Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nashauri Uhamiaji irudishwe Wizara ya ulinzi wafanye kazi na JWTZ. Katika nyakati hizi ambazo Wizara ya Mambo ya ndani ni very corrupt nashauri Uhamiaji uwe chini ya TPDF. Maana JWTZ wanahusika...
18 Reactions
32 Replies
2K Views
Watumishi wengi wa serikali hasa watumishi walioajiriwa kwa taaluma yao serikalini ni waadilifu ni wachache sana ambao si waadilifu katika kusimamia miradi ya maendeleo Wafuatao ndiyo wanapiga...
4 Reactions
4 Replies
752 Views
Kwa wiki sasa nimekuwa ninasikiliza historia za viongozi madikteta Afrika. Nimesikiliza jinsi walivyoua na kunyanganya uhuru wa watu. Nimesikiliza kuhusu Samuel Doe, Iddi Amin Dada, Mobutu na...
5 Reactions
12 Replies
880 Views
Kwema Wakuu! Chalamila hapa nitamtaja kama Mhusika bila kuhusisha cheo chake. Ni aina ha watu ambao hawana breki za kuongea na watu wa aina hii mara nyingi huongeaga UKWELI mchungu ambao wakati...
15 Reactions
263 Replies
8K Views
Kumekuwepo na taarifa kuhusiana na mabadiliko ya uongozi ndani ya CCM hasa katika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara na Katibu Mkuu.kuna fununu kuwa Mzee Kinana ameshaandika barua ya kuomba...
19 Reactions
102 Replies
11K Views
Tumeshaandika nyuzi nyingi sana humu. Sasa kaongea Rais wa Burundi. Nawakumbusha tu. Mkifanya nao mazungumzo kuhusu Goma na wakafanikiwa kituo kinachofuata ni Kagera na wakulianzisha ni Muhoozi K.
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Wakuu, Naomba kueleshwa nini kinaendelea huko Dodoma. Leo ni siku ya CCM au sherehe ya kumpamba Rais?
5 Reactions
17 Replies
961 Views
Wanabodi, Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji Jacobs Mwambegele, amesisitiza kuwa kujiandikisha zaidi ya mara moja ni kosa la jinai lenye adhabu ya kifungo cha angalau miezi sita...
1 Reactions
1 Replies
359 Views
"The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wengi hawajui Kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM wa sasa, Stephen Wassira aliwahi kuhamia NCCR Mageuzi ilikuwa u-Star Masumbuko Lamwai akahamia CCM ulikuwa u-Star Juliana Shonza akahamia CCM ulikuwa...
9 Reactions
160 Replies
7K Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan. Anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika sherehe za maadhimisho ya Miaka 48 ya kuzaliwa...
2 Reactions
60 Replies
2K Views
Siungi mkono mtoto mdogo kama huyu kuingizwa kwenye harakati za siasa. Tunaandaa taifa gani? Huyu aachwe kwanza acheze na wenzake na kufurahia ladha nzuri ya uji...
2 Reactions
3 Replies
289 Views
Kama sikosei, Dk Nchimbi na Nape haziivi tokea enzi zile walipokuwa UVCCM. Dalili zi wazi, Dk Nchimbi anaelekea kuwa mtu mkubwa sana ndani ya Nchi hii huko mbele. Kwa muktadha wa mahusiano yao...
2 Reactions
4 Replies
775 Views
Sote tunazikumbuka tetesi na minong'ono iliyokuwa imezagaa mara tu baada ya kifo cha Magufuli. Tetesi zilidai kundi la watu watiifu kwa Magufuli hawakutaka mama akikalie kiti hicho. Walifanya kila...
22 Reactions
101 Replies
8K Views
Wakuu, Ndio kusema kwamba hizi ni kampeni za kwenye Uchaguzi? Walimu kama mnaamini haya mambo ya CCM ya kila mwaka mjitafakari sana ============================================== Akizungumza...
2 Reactions
18 Replies
974 Views
Januari 13 na 16, 2025, mabaraza ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya vijana (Bavicha), wazee (Bazecha) na wanawake (Bawacha) yanafanya uchaguzi wa kupata viongozi wake, huku makundi...
7 Reactions
83 Replies
12K Views
https://www.youtube.com/live/ZcC1DjuaCGA?si=v690LB1yPXEmkK6v ======= Kuelekea maadhimisho ya miaka 48 ya Chama Cha Mapinduzi CCM, katika kata ya bunju halmashauri ya manispaa ya Kinondoni Jijini...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Mkuu wa Mkoa wako uliko sasa je anafaa kuendelea kushika wadhifa huo kuwahudumia wananchi? mimi Mkuu wangu wa Mkoa Chalamila naona ni vema akae pembeni sijui wewe huko uliko mkuu wako wa mkoa...
0 Reactions
7 Replies
510 Views
Lengi la kauli kama hii ni kumlenga nani? Kuna wanasiasa hapa Tanzaniq familia zako ziko nje ya nchi. Naomba kujuzwa ====================== Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Songwe, Fatma Hussein...
0 Reactions
1 Replies
298 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…