Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NA MARYAM HASSAN WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo...
0 Reactions
2 Replies
530 Views
Kila yanapotolewa matokeo ngumi zinalipuka, yaani ni kila mtu na wake, hatari! Matofali na kila silaha zinatumika (Hakuna Polisi) Kama kuna Unapoona hakuna ngumi basi jua Matokeo hayajatolewa...
21 Reactions
96 Replies
37K Views
Mwanaume aliyenukuliwa katika kipande kifupi cha video kwa kauli yake tata kuhusu jinsia yake baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume kwenye kampeni za Chama cha Mapinduzi...
1 Reactions
2 Replies
898 Views
Hizi kura za maoni zimekuwa na vurugu sana CCM, hii inaashiria kutokuwepo kwa demokrasia katika taratibu za kupata wagombea kutoka kwenye chama chao.
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu ni rasmi sasa mnara wa babeli wa CCM unaaanza kuanguka. Huko Kigamboni kwenye mkutano wao wa ndani ya chama umevurugika na kumetokea vurugu wakati wapo kwenye mchakato wa kura za maoni...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Mimi ni mmoja wa makada wa CHADEMA ambao tulikuwa tunasimamia uchaguzi mkoani Geita eneo la NMC Kama moja ya wasimamizi wa uchaguzi huo, mara baada ya majina kubandikwa nimegundua udanganyifu...
1 Reactions
6 Replies
611 Views
Wakuu, Tumefikia huku, watu tumekuwa wazito kushiriki kwenye shughuli za uchaguzi na siasa kwa ujumla mpaka ka hela kahusike! === Mbunge wa jimbo la Isimani ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi...
0 Reactions
1 Replies
471 Views
NA AMRAT KOMBO, ZANZIBAR Usawa wenye hadhi sawa unamaanisha kwamba watu wote katika jamii wanapaswa kuwa na fursa sawa za kushiriki katika ngazi ya maamuzi na uongozi. Hali hii inategemea...
1 Reactions
0 Replies
443 Views
Juzi zoezi la andikishaji wapiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, limehitimishwa kwa serikali kujipa kongele kubwa kuwa wananchi wengi wamejiandikisha. Sasa Chama cha...
4 Reactions
6 Replies
988 Views
20 October 2024 Mikoa yavunja rekodi kujiandikisha uchaguzi wa TAMISEMI 2024 Mikoa mitano ya Tanganyika iliyoongoza nchini Tanzania ni kama ifuatavyo : Tanga asilimia 101.13 ya lengo , Pwani...
6 Reactions
42 Replies
3K Views
Hii ni ishara tosha kwamba CCM ni maisha yetu, sawa na maji. Watu wako tayari kukesha, hata kuchapana makonde ili waipigie kura CCM. Nadhani makao makuu au ofisi za mikoa na wilaya, zitupie jicho...
1 Reactions
23 Replies
1K Views
Inavoonekana CCM wana utaalamu wa hali ya juu sana katika kucheza rough za uchaguzi. Na dalili za wazi tunaziona kwenye chaguzi za kura za maoni ndani ya chama, na kama haufikiri kwa kina unaweza...
2 Reactions
14 Replies
657 Views
Godbless Lema, Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Kaskazini, amemkosoa Waziri Mchengerwa kuhusu takwimu za uandikishaji wa wapiga kura kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Lema amesema kuwa...
3 Reactions
18 Replies
1K Views
Kama bado unafikiria kwamba kuna Chama kitapita bila kupingwa basi unapaswa kutafakari Upya Angalia Mkutano Mkuu wa kura za maoni wa Kijiji wa Chadema huko Kahama ili kumpata Mgombea wao Serikali...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Wana Jamiiforums mko salama? Mimi naomba Wakazi wa Chanika Zingiziwa mtusaidie kuhusu suala hili, kwa mwenye kufahamu. Juzi, nilitembelea Kata ya Zingiziwa, iliyopo Chanika na kuzungumza na...
0 Reactions
0 Replies
424 Views
Msimamizi wa Uchanguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji wilaya ya Nachingwea mhandisi Chionda Kawawa ametangaza rasmi jumla ya vituo 525 vitatumika kupiga kura katika uchaguzi wa mwaka...
0 Reactions
0 Replies
398 Views
Hiki ni kihoja cha mwaka wakuu Mgombea wa Uenyekiti wa Kitongoji wa Chama cha Mapinduzi (CCM) huko Makete amezua gumzo baada ya kudai kuwa yeye ni mwanamke, licha ya kuwa ni mwanaume. Tukio hilo...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Matarajio ya CCM kushinda viti vingi vya wagombea wao katika Uchaguzi ujao wa Serikali Mitaa huenda yasitimie kwa sababu ya figisu za wao kwa wao kwenye uteuzi wao wa ndani hali itakayopelekea...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Taarifa yao waliyoisambaza kwa vyombo vya Habari hii hapa Maandamano ya amani Jimbo la Arusha mjini ya kupinga ukiukwaji wa taratibu na kanuni kwenye zoezi la uandikishaji wa daftari la wapiga...
7 Reactions
48 Replies
2K Views
Maji ni muhimu sana kwa maisha ya viumbe hai. Sasa inapotokea huduma hii haipatikana tena kwa nchi iliyobarikiwa vyanzo vingi vya maji kama Tanzania, natatizika sana moyoni mwangu. Wenzangu...
3 Reactions
18 Replies
985 Views
Back
Top Bottom