Au ni kwamba Viongozi wa Tanzania wanaweza tu kuamua kuzuia yeyote kusafiri kwa matakwa yao hata kama mtu huyo hana kesi yoyote?
Naomba kufahamishwa hilo maana tunaambiwa viongozi wa Chadema...
Chadema kukusanya saini million 15 nchi nzima za watanzania wanaounga mkono kampeni yao ya mabadiliko nchini na kisha kuiwasilisha kimataifa.
" Chama Kikuu cha upinzani Tanzania CHADEMA kimesema...
Hali ya kisiasa Tanzania sasa ni ngumu, na CHADEMA iko kwenye wakati wa changamoto kubwa. Wananchi wanapigwa na polisi, viongozi kama Tundu Lissu na John Heche wanakabiliwa na ukandamizaji, na...
Kwa kiasi kikubwa agenda ya No reforms No election imefanikiwa kupenya na kuwavuruga watawala. Kukataa kwamba haiwasumbui itakuwa ni kujidanganya
Watu wanaweza kudharau yanayoendelea mitandaoni...
2025 nitagombea ubunge kwenye Jimbo fulani. Lkn ninasubiri kuona Kama nchi yetu itatekeleza mambo 3.
1. Katiba itabadilishwa.
2. Tume huru ya uchaguzi itaundwa.
3. Vitanunuliwa vifaa vya...
Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amewataka Watanzania kujitokeza katika uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu na kuendelea kudumisha amani, akieleza kuwa kutokuwepo kwa amani kunaharibu ndoto...
Vijana wa Chama cha Mapinduzi Mbunge wa Jimbo la Kawe, wamvaa Askofu Josephat Gwajima kwa kauli zake za kulaani vikali vitendo vya utekaji vinavyoripotiwa kuendelea nchini Tanzania, na kuhusu...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani...
Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla amesema Chadema hawawezi kuuzuia uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mwaka huu, kwani upo kikatiba na sheria...
Maandalizi yanaendelea kwa ajili ya mapokezi na utambulisho wa mgombea pekee wa urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Hussein Ali Mwinyi, yatakayofanyika Februari 15, 2025...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Kamati ya Amani ya Viongozi wa Dini Zanzibar kujadili Mustakabali wa Amani kuelekea Uchaguzi Mkuu wa...
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM) CPA. Amos Makalla amesema hakuna Chama au Kikundi Chochote Chenye Uwezo wa Kuzuia Kufanyika kwa Uchaguzi Mkuu wa Mwezi Oktoba...
Mwasisi na mmiliki wa taasisi ya Alsamood ambaye pia ni mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM Comrade Samira Khalfan Amour alifika katika ajali ya kuungua mabweni shule ya sekondari ya wasichana Mubaba...
WAJUMBE HII MIRADI MNAIONA KAMA SISI WANANCHI TUNAVYOIONA.
Tunakwenda kwenye uchaguzi mkuu na maji kila kona ,kila kata kila kijiji kila bomba haikuwa hivyo kabla ya uwakilishi wa Eng Ezra John...
Mimi siyo mwanachama wa chama chchote lakini kwa hali ilivyo ya Chadema ni vyema kuwarudisha wabunge 19 wenye nia ya kufanya siasa ndani ya chadema.
Nadhani Lisu aliwahi kutoa hata utaratibu wa...
Askofu Mkuu wa Makanisa ya SPCT na Rais wa Umoja wa Maaskofu, Wachungaji, Mitume na Manabii na Madhehebu ya Kikristo Tanzania, Askofu Mussa Mlawi, amevitaka vyombo vya utoaji haki nchini...
Leo Juni 7,2025 baadhi ya viongozi wamezuia eneo la comments kwenye account zao za mitandao ya kijamii kufuatia wimbi la wafuatiliaji kuandika kauli ya 'No Reforms No Election' kwenye kila post...
Mkurugenzi wa kurugenzi ya Habari na Taarifa kwa Umma wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), John Mrema amedai kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) 'kimeuzwa' kwa watu wasiokuwa na...
Hii ndio Taarifa mpya ya Jioni sana iliyotufikia.
Mada ni ile ile wala hatuna haja ya kuirudia, Wananchi wote wamekubaliana na Hoja za Chadema kasoro Abood tu
Hali ndio kama unavyoona kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.