Wakuu,
Mchengerwa alitekeleza agizo la chama bana, kupuuzia haya mambo madogo madogo maana demokrasia yetu ni changa:BearLaugh: :BearLaugh:
Kupata habari za kimkoa Uchaguzi Serikali za Mitaa...
Inawezekana kabisa nia ya 4RS ipo dhahiri kupitia CCM Lakini ni vyema vyama vyote kuzingatia taratibu tulizojiwekea katika uchaguzi.
Inashangaza mgombea umeelezwa wazi kuwa iwapo hujatendewa haki...
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa Frank George Mwakajoka, amesema wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi wamekiuka kanuni za uchaguzi kwa kuwaondoa wagombea...
Waziri wa TAMISEMI, Mohamedi Mchengerwa ametangaza kuongeza muda wa Kamati za rufani za Wilaya wa kupokea, kusikiliza na kutoa uamuzi wa rufaa iliyowasilishwa kwa muda wa siku mbili zaidi kutoka...
Wakuu,
Wakati akijibu swali la mwandishi kwenye mkutano wake na waandishi Singida; (Uchaguzi umekwisha wanatakiwa wajipange upya, je, wanaimba mwimbo mmoja) Tundu Lissu amesema;
======
"Mimi...
Wakuu,
Ukisikia vituko majimboni ndio hivi :BearLaugh: :BearLaugh: , mwenyewe yuko proud hapo kwenye picha hana hata haya:KEKLaugh::KEKLaugh::KEKLaugh:
====
Mbunge wa Kinondoni Mhe. Tarimba...
Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego amevitaka vyombo vya ulinzi mkoani humo kuwasaka wafuasi 13 wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) akiwemo Diwani wa Kata ya Ntuntu, Omary Nkonki...
Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evans Mtambi, ametoa wito kwa viongozi na wanasiasa wa mkoa huo kufanya siasa za kistaarabu badala ya siasa za chuki na zinazogawa wananchi akisema hazitavumiliwa...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Hai na Msimamizi wa Uchaguzi, Dionis Myinga amekanusha malalamiko yaliyotolewa na baadhi ya wanaotajwa kuwa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti kwa baadhi ya...
Wakuu,
Hawa wanamvua nguo Nchimbi aliyesema demokrasia yetu bado changa na hivyo OR TAMISEMI ilegeze kamba kidogo! Watu maefurahia zoezi yeye anataka waonekane wanoko!
====
Baadhi ya viongozi...
Wakuu,
Kama vile imekuwa mashindano kuangalia wapi wataengua waombea wengi kuliko wenzao!
=====
Jumla ya wagombea 350 wa nafasi mbali mbali za uogozi wa Serikali za Vijiji na Vitongoji...
Wakuu,
Kwahiyo lile gari alilotoa Rais Samia kupitia Makonda kwa yule shehe Arusha, TAKUKURU.... au basi!
====
Kuelekea katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 27 Mwaka...
Mnada wa kwanza wa korosho uliofanyika 11/10/2024 ulifunguliwa kwa bei ya TSh 4150/= kwa kilo moja ya korosho. Kwenye mnada huu kulikuwa na tani chache sana za korosho. Ukafuata mnada wa pili...
Kwa namna hiyo CCM lazima ipate ushindi wa 98.5%
ACT Wazalendo ni Chama tawala pamoja na CCM
Vyama vingine vyote ni Vyama Rafiki wa CCM
Chadema Maridhiano ni Chama Shirika na CCM
Chadema...
https://www.youtube.com/live/2CiAzcAM92M?si=ipoSlBpKzwhZhvkQ
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu anatarajiwa kuongea na waandishi wa habari muda wote kuanzia sasa.
Fuatilia updates kadiri...
Wakuu,
Kazi kweliweli, huku Nchimbi anawaambia TAMISEMI walegeze kamba Demokrasia yetu bado changa, huku wanasema kila kitu kipo byeeee! Tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini :BearLaugh...
Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake wamekuwa na utaratibu wa kutengeneza tatizo na kulitatua wao wenyewe ili waonekane wema kwa Wananchi na tasisi za ndani na nje ya nchi
Pia soma
CCM...
Mh. Freeman Mbowe na John nyika wanasalimia kwa jina la jamuhuri wa Muungano wa Tanzania! Bila shaka wote ni wazima wa afya njema.
Poleni na changamoto za kisiasa mnazokumbana nazo, kwa ajili ya...
Amos Makalla, ametoa msisitizo kwa TAMISEMI kutenda haki kwa vyama vyote vilivyosimamisha wagombea katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, vijiji na vitongoji.
Amesema katika uchaguzi huo...
Hivi ni kweli Sifa kuu ya kachaguliwa kuwa Kiongozi wa Kitongoji, Kijiji na Serikali ya Mtaa ni Kujua Kusoma na Kuandika Kiswahili au English?
Nauliza tena ni kweli au Lisu amechapia tu
Nimekaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.