Kwa ufupi ni kuwa wabunge na madiwani waliopo madarakani kwa maeneo mengi wameshiriki kuvuruga uteuzi ndani ya CCM.
Kwa fursa walizonazo wameshawishi wasiowapenda waondolewe katika maandalizi ya...
Main media karibu zote, Magazeti karibu yote, TV stations karibu zote zinaripoti uchaguzi wa Marekani kwa undani kabisa, kuna chaneli zimekesha zinaripoti huo uchaguzi, lakini cha ajabu hapa kwetu...
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Askofu Jude Thaddeus Ruwa'ichi kupitia mahojiano aliyofanya na Tumaini TV amesema:
"Uchaguzi wa serikali za mitaa ni zoezi la kiraia, ni fursa ya...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutokea Jijini Mbeya, kwamba Wagombea wote wa Chama hicho wa Jimbo la Mbeya Mjini wanafanyiwa semina elekezi kuelekea kwenye Uchaguzi huo.
Bali hatutatoa siri ya...
Wakuu,
Yaani kauli anaitoa kiongozi wa CHADEMA halafu wanaenda kuhojiwa CCM kusemea kauli hiyo, kutakuwa na kutoegamia upande hapo ukizingatia tupo kwenye kipindi cha uchaguzi?
Mnategemewa...
Ndio maoni yangu. Uchaguzi huu utakuwa na matokeo mabaya zaidi kwa Wapinzani kuliko ule uliopita.
Kama ahueni yoyote itatokea, labda itakuwa katika Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Lakini mwaka huu...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu amekiri wazi kuwa chama chake kinapata wakati mgumu kupata wawakilishi wa Uchaguzi ujao wa Serikali za Mitaa kutoka na hitaji la wingi wa Wagombea...
KATIBU wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla, amewataka wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuwa na subira.
Amesema watakaokatwa licha ya kushinda kura za...
Siasa ni Sayansi
Fikiria kama Tundu Lissu angejiandikisha kupiga Kura mtaani Kwake Iwe Tegeta au Kijijini Ikungi hilo zengwe ambalo lingeuandama Mtaa huo
Halafu 2025 ingesemekana TAL hakubaliki...
Kunaendelea kuchangamka uchaguzi serikali za mitaa mkoa wa Ruvuma wanachama mmetuboa.
Hii nimeikuta ofisi ya TAKUKURU Chama cha Mpinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma kwa kweli mnatuchosha wanachama...
Ndugu zangu Watanzania,
Ni aibu na fedheha kubwa sana kwa Lissu kukimbia kujiandikisha kwenye daftari la mpiga kura.ni aibu isiyo bebeka,ni aibu na fedheha ya kiwango cha juu sana.
Hivi...
Hello!
This is Africa.
Twende kwenye mada
Ikiwa mwanasiasa atakupa fedha, huduma au kukufanyia jambo lolote kipindi cha uchaguzi usipaniki.
Maana yake ni hii; Machoni pake wewe ni tahira. Don't...
Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa (NEC) Itikadi, Uenezi na Mafunzo, CPA Amos Makalla akizungumza na Wanachama pamoja na Viongozi wa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Kinondoni...
Ndugu Amos Makalla amesema stori zote mtandaoni wakati wa kura za maoni zilikuwa zinahusu CCM kuendesha mchakato huo katika kuwapata wawakilishi wa chama hicho katika uchaguzi wa Serikali za...
04 November 2024
Mfano daftari la mkaazi la mtaa lilifungwa likiwa na watu 138 lakini leo tunapokwenda kuelekea kampeni kwa ajili ya uchaguzi idadi inasoma 738 katika kuta za matangazo , hii ina...
Tundu Lissu mbinafsi hajajiandikisha kupiga kura uchaguzi wa serikali za mitaa awapigie wengine waliogombea lakini 2025 atataka watu wampigie kura
Hii sio sawa. Ukitaka kupigiwa kura pia wapigie...
Kamati ya Uongozi Taifa ya ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida kilichofanyika jana tarehe 02 Novemba, 2024 katika Ukumbi wa Jurna Duni Haji, Makao Makuu ya ACT Wazalendo, Dar es...
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara Tundu Lissu amezungumza sababu ambazo zimemfanya kutoshiriki kujiandikisha kupiga kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za...
Asante sana vijiji vyote vitano kwa namna mnavyokiamini na kukikubali Chama Cha Mapinduzi.
Shukran sana kwa kuamua kuongozwa na vongozi makini na waaminifu wa CCM.
Ni kitongoji kimoja pekee ndio...
Mambo ni moto, mi nawasogezea tu taarifa karibu, muda wa kufanya maamuzi ukifika mnakuwa na taarifa zote muhimu.
Kupata taarifa za mikoa mbalimbali kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa ingia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.