Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Chadema wapo busy na "no reform no election" mara Matone ya mvua na mambo mengine ya hovyo hovyo halafu baadae waje kusema wameibiwa kura. Kwanza Huku kwetu wananchi wanajiandikisha kama kawaida...
2 Reactions
47 Replies
2K Views
Wakuu, "Tunajua Rais naye kuna saa anahemewa. Lakini mzee, sisi tuko kwa ajili ya kumlinda Rais wetu. Hebu kaa sawasawa. Sitaki kukujibu kwa sababu nitakukosea adabu. Naogopa kushindana na wewe...
5 Reactions
105 Replies
6K Views
Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania kulingana na Mamlaka aliyonayo chini ya Kifungu cha 18(6) cha sheria ya Vyama vya siasa, ametangaza leo Jumanne Mei 27, 2025 kusitisha kutoa ruzuku kwa...
20 Reactions
216 Replies
14K Views
CHADEMA kimetoa majibu kwa Msajili wa Vyama vya Siasa kufuatia malalamiko ya mwanachama wake, Lembrus K. Mchome, aliyedai kuwa kikao cha Baraza Kuu Taifa cha Januari 22, 2025 kilikuwa batili kwa...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Furaha Media na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Furaha Dominick amedai kuwa Askofu Gwajima ameniomba amuachie Jimbo
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Lema aendelee kutoa Elimu ya Tume . Heche aendelee kusema Ufisadi, Ujinga wa Viongozi wetu kukosa maono , Madini, Maziwa , Mali Asili zote ,Ufujaji wa PESA za Wananchi ,Utekaji ,Uuaji n.k (...
1 Reactions
5 Replies
367 Views
Hadi kufikia mwishoni mwa June kuna uwezekano Heche akawa Equivalent au Equal na Lissu. Mbaya zaidi atakuwa ameshazunguka nchi nzima kuhutubia wananchi. CCM wakajifunze Senegal kwa Sonko na Faye...
2 Reactions
0 Replies
243 Views
Wajumbe ukumbi uko tayari Ukumbi wa Jakaya Kikwete ukotayari kwa ajili ya mkutano mkuu maalum utakao fanyika kesho tarehe 29. Na tarehe 30 may utakao ongozwa na mwenyekiti wa chama chama cha...
0 Reactions
3 Replies
611 Views
RUWASA BIHARAMULO WAANZA KUTEKELEZA KWA KASI MAELEKEZO YA KATIBU MKUU NCHIMBI UJENZI WA MRADI MKUBWA WA MAJI NYAKANAZI, TUNAJENGA MRADI WENYE THAMANI YA BIL 2.9 "TUNATARAJIA KUONDOA KABISA...
0 Reactions
0 Replies
284 Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira amesema chama hicho hakikuundwa ili kuwa chama cha muda bali kiliundwa ili kuwa chama cha kudumu Akizungumza leo Mei, 28 2025...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
FIDIA KWA WALIOPISHA MRADI WA UMEME WA KUTOKA GEITA KWENDA NYAKANAZI. Kulikuwa na mgogoro mkubwa wa wananchi wa kudai fidia kwa wananchi waliopisha mradi mkubwa wa umeme kutoka gaita hadi kituo...
0 Reactions
0 Replies
211 Views
Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Francis Mutungi Kufuatia Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini kusimamisha ruzuku kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mwanasheria na wakili...
27 Reactions
33 Replies
4K Views
Kamati Kuu ya CHADEMA imepanga kukutana tena June 03, 2025 kujadili barua ya Msajili wa Vyama vya siasa kisha itatoa mwelekeo Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche akiongea Jijini Arusha...
3 Reactions
5 Replies
566 Views
Wananchi wakiwa katika mkutano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) jijini Arusha leo Jumatano Mei 28, 2025. Chama hicho leo kimeanza operesheni ya No reforms, no election katika mikoa...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge...
9 Reactions
34 Replies
2K Views
Sijui naota au ni kweli? Nmeyapata kijiweni kwetu pale kizimkaZi Wana wanasema yupo mjomba angu atagombea na historia itaandikwa TU YAKUWA mbunge wa kwanza kutoka chama Cha Ubwabwa Tanzania...
0 Reactions
1 Replies
277 Views
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeendelea na kampeni yake ya kudai mabadiliko ya sheria za uchaguzi kabla ya kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, kupitia kampeni yao maarufu ya...
9 Reactions
23 Replies
3K Views
This is too much, hata kama ni ulevi wa madaraka hii imepita kiasi. Mzanzibari akipata madaraka huwa wana dharau sana hata Samia aliwahi kuwaita Watanzania mbwa wapumbavu. "Tuwaambie vyombo vya...
10 Reactions
131 Replies
9K Views
Wakuu! Amka! Pesa za walipa Kodi zinatolewa kama 'kifuta jasho' cha Burudani. Rais Samia, Mwinyi wagawa bahasha kwa Mrisho Mpoto baada ya kutumbuiza kwenye shughuli ya CCM huko Dodoma. Soma...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Friends and our Enemies, Gwajima kama mwanachama na mbunge wa CHAMA ana platforms za kusimama na kuongea ndani ya serikali, na ndani ya chama. Sasa anaposimama na kusema kwamba huenda hao watu...
4 Reactions
336 Replies
13K Views
Back
Top Bottom