegemea Mafufu kuwahadaa wananchi. Juzi juzi wamemteka Mwambe. Bila ya familia ya Mwambe...
2 Reactions
8 Replies
239 Views
Wengi kama siyo wote tunajua kesi ya uhaini inayomkabili Tundu Lissu ni ya kisiasa na ya kutengenezwa. Uchafuzi sasa umepita na wenye kushindishwa kwa nguvu wameshinda. Kuna sababu gani ya...
2 Reactions
5 Replies
191 Views
..RC Mtaka anadai Kariakoo haiwezi ku-survive bila ya uwepo wa Wakinga. ..sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=USgtsZ6LwvY
1 Reactions
0 Replies
160 Views
Kichwa cha habari kiko wazi. Kwa sasa, wengi wa watanganyika wanawalaumu polisi kwa mauji kiasi cha kuanza kuonekana kama waliua wao peke yao. Je, nani aliwapa silaha na amri ya kuua? Je, nani...
3 Reactions
3 Replies
147 Views
JohPombe Magufuli Jiwe, Nikiri. Najua hutasoma barua hii. Najua wafuasi wako wataisoma. Naandika kwa hasira na uchungu. Yote ni kutokana na uliyotufanyia. Uliachia maumivu. Wapo wanaoumia tokana...
9 Reactions
33 Replies
822 Views
Inawezekana ni kweli kuna watu magangwe lakini yeye aliye na risasi (mwenye kutumia bunduki) ndiyo gangwe zaidi? Maana wapo magangwe wa ngumi na kupigana hovyo lakini akikutana na mtu mwenye...
11 Reactions
67 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…