Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii kauli ni kufuru. Lissu kupona ni miujiza ya Mungu na sio Mbowe wala mwanadamu mwingine yeyote. Pia mchakato wa kumtoa Lissu Dodoma hadi Nairobi ulihusisha watu wengi sana na sio Mbowe tu...
29 Reactions
96 Replies
4K Views
Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia...
5 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimebubujikwa na machozi ya furaha baanda ya kuona ndugu yangu John Mnyika kajitosa kuokoa jahazi baada ya kuchagua wazee 3 toka kaskazini. (Kuna kanda hazijatoa mzee hata 1:D) Napendekeza CCM...
1 Reactions
3 Replies
528 Views
Wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) katika tawi la Kemondo, kata ya Igoma, jijini Mwanza, wameeleza wazi msimamo wao wa kumuunga mkono Tundu Lissu kuwa mwenyekiti wa chama...
2 Reactions
5 Replies
798 Views
Wasalaam Hakika ni vigumu sana kuamini kama huyu mwamba mbowe anashirikiana na ccm watesi wa wanachadema. Kuna watu wamepoteza maisha kukipigania chama, na kuna watu ni vilema, mpaka leo Tundu...
1 Reactions
6 Replies
628 Views
HOTUBA YA TUNDU LISSU BAADA YA KUSHINDWA NA MWINYEKITI FREEMAN MBOWE KATIKA UCHAGUZI WA NDANI Ndugu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, Ndugu viongozi wa...
3 Reactions
14 Replies
893 Views
Rais huyu mpendwa ameshushwa na Mungu tunafurahi uwajibikaji wake Mimi kama msemaji wa wananchi tunaomba tena Kwa kukupigia magoti daktari Samia Suluhu Hassan utuongoze mpaka mwaka 2045 Mama...
4 Reactions
46 Replies
1K Views
Naamini Mbowe na Kisu kuna mchezo wanacheza baada yakuona CCM imepania kuondoa siasa za ushindani nchni Ni miezi miwili sasa vyombo vya habari na wananchi wamejikita kufuatilia siasa za CHADEMA...
1 Reactions
2 Replies
378 Views
Nimejaribu tu kuwaza, hizi sarakasi za Mbowe na Lissu pamoja na team zao, sio mpango kazi wa ndani kuchukua attention kutoka kwa wananchi?, kwa yanayoendelea sio rahisi.
0 Reactions
0 Replies
210 Views
Uungwana ni vitendo Baada ya kuthibitishwa na aliyekuwa Mjumbe wa kamati Juu ya Chadema inayopitisha Majina ya Wabunge wa Viti maalumu Kwamba wale COVID 19 ni Wake wa Viongozi wa Chadema ni...
0 Reactions
3 Replies
567 Views
Moja ya sera ambayo imekuwa ikipigiwa kelele na kambi ya Tundu Lissu ni ya kuweka muda wa ukomo wa viongozi wa chama cha siasa cha chadema. Kwamba kiwe ni vipindi vya miaka mitano mitano...
0 Reactions
0 Replies
269 Views
Ni mwanamama Tulip Siddiq wa UK Mlale unono 😄
2 Reactions
13 Replies
684 Views
Hotuba ya Lema imedhihirisha Mwenyekiti Mbowe hana Nia ya kuongoza Chadema Kwa sababu amechoka ila Kuna Watu wamemlazimisha Kwa maslahi ya matumbo yao Aidha Lema amedhihirisha Chadema ni Chama...
4 Reactions
10 Replies
728 Views
Kwa Mujibu wa Maelezo yake Wakili huyu Msomi anayeitwa Deogratius Mahinyila, anasema kwamba, siku zote imekuwa Ndoto yake kusaidia wanakijiji wenzake. Kwa kukumbusha tu ni Hivi, Huyu kijana...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi ndio habari ya nchi kwa sasa, na ndio maana kila pande ya Tanzania inausubirikwa hamu mkutano huu. Kila pande ya Tanzania macho na masikio yao yatakuwa jijini...
1 Reactions
24 Replies
850 Views
Kuna kila Dalili huu uwepo na mpango kuwa na hawa wabunge 19 Bungeni ni mpango wa kifisadi na wahusika ni viongozi wakubwa ikiwepo CHADEMA, kwa namna tu hili suala linavyopelekwa. Kuna fununu...
-1 Reactions
18 Replies
1K Views
Habari wana JF ,Ujue kwenye maisha kuna watu ambao huwezi ona wanagombana na watu au kuna watu ambao wanafanya vitu kwa ajili ya watu wengine ambavyo ni hatari kiasi kwamba hata wewe huwezi fanya...
14 Reactions
105 Replies
7K Views
Habari JF, Namekaa nimefikiria sana kinachoendelea Pale CHADEMA . Kwa hali ilivyo ya maisha ya Watanzania ilivyo ngumu wengine wakitegemea ajira za laana kama zilivyopewa jina na Lema na Tundu...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Ni wamba wawili wenye tabia za mfanano ulio bayana. Wamba hao ni wazi waliingia kwenye Madaraka na kuwa vipenzi wa dhati kwa waliowaongoza katika Vipindi. Tatizo waliamua kubishana na muda...
1 Reactions
1 Replies
265 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…