Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Aliyekuwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mary Mwanjelwa amemwaga sifa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan juu ya...
0 Reactions
1 Replies
404 Views
Ikiwa kesho novemba 27 ni siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa unatarajiwa kufanyika jumla ya Wagombea elfu nne mia nne na nne wa vyama vyote vya siasa Mkoa wa Dodoma wamejitokeza kugombea nafasi...
0 Reactions
2 Replies
395 Views
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda amewahimiza wakazi wote wenye sifa Mkoa wa Arusha kujitokeza kwa wingi kupiga kura hapo Kesho Jumatano Novemba 27, 2024 ili kuwachagua Viongozi wa...
0 Reactions
0 Replies
307 Views
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana (CCM) Mkoa wa Geita , Manjale Magambo amesema uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajia kufanyika Novemba 27 Mwaka huu wanauita ni Uchaguzi maalumu ambao utakwenda...
0 Reactions
0 Replies
233 Views
Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini, David Misime amesema wamejipanga kudumisha amani na utulivu kesho katika uchaguzi wa Serikali za mitaa, huku likitahadharisha wanaotaka kuuvuruga. Misime...
0 Reactions
1 Replies
464 Views
Mkuu, Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Thobiasi Makoba akitoa ujumbe kwa wanahabari na Watanzania kuhakikisha wanajitokeza kupiga kura kesho, Jumatano Novemba 27.2024 ili kuchagua viongozi...
0 Reactions
0 Replies
294 Views
WAKATI vyama vya siasa vinavyoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji vikihitimisha kampeni zake leo, kupisha uchaguzi wa viongozi hao Novemba 27, wananchi wa kwa Sadala, Wilaya...
1 Reactions
0 Replies
261 Views
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Mtaa wa Mtambani kwa tiketi ya ACT Wazalendo, Mohammed Mtutuma, ametoa ahadi ya kupambana na unyanyasaji na kuhakikisha heshima ya wananchi inalindwa, ikiwa ni...
1 Reactions
0 Replies
257 Views
Wakuu, Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally awakumbusha wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024 ili kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa wanaowataka.
0 Reactions
1 Replies
317 Views
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo amefanya kampeni ya kupita nyumba kwa nyumba katika Kata ya Irenza, Buchosa kuomba kura katika uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika kesho, Novemba...
1 Reactions
0 Replies
443 Views
Wakuu, Wenyeviti na wagombea wa nafasi za uongozi katika uchaguzi wa serikali za mitaa nchini wametakiwa kuacha tabia zisizofaa ikiwemo ulevi, tamaa za wake za watu na matumizi mabaya ya...
1 Reactions
1 Replies
372 Views
Wako viongozi wa vyama vya siasa wanawadanganya wafuasi wao wabakie vituoni kulinda Kura Nadhani ni Mjinga peke yake atakayebaki kituoni ilhali yeye si wakala wa mgombea Ni angalizo tu...
2 Reactions
9 Replies
353 Views
Wakuu, Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule amesema kuwa hatua zitachukuliwa dhidi ya mwananchi yeyote atakayeonesha viashiria vya uvunjifu wa amani kuelekea uchaguzi wa serikali za Mitaa...
1 Reactions
4 Replies
346 Views
Wakuu, Hivi hizi kampeni zinazofanyika sasa si ni kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa? Au ni kampeni za Uchaguzi Mkuu? Kwa sababu naona kama Tulia ame-lobby hii process na amefanya hii...
1 Reactions
17 Replies
873 Views
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewahamasisha wananchi kujitokeza kwa wingi katika kushiriki zoezi la uchaguzi wa serikali za mitaa unaotarajiwa...
0 Reactions
1 Replies
346 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimelaani vikali matukio kiliyoyaita ya kutekwa, kukamatwa, na kutishiwa kwa viongozi wake katika maeneo mbalimbali nchini, huku kikitaka hatua za haraka zichukuliwe...
0 Reactions
3 Replies
357 Views
Msije baadaye mkasema mmedhulumiwa kura au kura zimeibwa. Mnapoingia uwanjani ni kuwa mmekubaliana na sheria na taratibu za mchezo. Hakuna excuses za kipuuzi. Ni kupambana na kukubaliana na...
3 Reactions
10 Replies
408 Views
Ofisi nyingi za serikali za mitaa ama labda zote Nchini Tanzania hazina vyoo (Naweza kuthibitisha), Hii maana yake ni kwamba Wenyeviti waliopo na wananchi wanaopata huduma kwenye ofisi hizo...
11 Reactions
35 Replies
1K Views
Akitoa semina elekezi kwa Wanachama na viongozi wa Chama Chake, Tundu Lissu amesema kwamba Sifa kuu ya Wakala ndani ya Kituo cha Kura ni Ukorofi, Kiburi, Jeuri na Ubishi. Amesema Wakala hapaswi...
17 Reactions
154 Replies
4K Views
Wakuu, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda atinga mtaani na Kampeni ya Usafi mtaa kwa mtaa, atangaza kuanza kupigwa picha za watu wachafu mkoani humo na kutangazwa hadharani. Kupata taarifa na...
6 Reactions
20 Replies
1K Views
Back
Top Bottom