Imekuwa ni mtindo wa kawaida kabisa hivi sasa, katika Kila mkutano wa hadhara anayoifanya Rais Samia, wateule wake wanampa sifa nyingi, ambazo nyingine hazimstahili.
Huwa najiuliza, katika miradi...
Mwenyekiti wa UVCCM Arusha Simon Maximilian ametoa simu wilaya zote za Mkoa huo kwaajili kusajili wanachama wapya wa CCM.
Amesema hizo zote ni jitihada za kumuunga mkono Mwenyekiti wa CCM Taifa...
Tulipokuwa tunaandika humu kwamba ccm inapumulia Mashine kila mahali, kuna waliotupinga, Lakini kama ilivyo ada Pembe la ng'ombe halifichiki, Mwenyekiti wa CCM aliyeko ziarani Mkoani Morogoro...
Miongoni mwa wabunge waliopata umaarufu katika Bunge la mwaka 2015 - 2020, ni Selemani Bungala, maarufu kama Bwege, aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kusini kupitia Chama cha Wananchi (CUF) kabla ya...
Vyama vikuu sita (6) vya wakulima wa mikoa minne (4) inayolima Korosho kwa wingi hapa nchini wamesema wanatarajia kutoa shilingi milioni 11 ili kumchukulia fomu Rais Samia Suluhu Hassan ya...
Ndugu zangu watanzania,
Huu ni zaidi ya Upendo, Ni zaidi ya kukubalika, ni zaidi ya kila kitu. Rais Samia ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Kwa mafuriko yanayoendelea kushuhudiwa katika ziara za...
Mwafrika ana mambo fulani hivi ya kushangaza lakini yapo na huwezi kuyajibu kisayansi.
Mwaka unaogawanyika kwa 5 au tuseme mwaka wa uchaguzi huwa kuna uhaba wa mvua,watabiri wa hali ya hewa huwa...
MBUNGE wetu sisi wana IFAKARA hatukukutuma kupiga magoti. Kuanzia leo hii anza kutafuta kazi NYINGINE maana kwa ubunge basi.
Mbunge Abubakari Asenga ameonekana akipiga magoti kushukuru KUJENGEWA...
Ccm si chama cha kufanya nao maridhiano, ni genge la wahuni.
Mama Samia siku ya 5 leo yupo Morogoro kwa ziara rasmi ya kiserikali lakini badala yake ziara hiyo inatumika kufanya kampeni chafu za...
Save this post!!!!!!
Mzee wa victoria ambaye ni kiongozi wa ile eneo muda si mrefu atahama chama na kwenda kwa wale wenzzetu wa kijani baada ya kununuliwa kwa vipande vya thumni.
Save the...
Hapa juzi nimeona taarifa Rais Samia akiwaambia wananchi wa Kilosa wamrudishie Prof. Kabudi katika uchaguzi wa 2025. Nimejiuliza sana bila kupata jibu, kama Rais Samia haoni ni kosa kubwa sana...
Nimeshangazwa sana kuona tangazo hili, Hii ni kampeni au utekelezaji wa majukumu ya kiongozi aliyepewa dhamana na wananchi? Sikumbuki kama Nyerere alishawahi kufanya haya pindi alipoenda kukagua...
Asikwambie mtu ziara za nje muhimu mno! Uchumi unafunguka watu wananeemeka! Maji yanamwagika huko vijijini, Miradi inakwenda! Bei za vyakula na bidhaa mbalimbali zinashuka!
Yaani ziara tamu...
Ni msingi wa katiba yetu ya JMT kuwa chama tawala kitapokuwa madarakani kilazazimika kutekeleza ilani yake kilichoinadi kipindi cha uchaguzi.
Rais Samia sasa hivi yupo madarakani? Mlitarajia...
''Chama cha siasa siyo imani, lakini hata imani watu wanahama. Ni ndoa ya ki-katoliki tu ndiyo ambayo huwezi kuachana, chama cha siasa kama nilivyosema kwamba tuna nchi ya kujenga''
---
Ndugu...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka...
Prof. Adolf Mkenda
Kwa hali ilivyo kwa hakikq ni Waziri wa Elimu Prof. Mkenda anaweza kukivusha CCM katika nafasi ya Urais.
Sifa pekee za Mkenda ni pamoja na mtu wa principles. Ana msimamo...
Ni bayana,
Upinzani nchini mpaka sasa hawana ngome wala uhakika wa mahali au eneo la uchaguzi ambalo wanaweza kishinda hata kiti kimoja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa baadae mwaka huu...
Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa mkoani Morogoro katika uzinduzi wa bwawa la mradi wa upanuzi wa kiwanda cha Mtibwa sugar Ltd amesema Serikali itahakikisha kuwa wananchi wanapata sukari...
"Niwaombeni chaguzi zinazokuja hizi elekeeni kwenye maendeleo, waswahili wanasema anayekufaa kwa dhiki ndiye nani? sasa ntakushangaa una rafiki mzuri ndani ya nyumba yako anayekufaa kwa dhiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.