Ndugu zangu hii nchi yetu haitakiwi iwe hivi ilivyo sasa. Kuna Watanzania wengi wajanja na wabunifu na Mungu katupa mengi.
Sasa inashangaza kama wananchi tunakubali tu mambo ya ajabu ajabu...
Mimi The Palm Beach si mwanachama wa CHADEMA ila ni mpenzi na mfuasi wake na nakiunga mkono kwelikweli chama hiki...
Ni wazi kuwa Kuna mgogoro mkubwa kati ya Mwenyekiti Freeman Mbowe na Makamu...
Katika ulimwengu wa siasa, tunazoea kusikia kuhusu demokrasia kama mfumo mkuu wa uongozi. Lakini je, umewahi kusikia kuhusu demarchy? Huu ni mfumo wa kisiasa usiohusisha uchaguzi wa moja kwa moja...
Tunategemea muda na saa yoyote Mahakama Kuu, kutoa hukumu ya kesi iliyofunguliwa na mawakili wasomi wakiongozwa na Bob Chacha Wangwe juu ya kupinga TAMISEMI kusimamia uchaguzi wa Serikali za...
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Salum Maulid Salum, akitoa taarifa kwa waandishi wa habari juu ya kongamano la nne la kitaifa la Watanzania wanaoishi nje...
Wana Jf habari za kwenu.
Tulihimizwa sana tujiandikishe na elimu ikatolewa kwa wingi sana. Tulielewa tulioelewa tukajiandikisha
Sasa tunahimizwa tukashiriki uchaguzi tukawachague viongozi...
JF simameni katikati, hapa hajatajwa mtu..
Nikirudi kwenye mada, Kama kuna mtu wa ngazi yoyote anatoa maagizo wagombea wa upinzani wanyanyaswe kwenye huu uchaguzi wa Serikali za mitaa, ombi langu...
Nakumbuka mwaka jana au juzi Star link walitaka kuja kuwekeza Tanzania. Nape na watendaji wake wa TCRA, Star link walipigwa danadana hadi hawajawekeza bongo.
Sababu zilizotolewa na Nape na...
Uganda wamekuwa wa kwanza kwa EAC kufuzu Afcon Ila cha kunishangaza huku Uganda sioni Mseveni akitajwa polote pale. Na raia wako kimya kana kwamba hakuna kilicho tokea. Nikajisemea sasa ingekuwa...
Kwanza tukumbushane kuwa Hizi ni Zama za Trump ambapo Yatima Hadeki
Hivyo basi Chama langu Pendwa CCM achaneni kabisa na Machawa
Tengeneza akina Mafuru ( Wachapa Kazi Bila kutaka Kujulikana na...
Wakuu
CHADEMA wamemjibu Makamu Mwenyekiti wa chama chao, Tundu Lissu
=====
Hivi karibuni kumeibuka tena wimbi la hoja mbalimbali ambazo zilishawahi kuibuka siku za nyuma na ambazo...
Wanabariki utekaji.
Wanabariki uuwaji.
Wanabariki wizi wa kura.
Wanabariki majina feki.
Wanaiba hela za umma.
Wanafitinisha jamii.
Wanadhulumu maskini.
Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
Wakuu,
Baada ya tukio la jaribio la kumteka mfanyabiashara Deogratius Tarimo, maarufu kama Deo Bonge, lililotokea eneo la Kiluvya hivi karibuni, picha za watuhumiwa zilisambaa na kuibua mjadala...
Wagombe wa Chadema katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Wilaya ya Ubungo wametia kambi katika ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo mpaka jioni hii. Hawatatoka hapo mpaka wamejua hatma ya rufaa...
Habarini wanajukwaa,
Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.
Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na...
Madai ya rushwa na matumizi mabaya ya fedha yamekuwa yakitajwa, huku wakosoaji wakimlaumu Mbowe na viongozi wa chama kwa kukosa uwazi na kushindwa kuleta mabadiliko ya kweli.
Swali...
Wakuu,
Naona hii kesi ya mfanyabiashara aliyekuwa almanusura atekwe na "watu wasiojulikana" (Deo Bonge) huko Kiluvya imeanza kuchukua sura mpya.
Akiwa na vyombo vya habari hivi karibuni mmiliki...
Viongozi mliopo humu, mjue na mtambue ambacho kinaendelea halmashauri ya wilaya ya Masasi. Wagombea wa upinzani wamekalishwa siku ya tatu mfululizo pasipo maelekezo ya aina yeyote.
Hii inaonesha...
Siasa za chuki mbaya sana mwenye nyumba hataki kupangisha mwanachadema tena alipata kulipwa Kwa mwaka anaulizia vitambulisho vya vyama Nazi kwelikweli MTU anaacha kufanya Maendeleo anaweka siasa...