Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula ana wakati mgumu kutetea jimbo lake la Mkinga, Tanga kwa kinachoelezwa ni kukwama utekelezaji wa miradi ya maendeleo aliyoahidi. Hali hiyo...
0 Reactions
2 Replies
580 Views
Ukanda wa SADC na Africa Mashariki umewahi kuwa na watawala nguli sana wa geopolitics na diplomasia mwaka 2015 kurudi nyuma. Nyerere, Mandela, Thabo Mbeki, Mkapa, Chisano na Kikwete ambaye ni...
0 Reactions
0 Replies
271 Views
Ni Aibu sana Kwa Nchi kama DR Congo kukodi wapiganaji wa Kigeni kutoka Romania kuja kupigana na M23. Hiyo Nchi watu wake wanachoweza ni kukata mauno tuu na kujipodoa ndio maana inatia aibu...
2 Reactions
10 Replies
629 Views
Nipo hapa Mikocheni opposite na CHADEMA HQ na ninashuhudia idadi kubwa ya Watu wakiwemo waandishi wa Habari ninaowafahamu wakiingia ofisi za Chadema Wote wanasema wamekuja kupata Neno la Kwanza...
22 Reactions
135 Replies
8K Views
Wakati Trump amesitisha kugharamia shughuli nyingi ambazo zilikuwa zinafanywa na USAID ni wakati wa kujiuliza kwa umakini kitu gani ni muhimu. Hii pesa ilikuwa inasaidia kutoa dawa wa wagojwa wa...
3 Reactions
3 Replies
513 Views
Rais Trump amesema haoni sababu ya Serikali za Nchi za Africa kuwa na Matumizi ya fedha Yasiyofaa Kwa sababu YEYE Sera yake ndani ya Marekani ni kupata Hesabu za kiukaguzi hadi Senti ya Mwisho...
9 Reactions
26 Replies
1K Views
Kutokana na misimamo yao na kwa kauli ya Lissu ya leo ya kusema watatumia "shuruti" kuleta mageuzi, sitashangaa watawala wakaja na plani hiyo ya kuwaweka ndani mpaka uchaguzi mkuu upite ingawa...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Mh Uhuru Kenyatta amewaonya watu wanaolalamika Trump kukata misaada ya Fedha Kwa Nchi zao Kenyatta anasema " Ile siyo Serikali yenu wala ile siyo Nchi yenu na Nyie siyo Walipakodi wa Marekani...
3 Reactions
9 Replies
651 Views
Wanajamvi huyu Mkurugenzi amekuwa kimya kwa ubovu wa Barabara Nanga-Migato haswa haswa eneo la darajani karibu na kanisa la Roma, eneo hili limekuwa kikwazo kikubwa sana kwetu wafanyabiashara...
0 Reactions
0 Replies
236 Views
Baada ya dollar ya Marekani kupanda mfululizo mwaka huu hadi kufika 2750 kutoka 2250 hatimaye wiki hii imeanza kushuka kwa kasi nakufikia muda huu naandika nakala, hii imefikia 2375 huku...
26 Reactions
272 Replies
19K Views
Hongera Sana Tundu Lissu kwa Ushindi Wako—Lakini Changamoto Zinaanza Timu yako ilitumia mbinu ngumu na zenye madhara kwa demokrasia nchini, hasa dhidi ya mlezi na kiongozi wenu ndani ya chama...
10 Reactions
36 Replies
2K Views
Kama hakuwahi maana yake Urais huu ni matokeo ya Mwenyezi Mungu, kwamba Iliamuliwa aipitishe Nchi Kwa kipindi fulani, na hii pengine ilichagizwa na Upole, Unyenyekevu, Uanaharakati wake kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
366 Views
Wakuu. Ccm ilikuwa inafanya umafia Ila alipoingia Dr Bashiru alianzisha mfumo mchafu wa kuhakikisha wagombea wa Ccm wanapita bila kupingwa. Huyu jamaa kiufupi ni mtu ambaye hastahili kupewa...
2 Reactions
4 Replies
526 Views
Inawezekana ikawa ni muendelezo uleule tu wa Viongozi wa wenye Uwezo wa kawaida kiakili kuwaonea wivu watu wenye akili nyingi na hivo kuogopa kuzungukwa nao. Majuzi nilisikia MTU anasema, na...
3 Reactions
17 Replies
806 Views
Hii List serikali wanayo lakini kwasababu wengi ni vigogo wa CCM hawawezi kuweka wazi. Pesa inasemekama ni zaidi ya trilioni moja imefichwa nje
0 Reactions
1 Replies
300 Views
Kama Mama ana nia ya dhati kutekeleza 4R basi atafute wasaidizi sahihi watakaofanya naye kazi ktk chama. Binafsi naona mtu kama Jaji Joseph Warioba angekuwa mtu muhimu sana katika kusimamia...
0 Reactions
3 Replies
420 Views
Mbunge wa Geita (CCM), Joseph Kasheku Msukuma, amejibu hoja ya CHADEMA kupitia Makamu Mwenyekiti wake, John Heche, kuhusu kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM kuzeeka, akisema wamuache mzee wao kwa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Naona kuna watu wanajaribu kutwist uhalisia wa mambo yalivyo mahospitalini kutokana na aliyoongea mkuu wa mkoa wa Dar, Mhe. Chalamila. Ila huo ndiyo uhalisia wa mambo ulivyo kwenye mahospitali...
8 Reactions
29 Replies
1K Views
Msafara wa Rais wa Liberia umesimama kwa muda baada ya kutokea purukushani wakati anaingia getini JNICC. Sintofahamu hiyo imetokea au imeletwa na wanausalama wa Tz walipokuwa wanamzuia kuingia...
16 Reactions
77 Replies
8K Views
Kampeni ya Samia Legal Aid Campaign (MSLAC) imepiga hatua kubwa tangu ilipoanzishwa, na uzinduzi wa mkoa wa 17 Kilimanjaro mnamo 29 Januari 2025 ni uthibitisho wa mafanikio yake katika kuenea...
0 Reactions
1 Replies
372 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…