Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tunaambiwa ni mtumishi wa umma/serikali ila si familia yake au jeshi la polisi walio tayari kutaja idara au taasisi alinakofanyia kazi. Hili linatufanya tuliojaliwa na Karama ya upambanuzi kujua...
18 Reactions
89 Replies
5K Views
Siku chache zilizopita mwanamuziki maarufu wa miondoko yakufokafoka almaarufu Roma mkatoliki aliripotiwa kutekwa na watu wasiojulikana katika studio za Tongwe record zinazomilikiwa na kijana jina...
50 Reactions
350 Replies
35K Views
Habari wakuu, Mwaka 2020-2025 ni sawa na hatukua na bunge hapa Tanzania. Lakini kwenye msafara wa mamba na kenge wapo,hivyo hivyo pamoja na bunge kuwa la hovyo lakini kuna Wabunge kadhaa...
1 Reactions
9 Replies
649 Views
Huku mkutano hauna fununu kwamba utakuwa unahusu nini. Meanwhile tumeona mambo yanakuwa acrimonious katika kampeni. Watu wanasema tumfukuze Tundu Lissu kutoka kwenye Chama,tumuadhibu Tundu Lissu...
1 Reactions
2 Replies
500 Views
Siasa za Arusha ni tofauti kidogo. Lema hampendi Makonda, Makonda hampendi Gambo, Gambo hampendi Lema, Lema hawapendi hao wote wawili. Makonda anawachukia wote, Gambo anawachukia pia yaani ni...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Watu hamjui tu ila hili sekeseke la Chadema na Samia tulianza nalo mwaka 2022 mwishoni. Ilikuwa ghafla sana mwenyekiti wetu alibadili "jia" angani. Aliyosema Lissu leo ni ukweli mtupu. Ndani ya...
15 Reactions
53 Replies
3K Views
https://youtube.com/live/D0mJfxf3wXE?si=c7girWLBjKbOhiyH Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika yupo live akiongea na wanahabari kueleza mambo mbalimbali ya uchaguzi wa ndani wa Chadema na Uchaguzi...
7 Reactions
44 Replies
3K Views
Hili waweza kulibishia kwakua ni Mbishi tu. Kwenye Siasa, Mvuto ni muhimu sana na huu Mvuto mara nyingi ni wa kuzaliwa. TUNDU LISSU ana Mvuto sana Kwa Gen-Z maana ndio kizazi chenye Elimu...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Sugu simama uhesabiwe. Huu ukimya wako maana yake ni? Wewe umesaliti Mwenyekiti? Hata wewe? Au umeamua kutumia busara? Muda ni wakati mzuri. Ni wakati wa kusimama kuhesabiwa. Tunaona watu ambavyo...
6 Reactions
22 Replies
2K Views
Anaandika Wakili wa Mahakama kuu Adv LEVINO, == Mbowe analalamika kwamba alimfadhili Tundu Lissu kwa mfuko wake hata kumnunulia gari, na kwamba alimpa hata nyumba aliyopigwa risasi pale Dodoma:*...
33 Reactions
99 Replies
5K Views
Wakuu, Tundu Lissu alipofika Uwanja wa ndege, amehoji chanzo cha fedha kwa baadhi ya watu. Tundu Lissu amesema, "Ni muhimu tukajua, katika Mazingira ya Tanzania halisi hii, haya Mamilioni haya...
13 Reactions
157 Replies
7K Views
Natoa uzoefu kwa mambo nayoyakumbuka katika siasa za upinzani tangu nikiwa sekondari. Soma mpaka mwisho maana suala la Mbowe lipo mwisho mwisho. Binafsi nimezaliwa enzi za Mwinyi. Hii generation...
0 Reactions
3 Replies
452 Views
Niombe wasomaji wangu muelewe kuwa sina nia mbaya ninapojaribu kuja na uchambuzi wa namna hii. Lengo langu ni kuoneshana kuwa nchi yetu iko hatarini hasa pale taaluma moja ambayo Taifa...
198 Reactions
704 Replies
84K Views
Deni la Zanzibar limekuwa kwa asilimia 400 ndani ya miaka minne, na hii ni hatari ... kuanzia mwaka 2020 hadi 2024 ya uongozi wa awamu ya rais Dr. Hussein Mwinyi...
1 Reactions
9 Replies
991 Views
Uchaguzi wote kuwa live katika TV za nje na ndani. Hii ndio itampigia Lissu kisiasa. Hivi sasa team Lissu yote imeingia baridi
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , Wilaya ya Siha mkoani Kilimanjaro, Imma Saro, ametoa wito wa mshikamano na uzalendo kwa wanachama wa chama hicho, akisisitiza umuhimu wa...
5 Reactions
11 Replies
936 Views
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba leo January 7, Bilionea Joseph Mbilinyi amekutana na Balozi huyo Ofisini kwake na kufanya naye Mazungumzo marefu. Ambapo inadaiwa kwamba ametumia nafasi hiyo...
3 Reactions
7 Replies
713 Views
Habarini wana jukwaa wa JF. Ni wiki chache sasa Zimebaki CHADEMA waingie katika UCHAGUZI wa viongozi wao wakuu wa chama.Hii ndio tafakuri yangu. 1)Lissu anaungwa mkono na idadi kubwa ya...
0 Reactions
2 Replies
484 Views
Hadithi za Kitambo Sana lakini ukweli wake ndio tunashuhudia Leo Hapo Chadema mikocheni Jaribu kufikiria Pundamilia, Swala, Pofu, NYUMBU, Sungura wataridhiana Nini na Simba Ili wasiliwe Mlale...
3 Reactions
6 Replies
377 Views
KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati, Eliakim Maswi KATIBU Mkuu wa Wizara ya Madini na Nishati, Eliakim Maswi, amekanusha tuhuma za Shirika la Umeme (TANESCO) kwamba linaidai Zanzibar...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…