Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kitendo cha serikali kutumia nguvu kubwa kuminya uhuru wa watu kuandamana na badala yake watu wametii na kuamua kukaa ndani, hapo kiuhalisi walioshinda ni wale walioamua kukaa kimya . Ni sawa...
4 Reactions
17 Replies
403 Views
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Karagwe, Askofu Dkt. Benson Bagonza amesema “Kama tusivyotaka mataifa mengine kutuamulia mambo yetu, ndivyo tusivyopenda...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
=== Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa alisema Tanzania iko mikononi mwa Mungu na ndiyo maana imeendelea kuwa nchi yenye amani na utulivu na kimbilio la mataifa yaliyopoteza...
4 Reactions
6 Replies
383 Views
Hii ndio hali huko Mwanza vijana wakiandamana kwa amani barabarani, wengine wakitoa dukuduku zao mbele ya Jeshi la Wananchi (JWTz)
12 Reactions
151 Replies
6K Views
Utekaji, Mauaji ya kupoteza watu, unyanyasaji, wizi wa kura wa waziwazi, matusi, kejeli za viongozi, ubabe wa viongozi na vyombo vya dola ndio kichocheo kikubwa cha maandamano ya siku ya uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
115 Views
Sheikh Nurdin Kishk anasema "Vijana mkadai haki yenu kwa amani bila fujo yoyote"
4 Reactions
18 Replies
593 Views
Tanzania vs Tanganyika. Sielewi ukakasi uko wapi, bora hata ya Madelu yeye alisema Tanzania bara.
2 Reactions
5 Replies
222 Views
Mwanzo akisema Kuna watu walikua nyuma ya hili na Kuna ndani ya waandamoji walipewa hela mwanzo sikumwamini but now naanza kumwelewa kidogo kidogo and I believe atakujalisema Believe me
3 Reactions
33 Replies
971 Views
Jeshi la Polisi limesema kuna picha mjongeo ya zamani na nyinginezo zinasambazwa kwenye mitandao ya kijamii zikihadaa wananchi kuwa maandamano yameshaanza, huku likisema hakuna jambo kama hilo...
1 Reactions
35 Replies
767 Views
Kulingana na Taarifa ya Wakala wa Ufundi na Umemem Tanzania TAMESA imetaarifu Umma kuwa Kivuko cha MV Kazi kinachotoa huduma katika eneo la feri kimesimama kutoa huduma zake kuanzia leo December...
1 Reactions
7 Replies
352 Views
Jifanyeni mnafanya mikakati yenu kwa Siri kwakuwa mnajua kuwa Wahusika labda wamejiandaa tu kwa nyakati hizi za Asubuhi hadi Jioni hivyo kudhani kuwa Wao hawana Akili basi ikifika hiyo Usiku ndiyo...
5 Reactions
35 Replies
582 Views
Ila Dar ni mji wa maigizo sana, imagine leo hakuna vichaa wala ombaomba walioonekana barabarani
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Alhamdulilah, Tumsifu Yesu, siku ya leo mitaa imetulia Leo tunaweza kuiita ni siku ambayo tumekaa ndani tu kupumzika, huko nje kumetulia. Lakini katika yote haya hatuwezi kusahau kuna maandamano...
1 Reactions
27 Replies
750 Views
Wakuu, Yaani kila mtakachofanya bado wananchi wananchi wanashinda. Ushahidi unazidi kukaa vizuri kule ICC, bwana Girisho Gerson Msigwa unazidi kuvuliwa nguo, guys ndio kabisa anaandaa skripti ya...
1 Reactions
7 Replies
271 Views
Nauliiza hivi kwasababu naamini: 1. CHADEMA watakataa kushiriki 2. ACT nao hawatakubali kushiriki 3. CUF hawatakubali kushiriki 4.TEC hawatakubali kupeleka mwakilishi/wawakilishi 5. Kanisa la...
0 Reactions
3 Replies
203 Views
Mkuu wa mkoa Mwanza amesema kuwa mkoa uko salama mpaka leo saa 12:18 mchana hakuna tishio lolote la kiusalama, Msikilize Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda akielezea kuhusu hali ya usalama jijini...
2 Reactions
15 Replies
571 Views
Ndugu zangu Watanzania, Hali ni shwari sana mitaani kote. Amani na utulivu vimetawala na kutamalaki,shughuli za kujipatia kipato kwa mwananchi mmoja mmoja zinaendelea kama kawaida huku wananchi...
2 Reactions
64 Replies
1K Views
Askofu Godson Abel Mollel wa KKKT-Dayosisi ya Kaskazini Kati (Arusha) amesema kuwa anayekushawishi ukaandamane kupitia mtandao hakikisha ametangulia na watoto wake, na baba yake na mama yake ndipo...
4 Reactions
23 Replies
404 Views
TANGAZO KUTOKA WIZARA YA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA Kutokana na tangazo la Serikali kuhusu mapumziko ya kitaifa tarehe 09 Disemba 2025, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia inatangaza kuwa...
3 Reactions
29 Replies
894 Views
Back
Top Bottom