Wananchi wa Kata ya Utalingolo Halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe wamesema Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika hapo Novemba 27 mwaka huu watakwenda kumpigia kura...
Shamira Mshangama akiwaombea kura wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za Mitaa wanaotokana na CCM katika mtaa wa Mbeza, kata ya Manundu Wilayani Korogwe Mji katika mkoa wa Tanga.
♻️ CHAGUENI CCM TUSONGE MBELE KWA MAENDELEO - SHEMSA MOHAMED.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapindizi (CCM) Mkoa wa Simiyu Ndg. Shemsa Mohamed Seif ameendelea na ziara yake ya Siku Saba za Moto na...
Kiongozi wa ACT Wazalendo, Dorothy Semu, amemuonya mtendaji wa Kijiji cha Angalia kutopendelea Chama cha Mapinduzi (CCM) wajibu wake nikutumikia wananchi sio ubaguzi wa itikadi katika uchaguzi...
Kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa zikiwa zinakaribia ukingoni, viongozi wa vyama vya siasa nchini wameendelea kuhamasisha wananchi kushiriki kwa amani na utulivu kwenye uchaguzi huo...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amezindua rasmi "Bata la Disemba - End of the year Carnival," akisisitiza kuwa hafla hiyo ni ya kipekee kwa wananchi wa mkoa huo, na inalenga...
Salaam wanaforum wenzangu
Wiki chache zilizopita tulishuhudia askofu Shoo akimnadi Rais Samia kuwa aongezewe miaka mitano tena huku akisema huyu mama amefanya mambo makubwa sana katika kipind...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro linamshikilia Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja, kwa madai ya kutoa kauli za kuhamasisha wananchi...
Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko amewataka wadau wa uchaguzi kuendelea kuzingatia sheria, kanuni, taratibu na miongozo mbalimbali iliyowekwa kwaajili ya Kusimamia shughuli za uchaguzi wa...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Simiyu Ndg.Shemsa Mohamed ameendelea na ziara yake yenye jina la Siku Saba za Moto ambapo tarehe 25 Novemba, 2024 aliweka kambi katika Jimbo la Kisesa...
Wakuu,
Mambo yanaendelea kuwa ya moto kwenye Kampeni za Uchaguzi wa Serikali.
Mchungaji Msigwa ambaye alihamia CCM akitokea CHADEMA amezungumza hivi karibuni mkoani Songwe hivi karibuni.
Soma...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Victoria, Ezekia Wenje amewataka wagombea wa chama hicho katika uchaguzi wa serikali za mitaa kuomba kura kwa unyenyekevu, mbinu...
Mbunge Viti Maalum Arusha mjini Catherine Magige, Amewahasa wananchi wa Kata ya Endamariek Kijiji Cha Endamariek wilayani Karatu kushiriki kwa Ukamilifu katika zoezi la upigaji wa kura za ndiyo...
Vyama vya siasa Chadema na ACT Wazalendo vimeungana katika Kata ya Bukuba, Jimbo la Buhigwe mkoani Kigoma, kwa kugawana nafasi za uongozi kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa...
Wakuu,
Naibu Katibu wa Idara ya Habari, Uenezi, na Mahusiano ya Umma wa chama cha ACT Wazalendo taifa, Shangwe Ayo ametaka sheria za uchaguzi za serikali za mitaa zifuatwe ili wananchi wa...
Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ado Shaibu, amepongeza hatua ya kihistoria iliyochukuliwa na viongozi wa vyama vya CUF na ACT Wazalendo katika kijiji cha Nakapanya, kata ya Nakapanya, wilaya ya...
Mgombea Uenyekiti wa Mtaa wa Nela Kata ya Isamilo jijini Mwanza kwa tiketi ya Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC), James Dioniz, amelalamikia kitendo cha vipeperushi vyake kubanduliwa...
Kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa vitongoji na vijiji unaotarajiwa kufanyika novemba 27 mwaka huu, Askofu Mkuu wa Kanisa Anglikana Tanzania na Dayosisi ya Tanga Maimbo Mndolwa ametoa wito kwa...
Wakuu,
“Uchaguzi huu utakuwa huru, Utakuwa na Haki”. Haya ni maneno ya Uhakikisho yaliyotolewa na Mkuu wa Wilaya ya Rombo Mkoani Kilimanjaro Mwl. Raymond Mwangwala wakati akiongoza matembezi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.