Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Hivi karibuni Katibu wa Kamati Maalum ya NEC, Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo CCM Zanzibar Khamis Mbeto Khamis alisema kuwa serikali ya Umoja wa Kitaifa (GNU) inaenda kujifia 2025 na...
0 Reactions
1 Replies
468 Views
Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg. Mary Chatanda (MCC) amesema kuwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kina imani kubwa sana na wanawake na kinaamini wanamchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Taifa. Chatanda...
1 Reactions
5 Replies
540 Views
Siku 7 za kubeba kila kitu zinaendelea kuanzia kwenye mikutano ya hadhara, kampeni ya mtaa kwa mtaa, nyumba kwa nyumba, kijiwe kwa kijiwe, mtu kwa mtu kuhakikisha kura zote zinaenda Chama cha...
1 Reactions
3 Replies
375 Views
Wakuu, Kwa vimbwanga na vituko vingine kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 Mjumbe wa Baraza Kuu la UVCCM kutoka...
1 Reactions
2 Replies
419 Views
Wakuu, Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema leo Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM akiwa...
0 Reactions
0 Replies
435 Views
Wakuu, Taarifa za kukamatwa na kisha kushikiliwa kwa Steven Membe ambaye pia ni mtia nia wa kuwania Ubunge wa jimbo la Mtama, Lindi kupitia CHADEMA katika uchaguzi mkuu ujao (2025) zilianza...
1 Reactions
10 Replies
901 Views
Wakuu, CCM wameendelea kutoa tambo na confidence waliyonayo katika kushinda Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa. Soma pia: Msimamizi wa Uchaguzi Njombe: Hakuna kijana atakayeweza kutumika kuvuruga...
0 Reactions
2 Replies
348 Views
Wakuu, Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Katavi, Rhoda Kunchela, amewataka wananchi wa mtaa wa Kampuni, kata ya Misunkumilo, Mpanda Mjini, kujitokeza kwa wingi na kufanya maamuzi sahihi katika...
1 Reactions
2 Replies
484 Views
CHADEMA Jimbo la Same Mashariki wakiongozwa na Freddie wameendelea na kampeni za kuwanadi wagombea wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji huku wakizidi kuwasisitiza wananchi kuwa CCM haiwezi...
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Katika kuendelea na kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa 2024, Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Dodoma Aisha Madoga amewanadi wagombea wa chama hicho katika jimbo la Kibakwe ambapo pamoja na...
2 Reactions
1 Replies
470 Views
Imeelezwa kuwa kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mdude Nyagali Mdude anayeshikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Songwe anatuhumiwa kutenda makosa matatu (3) ikiwemo kujeruhi...
3 Reactions
27 Replies
2K Views
Wakuu, Amos Makalla ameendelea kutoa dozi kwa wapinzani katika kipindi hiki cha kampeni. Hivi karibuni akiwa huko Ukonga jijini Dar Es Salaam, Makalla amesema kuwa maendeleo yaliyoletwa na CCM...
0 Reactions
0 Replies
297 Views
Katika harakati za ufunguzi wa Kampeni Serikali za Mtaa jijini Arusha mapema jana Mjumbe wa Kamati kuu na Mlezi wa Mkoa wa Arusha Rajabu Abrahman Abdallah wa chama cha Mapinduzi CCM amepokea kadi...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Wakati namwona Mh. Mbowe kule Songwe na Mbeya, namwona Mdude Nyagali Ileje hatua mbili uingie Malawi na mbili uingie Zambia, namwona Tundu Lissu Mara Mwanza na KESHO Ikungi kwao Namwona Zitto...
1 Reactions
10 Replies
489 Views
Heka heka za uchaguzi zinaendelea nchini Tanzania, Maajabu hayakosekani Mtandaoni IKIWEMO JF, CHADEMA wanaandikwa sana kuliko CCM, CHADEMAna Act ya zitto walau kule X ndo balaa kabisa. CCM kama...
1 Reactions
9 Replies
608 Views
Mimi nimtanganyika Zanzibari naiskia kwa vyombo vya habari TU ila ninauliza Huko Nako mpaka Kizimkazi Kuna uchaguzi wa Serikali ya MTAA kweli? MBONA kuko kimnyaaa hivi? Kupata taarifa zote za...
1 Reactions
3 Replies
539 Views
Wakuu, Hivi huyu anafanya nini uraiani na bado ni kiongozi wkati alituambia wazi kabisa yeye ni wale watu wasiyojulikana wanaopoteza watu? Polisi mnazidi kutuangusha, yaani kila siku mnajipaka...
1 Reactions
14 Replies
873 Views
Wakuu, Vuguvugu la Uchaguzi wa Serikali za Mitaa limeendelea kuwa kali. Hivi karibuni Dotto Biteko ambaye ni Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya (CCM) Taifa ametoa tahadhari kuwa hata...
0 Reactions
2 Replies
413 Views
Hivi unakuja kunipigia kelele za kumchagua mwenyekiti wa mtaa kwa sifa za Royal Tour? Au kukaribishwa kuhudhuria mkutano wa G20? Na awali nilidhani ni huyu tuu aliyekuja kuzindua kampeni huku...
0 Reactions
0 Replies
410 Views
Wakuu, Huu ndio muda wa kujipendekeza kwa kila mtu mradi wapate kura, safari hii mkienda na kwa waganga mtupigie pia na picha. Msiwafiche fiche wakati tunajua na huko mnafika, kweli uongozi mtamu...
1 Reactions
7 Replies
616 Views
Back
Top Bottom