Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Huyu Trump anamwaga mapesa hatari, pamoja na Watu wa bongo kupenda Democrats ila Republican ndo wanaotoa misaada mikubwa kwa Tanzania. Baada ya kufutwa Kwa USAIDs Trump amekuja na mbadala wake...
9 Reactions
66 Replies
1K Views
Niliwahi kusema kuwa Samia amefeli kwenye kila idara ya uongozi na kwa sasa nchi haijulikani ina mission gani na inataka ku achieve nini!! Kwa walioanza kuisikia TEC juzi, unaweza kuhisi ni kweli...
53 Reactions
70 Replies
2K Views
Wanabodi Hii ni makala yangu kwenye Gazeti la Nipashe Kwa muda mrefu nchi yetu Tanzania, imekuwa ikibagazwa na media za nje, haswa za kibeberu kwa kuripoti na kutoa taarifa za uongo, uzushi na...
4 Reactions
20 Replies
699 Views
Tumeuliza Hivi kwa sababu ni dhahiri sasa kuna Vikundi vya machawa wanaolipwa hela za umma, tena wanalipwa hela nyingi kuliko Polisi n.a. Walimu. Kama walikuwepo ni vema tukawajua kwa Majina yao
9 Reactions
63 Replies
876 Views
Ile ratiba uliyopanga kuanzia tarehe 3 kuanza ziara ya kushukuru wananchi nchi nzima bado ipo? Vipi ile ya Korea kusini nayo ipo? Nijibu pm.
13 Reactions
34 Replies
774 Views
Mimi naamini hivyo,ukimpa uongozi mwanamke kwani atategemea kila kitu aamuliwe na mwanaume au wanaume. Kibaya zaidi watamuamulia kwa maslahi yao kwanza hawatajali kama huyu mwanamke...
10 Reactions
25 Replies
443 Views
Askofu Mkuu wa Jimbo Katoliki la Dar es Salaam, Juda Thaddeus Ruwa'ichi, amesema Watanzania wengi hawashabikii haki wala siyo wadau wa haki. Amesema wengi wao kwa ujinga, kwa kurubuniwa au...
32 Reactions
51 Replies
1K Views
Katika hatua ya kutambua mchango wake mkubwa katika kudumisha amani, umoja na mshikamano nchini, Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Kati limemzawadia tuzo Rais...
3 Reactions
55 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoani Kilimanjaro Yuvenal Shirima, ametoa onyo kwa viongozi wa dini wanaotoa matamko yanayoweza kuhatarisha amani ya nchi, akisema...
2 Reactions
9 Replies
300 Views
Wanabodi Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo Bado nipo ughaibuni katika haya na yale kuelekea siku ya October 29 ya Watanzania kwenda kupiga kura kumchagua rais wao na wawakilishi...
8 Reactions
36 Replies
1K Views
Anaanza kusahaulika mioyoni na midomoni mwa watu anapotea kimya kimya jambo ambalo so zuri nadhani. Nashauri mtafutieni ziara hata ya mchongo tu katika mikoa ya pembezoni. Ili angalau magazeti na...
8 Reactions
28 Replies
692 Views
Kama kichwa cha habari kinavyosema naomba list ya waliofanikiwa baada ya miaka 50 Tanzania?
1 Reactions
6 Replies
302 Views
Pamoja na kunusurika ktk jaribio la kifo, pamoja na mateso yote ya viongozi tulionao kwa sasa, na wafuasi wake kufuatiliwa kwa nguvu zote na vyombo vya dola, bado Tundu Lissu anaonesha anapigania...
33 Reactions
39 Replies
1K Views
Pamoja na mchango wake mkubwa katika kuunganisha jamii, bado kumekuwepo na baadhi ya viongozi ambao hawajatambua kikamilifu umuhimu wa mitandao ya kijamii kama chombo cha kuwasogeza karibu na...
2 Reactions
8 Replies
313 Views
Moja kwa moja. Mwanaharakati Mange Kimambi siku za karibuni amepunguza moto wa kuhamasisha maandamano baada ya #MO29 mengine ya #D9 hakuhamasisha kwa nguvu kubwa na ya #D25 ndio kabisa hata...
12 Reactions
279 Replies
4K Views
Kuna watu wakitolewa tu madaraka ya ubabaifu wao moja kwa moja ni jela na minyororo mda utaongea hakuna mtu ambaye hata wajibishwa. Hii inaenda kuandika historia tofauti Tanzania kuna watu...
0 Reactions
1 Replies
128 Views
Hizo ni tuzo ngumu ambazo ulaya wanajaribu kuzipa jina baya kiuhalisia hao Marais ni wazalendo kwa MATAIFA Yao wamekunywa maji ya bendera zao, ni wakomavu kwelikweli. Huwezi ukagusa maslahi ya...
4 Reactions
12 Replies
397 Views
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umekosoa tabia ya baadhi ya viongozi wa dini kuwazuia waumini wao kushiriki kwenye shughuli za kisiasa. Kauli hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa UVCCM...
5 Reactions
48 Replies
2K Views
https://youtu.be/endgC8fyOjA?si=IF8MCBwCTo2a76m- • Huko ndani ya CCM na ndani ya serikali hakuko shwari.... • Si tu Dr Nchimbi na Boss wake, ni kila makubwa, hakuna kuaminiana na kila movement na...
13 Reactions
58 Replies
4K Views
Kuna dhana inaenezwa na wazalendo uchwara kwamba kuandamana kwenda Ikulu ni kutaka kufanya mapinduzi, au uhaini. Wazalendo uchwara wanakwenda mbali na kudai kwamba yeyote anayepanga maandamano...
28 Reactions
94 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…