johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 95,980
- 168,353
Ninaelewa nyomi kwenye Mikutano yake ndio inampa picha kuwa anapendwa na Wananchi Lakini huenda anajidanganya
Inawezekana ile nyomi ni Wananchi wa kawaida tu na Siyo wapiga kura waliojiandikisha
Namshauri mh Tundu Lisu aunde Tume imfanyie Utafiti kama alivyofanya mh Omtata anayejipanga kumng'oa Rais Ruto hapo Kenya ifikapo 2027
Dominica njema 😃🔥