Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu Jeshi la Polisi limemzuia mwenyekiti wa Chama cha CHADMA, Taifa, Freeman Mbowe kuzungumza na wananchi wa Mbozi, Mkoani Songwe, na kuwatawanya kwa mabomu wananchi waliokusanyika kumsikiliza...
3 Reactions
53 Replies
3K Views
Wakuu, Naona UVCCM wanaendelea kutoa boko huko kwenye kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Unaendaje on stage kusema kuwa CCM haiwezi kumaliza matatizo yote? Mbona Serikali nyingine...
0 Reactions
3 Replies
400 Views
Makamu Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Zanzibar, Ismail Jussa, amewaomba wananchi wa Mtaa wa Komesho, Kata ya Msambweni, Jimbo la Tanga Mjini na vijiji vya jirani kuwaamini wagombea wa chama hicho kwa...
1 Reactions
4 Replies
485 Views
Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Mashaka Gambo, ameongoza wanachama na wafuasi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uzinduzi wa kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa katika jimbo lake, akisisitiza...
0 Reactions
1 Replies
439 Views
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa Novemba 27, 2024, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (UWT), Suzan Kunambi amewataka wananchi wa kata ya Kilimani mkoani...
0 Reactions
4 Replies
397 Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) @chadematzofficial jimbo la Lupa wilaya ya Chunya mkoani Mbeya kimezindua mikutano yake ya kampeni kwa ajili ya kuwanadi wagombea wa nafasi mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
330 Views
Wanabodi, Kuna hii taarifa kwamba kuna vyama takriban 14 ambavyo vimejitokeza kugombea kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa huko mkoani Dodoma. Hivi ukitoa CCM, CHADEMA na ACT hivyo vyama...
0 Reactions
1 Replies
378 Views
Wakuu, Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024 LHRC yawajengea uwezo waangalizi wake ili wajue sheria, kanuni na taratibu zinazotakiwa kufuatwa wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
427 Views
Wakuu, Nadhani kwa picha hizi zilizopostiwa na UVCCM huko Instagram, huu Uchaguzi ulitakiwa uwe ushaisha. Hii nchi ni maskini. Huyu ni Katibu wa UVCCM Kondoa, Shamsele Yesaya akiongea na...
6 Reactions
10 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Mwanza, Cde. Seth Bernard Masalu, anawaomba wakazi wa Mwanza wote na watanzanania kujitokeza kwa wingi kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji...
0 Reactions
1 Replies
410 Views
Aliyekuwa Mwenyekiti CCM asimulia mazito aliyoyapitia akiwa CCM mbele ya Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe akiwa Ilalangulu, Kigoma akiwanadi Wagombea kulekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa...
1 Reactions
2 Replies
530 Views
Wakuu, Hivi kumbe kuna baadhi ya wanaCCM wanapiga kura ili kumshukuru Rais? Doto Biteko amewataka WanaCCM Bukombe kujitokeza kupiga kura ya kuwachagua viongozi wao katika uchaguzi wa Serikali za...
1 Reactions
10 Replies
792 Views
LISSU AMVAA MKUU WA MKOA WA SIMIYU KWA KUFANYA KAMPENI LAMADI Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu amvaa vikali Mkuu wa Mkoa wa Simiyu kwa kufanya kampeni, awataka wananchi wamkatae...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Wakati kmpeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinaendelea kurindima nchini na vyama vilivyosimamisha wagombea vikiendelea kuomba ridhaa kwa wananchi. Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Wakuu, Hapa ndio CCM inapozidi kuwapiga gape wapinzani, maana wana hela afu wana watu, yaani mpaka kontena la uchawa lipo standby kwaajili ya uchawa tu. Bila upinzani kuungana, kumpiga CCM...
0 Reactions
0 Replies
311 Views
Katibu Mwenezi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Arusha, Antony Maswi amewaasa wagombea wa nafasi ya uenyekiti wa vijiji/mitaa na vitongoji kuzingatia demokrasia na kutumia lugha za staha...
0 Reactions
0 Replies
449 Views
Tundu Lissu amewataka maaskofu waliopokea pesa kutoka kwa Rais Samia, ambazo amezitaja kuwa "chafu" kuzirejesha zilipotoka na kutokubali kushiriki katika vitendo vya uovu. Pia, Soma: Askofu...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti CHADEMA taifa Tundu Lissu akizungumza katika mkutano wa hadhara, jimbo la Tarime mjini, Kanda ya Serengeti. Soma pia: Tundu Lissu: Kama Mnaogopa Mabomu, Mkalale Mshughulikiwe...
2 Reactions
5 Replies
825 Views
Wanabodi, Hata baada ya kufikisha miaka 60 tangu Tanzania ipate uhuru bado wanasiasa on stage wanazungumzia changamoto ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi? Akiwa anaongea kwenye...
0 Reactions
0 Replies
253 Views
Vyama vya siasa mkoani Manyara, vimeiomba taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa takukuru mkoa wa manyara kuweka utaratibu wa kutoa mrejesho wa watuhumiwa wanaokutwa na hatia ya kuomba au...
0 Reactions
2 Replies
409 Views
Back
Top Bottom