Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niliwahi kuandika hapa juu ya kinachoendelea katika baraza la La Ardhi wilaya mwanza Nina Mambo mengi ambayo nitayaongea huko mbele baada ya kesi kuhukumiwa. Na ushahidi wetu uko kwenye sauti na...
0 Reactions
1 Replies
274 Views
Mbali na mapungufu ya kibadamu, hawa wote wana uzalendo Wote ni maradical Wote ni wanachukia Rushwa Wote wanachukia uzembe , uvivu Wote wanamsimamamo mikali Wote wanahulka ya kusema ukweli. Wote...
2 Reactions
24 Replies
918 Views
Wakuu, Hivi karibuni kulikuwa na video inayotembea mtandaoni ikiwaonesha wananchi wa Arusha wakimtembeza diwani wao kwenye dimbwi la maji machafu. Akiongea hivi karibuni, Makonda amewapongeza...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
TAARIFA KWA UMMA Jeshi la Polisi Mkoa wa Singida linamshikilia Askari mmoja wa Jeshi la Magereza kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mwananchi mmoja tukio ambalo lilitokea Novemba 26,2024 majira...
3 Reactions
69 Replies
5K Views
Hivi ni kwa nini CCM wanaumizwa na Lissu kuwa mwenyekiti? Wanahofu na nini? Ghafula wanaanza kuihurumia CHADEMA kuwa itakufa Lissu akiwa mwenyekiti, mara ooh hawezi...
5 Reactions
13 Replies
690 Views
Friends and Our Enemies, Siku zote tumekuwa tunasema hapa kuwa shida kubwa cha CHADEMA na hususani mwenyekiti wa chama hiko ni kushindwa kuandaa succession plan ya chama chao. Sisi hatuna shida...
0 Reactions
22 Replies
1K Views
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania Bara ambaye pia ni mtia nia wa nafasi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Tundu Lissu ameeleza hayo alipofanya mahojiano maalum na Clouds FM kupitia kipindi cha...
19 Reactions
67 Replies
3K Views
Wanatunishiana misuli Msajili wa Vyama vya Siasa mstaafu, John Tendwa, amesema suala la ukomo wa uongozi lililoleta malumbano kati ya ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini wa sasa na Chama...
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena. Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza...
1 Reactions
4 Replies
435 Views
Akiwa Singida katika mikutano yake hivi Juzi, Mh. Tundu Lissu alidai tena kwamba, anawindwa na watu wasiojulikana kama ilivyokuwa kipindi cha miaka ya 2016, 2017 pindi akiwa mbunge wa Bunge la...
1 Reactions
51 Replies
3K Views
Dharau kubwa kwa viongozi wetu wa juu kwa wananchi ni kutokana na vitu hivi 1. Uongo kwa viongozi wa juu kabisa 2. Kuiba kura 3. Rushwa Huwezi kuheshimika kama hayo matatu huyashughulikii
6 Reactions
16 Replies
833 Views
Kama una mpango wa kugombea nafasi yoyote ya uongozi Arusha, kuwa mkweli na usipange kudanganya maana wananchi wa Arusha wameshachoka siasa za kijinga na uongo wa wana siasa. Kama una nia thabiti...
0 Reactions
0 Replies
361 Views
Wakuu, Wiki chache baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Naibu Waziri Ofisi ya Rais,Tawala za mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI )Dkt. Festo Dugange amewapongeza watumishi wa...
0 Reactions
1 Replies
352 Views
Najiuliza tu, hayo mamia ya mamilioni kayatoa wapi wakati juzi tu tulikuwa tunamchangia apate usafiri? Na akaandamana na watu wengi sana, wengine wamelipiwa nauli kutoka mikoani na kulazwa kwenye...
6 Reactions
89 Replies
4K Views
Wakuu, Akiwa anazungumza hivi karibuni kwenye mazungumzo yake ya moja kwa moja na Jambo TV, Askofu Mwamakula amezungumzia mchakato wa Uchaguzi unaoendelea kwa sasa ndani ya CHADEMA Askofu...
3 Reactions
5 Replies
744 Views
Leo ikiwa ni siku ya Kwanza ya Maandamano ya Amani , ya kupinga Ugumu wa Maisha na Sheria mbovu za Uchaguzi nchini Tanzania , yaliyoandaliwa na Chadema , na ambayo yanatarajiwa kufanyika kote...
14 Reactions
89 Replies
6K Views
https://www.jamiiforums.com/threads/amos-makalla-kuna-mgogoro-mkubwa-unakuja-ndani-ya-chadema.2282803/ Hapa Makalla anataja tarehe za mgogoro kutokea na sababu za mgogoro kutokea, halafu kapita...
0 Reactions
5 Replies
575 Views
Uchaguzi wa Chadema unatakiwa uwe fair kama jina la chama lilivyo,chama inahubiri demokrasia lakini Mbowe amekuwa mwenyekiti wa kudumu hata CCM sio hivo,chama imekuwa chama cha ukoo,kila mwenye...
9 Reactions
24 Replies
868 Views
DEBORA TLUWAY AFIKA TUNGUU, CHUO CHA UVCCM Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Mkoa, Komredi Debora Joseph Tluway tarehe 15 Desemba 2024 ametembelea Chuo cha Umoja wa Vijana wa CCM Tunguu...
1 Reactions
3 Replies
459 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…