Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mrema ataka JK aendelee na urais Mwenyekiti wa Chama cha Tanzania Labour Party (TLP), Augustino Mrema amesema hakuna ubaya Rais Jakaya Kikwete akiacha kuongeza nchi kwa muda ili akamilishe...
0 Reactions
95 Replies
11K Views
Hamjambo Watanzania! Ni dhahiri joto la uchaguzi ndani ya chama cha upinzani cha CHADEMA limepamba moto na katika ufuatiliaji wangu kwenye mitandao ya kijamii hususani Youtube,X na Instagram...
13 Reactions
30 Replies
1K Views
Pamoja na Ukweli kwamba Jimbo la Kyela ni sehemu ya ngome imara za Chadema kwenye Mkoa wa Mbeya ikiwemo pia Kanda ya Nyasa , lakini mara zote Jimbo hili husahauliwa kwenye ziara muhimu za Viongozi...
21 Reactions
38 Replies
2K Views
Wasira anadhihirisha dhahiri 80 years old man can not think and he is mentally tired. Kama vijana kama Christian wakipewa nafasi wanakosa chembe ya hikima kwenye brain wasira anakila dalili...
2 Reactions
12 Replies
947 Views
Katika juhudi za kuimarisha miundombinu na kukuza uchumi wa Taifa, ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigongo-Busisi) umeendelea kuwa kielelezo cha mafanikio makubwa chini ya uongozi thabiti wa...
2 Reactions
1 Replies
531 Views
Sio tu Tanzania Duniani kote huwa kikifika kipindi cha uchaguzi wanasiasa wanatafuta ukaribu sana na wasanii na viongozi wa kidini maana ni makundi yenye ushawishi kwenye Jamii. Wafanyabishara...
0 Reactions
0 Replies
318 Views
My friends, ladies and gentlemen! Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho. Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine...
2 Reactions
48 Replies
2K Views
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Stephen Wasira, amesema kauli mbiu ya "No Reform, No Election" haina maana yoyote kwa sasa, akisisitiza kuwa muda wa kufanya mabadiliko ya kisheria...
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Nyerere hakupenda Kabisa tabia za kukurupuka kama zilizoonyeshwa na Kibajaj mkutanoni Uzuri wa CCM ya sasa hainaga mambo mengi tofauti na kile Chama Cha mitandaoni Mlale Unono 😀
2 Reactions
7 Replies
671 Views
Sijui kwanini familia ya Mzee Wasira wameruhusu hili la kuendelea na siasa. Kuna umri mtu unafikia familia ndiyo inatakiwa kufanya maamuzi na umri huo ni wa mzee Wasira. Huyu ni mzee ambaye...
30 Reactions
63 Replies
4K Views
Lissu na kundi lake wakati wa Korona walifikiri suluhisho la Korona kwa haraka ni kufanya lockdown. Hivi aliwaza kwa mazingira ya Watanzania ambao wengi ni machinga, kwamba kula yao ni lazima...
3 Reactions
29 Replies
1K Views
"....Kikeke kapigiwa simu toka juu na kuelezwa akatishe haraka kipindi cha Kasri kilichokuwa Mubashara akimuhoji Tundu Lissu ndiyo maana kipindi kimetoweshwa ghafla." Duru.
13 Reactions
62 Replies
4K Views
Lissu, Wewe ni msomi na unajua uchaguzi hakukuwa na mshindi bali ilikuwa ni pande mbili ambazo wewe ulimpita mwenzako wa 31 votes almost. Sisi tunaona ni muda sasa wa ushindi, mtafute Mbowe na...
2 Reactions
5 Replies
377 Views
Nimefurahishwa na mabadiliko ya mfumo wa ufanyaji kazi baina ya serikali kupitia Temesa na azam marine kupitia bidhaa yao ya azam tax ferry. Azam walipata dili la kuvusha watu pale ferry kwenda...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Wakili Peter Madeleka amedai mahakamani hapo kuwa dhamana ni haki ya mtuhumiwa kifungu cha 148 (5) kimeweka masharti yanayoweza takapelekea mtuhumiwa kunyimwa dhamana . Amedai kuwa Dk. Slaa...
0 Reactions
4 Replies
708 Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo 20/11/2024. Paskali
18 Reactions
134 Replies
5K Views
Hakuna aliyekugusa wala kukusemesha ila nafsi yako inakusuta. Kwanini ulikuwa ukitoa taarifa nyeti za wanachama? Ulijisikiaje wengine mpaka leo hawajulikani walipo? Wengine ndiyo kama vile tena...
20 Reactions
87 Replies
5K Views
NBC ilipogawanywa na Kuzaliwa Benki mbili NBC na NMB zilipigwa kelele nyingi Sana Lawama nyingi zikamwendea mtemi Chenge akiwa AG wakati huo Leo NMB Ndio inaongozwa kwa kulipa Kodi TRA Kongole...
4 Reactions
15 Replies
978 Views
Akihojiwa na Wasafi Tv, bi Tibaijuka pamoja na mambo mengine amedai tabia ya kufichwa kwa Historia nzuri ya baadhi ya wapigania Uhuru wa Nchi yetu ni kwa sababu ya ushamba na woga wa kuwapatia...
3 Reactions
6 Replies
847 Views
Ikitokea akakubali ushauri wa wazee wa Singida eti agombee Ubunge kwenye miongoni mwa majimbo yaliyomo mkoani Singida, Tundu Lisu atashidwa vibaya mno ikiwa atagombea Urais wa Tanzania, huku...
7 Reactions
201 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…