Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche, amesema anamtaka Mwenyekiti wa CCM ajitokeze kwenye mdahalo wa ana kwa ana kujadili mustakabali wa taifa. Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha...
9 Reactions
17 Replies
459 Views
"Tukasema Ngoja tuongee na Makundi mbalimbali ya Wa Tanzania, Taasisi za dini , Asasi za kiraia, jumuiya mbalimbali na tukaanza na Shura ya Maimam, Hatukuonana na BAKWATA kwa vile tunajua hao ni...
21 Reactions
75 Replies
1K Views
Kijana aliyejitambulisha ni Ishengoma Mtembe kama Katibu wa CHADEMA Kata ya Mikocheni amesema matukio yaliyotokea Oktoba 29,2025 yalipangwa na wao na kueleza yale waliyokusudia kuyafanya mengine...
0 Reactions
92 Replies
2K Views
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam Nurdin Bilal Juma, maarufu Shetta amewataka Wananchi wa Jiji la Dar es Salaam kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wao kwenye tume ya Uchunguzi...
6 Reactions
26 Replies
547 Views
Hofu yao ni kubwa; wanahisi kwa mama yao Mungu ataingilia kati kama ilivyokuwa kwa JPM. Nawe ukawa rais na ukavuruga maisha yao wote waliohusika na utekaji na mauaji dhidi ya Watanzania. Sasa...
33 Reactions
97 Replies
5K Views
TAARIFA KWA UMMA Hali ya Usalama jijini Dar es Salaam ni nzuri na wananchi wanaendelea na kazi halali mbalimbali. Hata hivyo tarehe 07 Desemba, 2025 usiku eneo la Tegeta Kinondoni alikamatwa...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Taarifa zilizosambaa mitandaoni zinadai kuwa Godfrey Mwambe, aliyewahi kuwa Waziri wakati wa Magufuli ametekwa na kushikiliwa kwa siri Kigamboni huku akipigwa sana na watekaji waliojitambulisha...
15 Reactions
55 Replies
3K Views
  • Featured
Wakuu, Hii nchi kuna changamoto kubwa sana kwenye priorities. Anyway wenyewe ndo wanajua zaidi. ---------------------------- Baada ya kuapishwa na Rais Samia leo, Mwanasheria Mkuu wa Serikali...
18 Reactions
277 Replies
11K Views
MOSI,Mahakama ya kimataifa ya uhalifu, almaarufu kama The International Criminal Court (ICC) imeanzishwa na MKATABA WA ROMA (THE ROME STATUTE), na huwa inafanya kazi chini ya kanuni iitwayo The...
81 Reactions
163 Replies
7K Views
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa ghasia za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Jaji Shaban Lila amewataka Wananchi wa Wilaya ya Ilala kujitokeza kwa wingi kutoa ushahidi wa matukio ya ghasia hizo...
4 Reactions
47 Replies
589 Views
Ni swala la muda tu na wao wanajua hilo. Hivyo, waacheni watambe ila wakati wao unakuja wakati ambao mahakama hii itakuja kuponya majeraha ya watanzania wengi. Uzuri ICC haingalii cheo cha mtu...
10 Reactions
33 Replies
434 Views
Mange Kimambi amemuandikia barua Rais wa Marekani, Donald Trump, akimueleza kwamba akaunti zake za Meta—ikiwemo Instagram, ukurasa wa habari anaouendesha, na namba yake ya WhatsApp—zimefungwa...
42 Reactions
137 Replies
6K Views
Kupitia mambo mengi mazuri yaliyofanywa na CCM tangu kuanzishwa kwake mwaka 1977 ninaweza sema hadharani kuwa CCM ni mpango wa Mungu. CCM ndo chama kilichobeba matumaini ya watanzania wote...
-3 Reactions
24 Replies
474 Views
Profesa Issa Shivji, amesema kuwa Taifa linaendelea kupitia katika maombolezo na maumivu makali ya kisaikolojia kutokana na matukio yaliyotokea tarehe 29 Oktoba, huku akisisitiza kuwa njia pekee...
2 Reactions
6 Replies
174 Views
Mwenyekiti wa Tume ya Kuchunguza Wahusika wa Ghasia na Ukiukwaji wa Sheria Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Shaban Ally Lila, amesema tume...
0 Reactions
15 Replies
282 Views
  • Featured
Mwenyekiti wa Tume ya Uchunguzi wa Kijinai wa Matukio ya Ghasia ya Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, Jaji Shaban Ally Lila, amewaambia waandishi wa habari jijini Dar es Salaam kuwa...
3 Reactions
19 Replies
779 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Rais Samia ni Mshindi katika Vita hii ya kulilinda Taifa letu dhidi ya maadui zetu. Rais Samia ameibuka kidedea kwa mara nyingine tena kama ilivyo kawaida yake...
1 Reactions
118 Replies
2K Views
Waziri wa Nishati, Mhe. Deogratius Ndejembi leo 20 Novemba, 2025 amekabidhiwa rasmi ofisi na aliyekuwa Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko kwenye ofisi za wizara...
0 Reactions
3 Replies
358 Views
Ndugu Zangu Watanzania, Lissu inatakiwa Afunguliwe Mashtaka Mapya Kabisa na kuanza kufanya uchunguzi wa kauli zake ambazo alikuwa akizitoa Mwaka jana kabla ya Uchaguzi. Ikumbukwe lissu Alitoa...
8 Reactions
209 Replies
2K Views
Hayo ndo madini ya wahadhiri wa Kiislamu wakidai kuwa Rais anapokuwa Muislam, wakatoliki hawapo tayari Makamu atoke nje ya Katoliki, au Makamu anapokuwa Muislam basi Rais asiwe Mkatoliki.
2 Reactions
34 Replies
717 Views
Back
Top Bottom