Askofu Benson Bagonza kupitia ukurasa wake wa Facebook anasema;
UDINI UNAWEZA KUWA HUU.
Suala la udini katika taifa letu ni mgumu kuuthibitisha. Unachoweza ni kuonyesha au kuona dalili. Ukiona...
Katika hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyoitoa leo Disemba 2, 2025 katika mkutano wake na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam, Samia Suluhu Hassan emeonyesh wazi kuwa kilichotokea...
Tengeneza jezi zako, andika , TANGANYIKA, ingiza mtaani Fanya BIASHARA ziuze bei chee TU achana na Simba na yanga we uza bei che vi faida kidogo TU ndani ya mwaka mmoja Yani 2026 TU, piga hesabu...
Hotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano, Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika!
Wakati nyie...
Mussa Ndile CHEO: Kiongozi wa machinga Simu 2000 Alitekwa tarehe 27.11.2025 na watu waliojitambulisha ni jeshi la Polisi, ndugu wamemtafuta vituo vote vya Polisi hawajampata.
Tuache kuongelea mkataba wa waadabu wa Dp World ambao una kila dalili za rushwa na ufisadi .
Yuko wapi Chaula? Mdude Nyagali na akina Soka?
Angela Kiziga aliyekwapua mabilioni ya fedha na...
Zipo taarifa kuwa Dkt. Kibaba Furaha Michael, Mkazi wa Manispaa ya Geita yupo katika chumba cha uangalizi maalum yaani ICU baada ya kupigwa na kuteswa sana kwa sasa yupo hosptali ya mkoa wa Geita...
Na hatimae Samia amekiri kuwa waliouawaa ni watanzania na sio kama alivyokuwa anasema awali kuwa hawakuwa watanzania. ila huyu mama anatuchukuliaje sisi?
Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi.
Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu...
Salaam!
Maskini, mnyonge anayedaiwa huwa mnyonge .
Sasa maskini jeuri badala ya kulipa trillion 108 unazodaiwa, unatoka kuanza kumkoromea anayekudai kwamba " we nae kati ya wenye pesa nawe umo"...
Akizungumza nje ya viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, mfanyabiashara wa vipodozi maarufu, Niffer, amewashukuru Watanzania wote waliomwombea na kumpigania alipokuwa mahakamani na gerezani...
Sina mengi, leo nimesikiliza hotiba ya Rais Samia, nimeshangaa, nimesikitika na kuhuzunika sana, sikutemea.
In short father Kitima, kwa usalama wa maisha yako ni bora anza kuishi kama Askofu...
Kumekuwa na mijadala mingi kuhusu uzalendo.kila Mmoja kwa nafasi yake,muda wake,sababu yake na mahali pake amejaribu/wamejaribu kujipambanua kuwa wazalendo.
Kwa tafsiri ya haraka isiyo rasmi...
Documentary ya CNN ilitaja tukio hili, Padre Kitima kataja tukio hili, wahudumu wa hospitali walizungumza jambo hili kuwa polisi walikuwa wakiwazuia kuwatibu majeruhi.
Hata kama serikali itakana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.