Ninaelewa nyomi kwenye Mikutano yake ndio inampa picha kuwa anapendwa na Wananchi Lakini huenda anajidanganya
Inawezekana ile nyomi ni Wananchi wa kawaida tu na Siyo wapiga kura waliojiandikisha...
Wakuu,
Mambo yanazidi kunoga, kapilipili kanazidi kukolea. CCM wakiongonzwa na UVCCM Kagera wanawazoom tu 🌚 🌚
=====
"Sisi tumevumilia sana kuibiwa, 2020 tumeibiwa, na safari hii wamejaribu...
Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa, Habibu Mbota ambaye pia ni balozi wa maji mkoa wa Tanga akiwa katika harakati za kampeni alisisitiza kuwa uchaguzi huu ni fursa muhimu kwa...
Wakuu,
Haya si maneno yangu ni maneno ya kada wa CCM huko Mbeya akiwa anaongea na wananchi kwenye kampeni.
Akiongea kwenye kampeni kada huyu amesema kuwa alipata taarifa kuwa kuna kuna vijana wa...
TAARIFA YA JESHI LA POLISI:
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph Osmud Mbilinyi Mwenyekiti wa...
Katika kipindi cha miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mabadiliko makubwa katika siasa za Tanzania, hasa katika mtazamo wa vijana kuhusu vyama vya siasa. Mamilioni ya Watanganyika wanapendelea...
Mkuu wa Wilaya ya Nachingwea Mohamed Hassan Moyo amegawa mahitaji ya mapishi kwa vitendo kwa ajili siku ya Afya na Lishe ya kijiji, hayo ameyafanya Novemba 22, 2024 alipokua katika kikao cha...
Kwa mujibu wa kanuni za uchaguzi wa serikali za mitaa za mwaka huu hakuna mgombea atakaepita bila kupigwa badala yake kutakuwa na kura ya NDIO au HAPANA kama itatokea mgombea ni mmoja katika...
Kuelekea siku ya Uchaguzi wa serikali za Mitaa, wasimamizi wa vituo vya Uchaguzi 1,213 wamepewa mafunzo na kuapishwa kwa ajili ya kusimamia uchaguzi huo utakaofanyika siku ya Jumatano ya Novemba...
Mkuu wa Wilaya ya Malinyi Mhe. Sebastian Waryuba ameyasema hayo wakati aliposhiriki uchaguzi marathoni Wilayani Malinyi kwa lengo la kuhamasisha Wananchi kujitokeza kupiga kura Novemba 27, 2024...
Mbunge wa Vijana Mkoa wa Ruvuma (CCM) ambaye pia ni Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga anaendelea na kazi ya kuhamasisha Wananchi katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma ili waweze...
Sehemu alizopita Lissu kuwapigia kampeni wagombea wa mitaa na vijiji pamezua malalamiko kwamba anachukua muda mwingi kujipigia debe kana kwamba yeye ndio mgombea. Wagombea anawapa sekunde tu...
Kwa jinsi kampeni zinavyoendelea nimejifunza kitu,Chadema ni chama kinachopendwa na wa Tanzania kutoka ndani ya Mioyo yao, haijalishi wanapitia kipindi kigumu kiasi gani, lakini watu bado...
Wagombea wa nafasi ya Uenyekiti mitaa ya Mwembetogwa, Azimio na Lumumba iliyopo kata ya Mwembetogwa Halmashauri ya mji Makambako, wakieleza sera zao kwa wananchi ili wawachague katika uchaguzi wa...
Wagombea uongozi wa mitaa kwa kata ya Salasala kwa ticket ya CCM wakiwa wamepiga magoti kuwaomba msamaha wananchi wa kata hiyo wa kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao ya kuwaletea maendeleo kwa...
Wakuu
Akina mama wa CCM wapiga magoti ili kuwaombea kura wagombea wao kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Wakija kuomba kura mpaka wanatambaa, wakishazipata wanaanza kutupiga matukio, hata...
Kwenye QM walikuwa wanaweka Swali namba 1 ni lazima marks 40%
Maswali 6 yanayofuata Chagua 4 kila swali Lina 15%
Utagundua Swali namba 1 limejaa Udikteta Lakini linakupa Urahisi wa kupata Karai...
Mtaa au kijiji gani wagombea wa CCM wameenguliwa wakabaki wa upinzani kama CHADEMA na ACT pekee ambao watapigiwa kura za ndio na hapana?
Kuna kitu nataka kujifunza.
Wakuu,
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ambekabidhi Baiskeli kwa Wakulima 40 wa Mfano kwa Zao la Pamba Halmashauri ya Ushetu, ambazo zitawawezesha kufuatilia mwenendo wa uzalishaji...