Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimemuona mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema mh Yeriko Nyerere akifanya mahojiano Star tv na Clouds media zote zikiwa ni media za CCM Ningependa tu kujua Mh Yeriko Nyerere huwa anatumiwa na Chama...
3 Reactions
14 Replies
682 Views
TAARIFA KWA WATENGENEZAJI WA MAUDHUI MITANDAONI (SOCIAL MEDIA CONTENT CREATORS) YANAYOHUSU BIDHAA ZA CHAKULA Dar es Salaam, 08 Januari, 2025 Hivi karibuni, Shirika la Viwango Tanzania (TBS)...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Katibu Mkuu wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dkt. Willibrod Slaa, ametoa rai ya wazi kwa Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kujitafakari na kuachia nafasi ya uongozi...
13 Reactions
68 Replies
4K Views
Binadamu hasa hawa vijana wanasahau kila siku. Kama Rais Samia asiko tumia muda wake vizuri kwa mambo yanye faida na historia za kitafia atabaki ya majumba na pesa kwake na familia yake lakini...
3 Reactions
8 Replies
442 Views
New York, Januari 8, 2025 – Kampuni ya Thomson Reuters Founders Share leo imetangaza uteuzi wa Aidan Eyakuze kuwa Mjumbe wa Bodi yake ya Wakurugenzi, kuanzia tarehe 31 Desemba 2024. Kampuni ya...
0 Reactions
5 Replies
943 Views
Ndugu zangu Watanzania, Mkuu wa Mkoa Wa Arusha Mwamba Mwenyewe Mheshimiwa Paul Christian Makonda Kijana Jasiri kusini Mwa jangwa la Sahara .Amefanyiwa Maombi Na Mtumishi wa Mungu Mtume Boniface...
5 Reactions
69 Replies
3K Views
Mhe. Freeman Mbowe akihutubia DIASPORA mwaka 2012. “Ninaamini Mpo ndani ya CHADEMA leo kwa sababu kuna mambo mmeridhika nayo ndani ya CHADEMA. Nawaomba sana, siku mtakapoona CHADEMA imepoteza...
2 Reactions
10 Replies
868 Views
Nabii na Mtume namba 1 nchini mh Mwamposa amesema anamfahamu Mkuu wa mkoa wa Arusha mh Paul Makonda tangu akiwa Chuoni ni Mtu mwenye kipaji cha Uongozi kutoka kwa Mungu Mtume Mwamposa amesema RC...
11 Reactions
71 Replies
13K Views
Kufuatia kujiuzulu Kwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara A. Kinana Wachambuzi wa siasa wanampa asilimia kubwa Mzee Luteni (Mstaafu) Alhaji Dr Yusuf Makamba kupokea kijiti cha uongozi CCM. -...
8 Reactions
118 Replies
9K Views
Je, kwa ambaye anajua atuambie kama usalama wa taifa unaiba kura na kuharibu na kuhonga wapinzani hata kuwateka watu ina manufaa gani kwa taifa? Je, hawa usalama wa taifa wanaofanya hivi je ni...
2 Reactions
4 Replies
517 Views
Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari.. Kama mnakumbuka prof. Shivji...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Ni ukweli mchungu ila ndiyo ukweli sasa tutafanyaje,hao akina Mwabukusi, Maria,Fatma Karume,Nshala,Dk Slaa,Jebra Kambole,Sativa nk siyo wapiga kura wa Uchaguzi wa CHADEMA ni wapiga kelele tu za...
0 Reactions
4 Replies
378 Views
Nilimsikiliza kwenye mdahalo wake wakuaga uongozi wa kigoda cha Mwalimu Nyerere,imesoma ile hotuba yake mara kadhaa na kugundua kuwa sio bure Mwanataaluma huyu alitumwa na akatumika. Kwa msomi...
5 Reactions
48 Replies
6K Views
Katika muendelezo wa jinsi mwanasiasa huyu alivo muongo: Pia soma > Ipo siku CHADEMA itamkumbuka Mbowe but itakuwa very late
1 Reactions
17 Replies
639 Views
Pekee ambae ameweza kupambana na CCM ni maalim Seif. Mpaka anaondoka ktk dunia Maalim amekuwa makamo wa Rais na kukiacha chama chake kikikuwa sehemu ya serekali. Hii imetokea baada ya maalim...
5 Reactions
36 Replies
1K Views
Na Twahir Kiobya (The Man) Kipyenga cha nafasi ya uwenyekiti katika chama cha CHADEMA kimeshalia, na tunaambiwa kuwa kutakuwepo mdahalo wa wazi baina ya wagombea wa nafasi hiyo yaani Tundu Lissu...
1 Reactions
0 Replies
343 Views
Wakuu, Baada ya ukimya wa muda mrefu mzee wa bao la mkono amerudi upya kwenye ulingo wa siasa. This time kaingia mtaani kapikilisha watu ubwabwa na kupiga nao picha. Itoshe kusema kuongoza...
17 Reactions
89 Replies
4K Views
Wafanyabiashara wanadai kwamba licha ya Dola kushuka bei dhidi ya Shilingi ila upatikanaji Wake Bado ni mgumu japo sio sana kama miezi 6 iliyopita. Wakihojiwa na gazeti hili wamedai watajiri wa...
1 Reactions
30 Replies
876 Views
Ngusa samike ni RAS leo na kwa vyovyote hasingeweza kufanya kazi ikulu kama msaidizi wa rais Samia kama ilivyo kwa walinzi wa Magufuli. Haikuwa kufuta legacy au royalists kama mwandishi kilaza...
8 Reactions
84 Replies
7K Views
Waziri Mkuu Kivuli wa ACT Wazalendo, Ndugu Isihaki Rashidi Mchinjita, ameeleza kuwa baraza kivuli litatumia mwaka 2025 kusimamia haki za wananchi, uwajibikaji wa Serikali na kupigania mageuzi ya...
0 Reactions
2 Replies
586 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…